Hamas warusha makombora Tel Aviv, Israel wapagawa

Hamas warusha makombora Tel Aviv, Israel wapagawa

Wamejificha kwenye mashimo waliwalia timing mashoga kuwalisha mchanga. 🤣🤣🤣 Vita ni akili jomba. Israel inaingia mwezi wa 9 na mambo bado hayaeleweki
Wanaacha watoto na wake zao juu hiyo ndio akili??
 
😂😂😂😂 Wanaume wanajificha kwenye mashimo kama panya
Kama unajua wanajificha kwenye mashimo waambie basi mabwana zako walipo wao kazi yao kuwalenga watoto na majengo na drone huon jeshi la mashoga walivyokuwa waoga jana wametekwa baada ya kichapo Hamas wamendoka nao wamewapiga kamba za mikono😀
 
Propaganda za vita ni kubwa dunia hii, jifunze na fuatilia vyanzo mbalimbali kwakuwa unaweza kuambiwa hizi " Njege kumbe njigi".
 
Watu wakifumua hadi hivyo vitoto msianze kutia huruma humu.
Hao mashoga zenu vita hawaviwezi uliona wapi jeshi likaingiza vifaru mitaani kama sio woman unawasumbua 😄

Wamezowea kurusha maboom tu kama vichaa wanavyo rusha mawe muhimu limpige yeyote yule awe mtoto au mwanamke ai vizee 😄
 
Ni suala la muda tu. Yule Rais sasa hivi anajirusha na mabikra 72
 
Watu wasichokijua katika vita hii ni kuwa Israel inaitaka ardhi ya Gaza na si vinginevyo. Wakimaliza vita leo na kuchukua mateka watatkiwa kuondoka, kitu ambacho sio lengo lao.
Sijui kwa nini Hamas hawakujua mtego huu. Walipokuwa wanapanga mashambulizi ya 7 Oct wenzao walikuwa wanawachora tu.
Paleatina watabaki na Ukingo wa Magharibi ambao nao watanyang'anywa. Pole yao
 
Kama unajua wanajificha kwenye mashimo waambie basi mabwana zako walipo wao kazi yao kuwalenga watoto na majengo na drone huon jeshi la mashoga walivyokuwa waoga jana wametekwa baada ya kichapo Hamas wamendoka nao wamewapiga kamba za mikono😀

Hamas wametuangusha sana ni aibu mwanaume kukimbia nyumba unatelekeza mke na watoto unaenda kujificha mapangoni,
 
Propaganda za kishoga hizo watu wameishazipuuza kwa hiyo wakikimbia kwa watoto mabomu wakipigwa wanachagua wa kuuwa? Usiwe punguani.
Upo kishabiki sana, na ndio maana sikuendelea kuisoma komenti yako, matango pori mmelishwa, nanyi kwa chuki zenu kwa dhidi ya waislamu mkaona muendelee kueneza propaganda hizo

Pole sana usie na utu wala huruma, ni heri ukachangie mada za wakongo wanaouwana, huku tuachie wenyewe.
Mkuu mimi sina dini na siamini katika Mungu yeyote yule

Natambua kwamba Palestine wana madai ya msingi lakini pia natambua kwamba Israel wanajukumu la kujilinda

Sikubaliani na Israel wanachokifanya pale Gaza lakini pia nawaelewa kwanini wanafanya vile

Njia ambayo Hamas wanaitumia kudai haki zao haikubaliki kama ambavyo njia ambayo Israel inatumia kujilinda haikubaliki pia

Namna Hamas wanavyodai haki zao ndivyo wanavyoongeza ukubwa wa tatizo

Majibu ulioni quote nilikua namaanisha Israel hawajashindwa vita Gaza bali anayezidi kuumia ni Palestine
 
Kama unajua wanajificha kwenye mashimo waambie basi mabwana zako walipo wao kazi yao kuwalenga watoto na majengo na drone huon jeshi la mashoga walivyokuwa waoga jana wametekwa baada ya kichapo Hamas wamendoka nao wamewapiga kamba za mikono😀

Hamas wametuangusha sana ni aibu mwanaume kukimbia nyumba unatelekeza mke na watoto unaenda kujificha mapangoni,
 
Israel ni takataka tu. Kama inachukua karibia mwaka ku deal na wahuni walioko kwenye kamji kadogo kama kijiji siku wakikutana na jeshi kamili siwatasambazwa kama kinyesi tu.
Nafikiri ni wakati sasa Tz tutoe askari wa JWTZ na FFU wakasaidie Gaza
 
Israel ni takataka tu. Kama inachukua karibia mwaka ku deal na wahuni walioko kwenye kamji kadogo kama kijiji siku wakikutana na jeshi kamili siwatasambazwa kama kinyesi tu.
Hilo jeshi kamili liko wapi na litakuja lini.
 
Back
Top Bottom