Hamas warusha makombora Tel Aviv, Israel wapagawa

Hamas warusha makombora Tel Aviv, Israel wapagawa

Una huo uthibitisho!?
Mtoto wa miaka 10 aweza kushika AK-47?
Una matatizo ya akili.
Kama ya NETANYAU!! aliwaambia zamu hii atapiga hadi hamas aliyoko tumboni aiogope ISRAEL!!! Ila wakati mwingine nacheka hadi naogopaaa.... Sio kwa kipondo hicho
 
Na wewe unaanzia juu juu tu kama hao; ugonvi huu haukuanza juzi bali ulianza mwaka jana October 7th. kosa ni kule kujishahaulisha jinsi ugonvi ulivyoanza na kuanza kulaumu yatokanayo na ugomvi wenyewe.
Mkuu unaonekana hujui lolote kuhusu huu mzozo.
Mzozo ulianza AUGUST IDF wakishirikiana na Israel settlers walikua wakichoma mashamba Westbank na kuvunja nyumba za bedui ili waongeze maeneo ya kupanua makazi ya walowezi wa kiyahudi/kizayuni.
Hili ndilo lililoamsha hisia na hasira kuanzisha vita Oktoba 7.
HUNA UNALOLIJUA HATA KIDOGO.
Ndio maana Guterres alisema ugomvi haukuanzia Oktoba 7 msijisahaulishe.
Au haukusoma aliyoyaeleza GS wa UN!?
Mbona mpaka ushahidi ulitolewa UN security council na wazayuni waliobainika wakala vikwazo?
Japo haijulikani kama ni vikwazo serious au laah.
 
Kama ya NETANYAU!! aliwaambia zamu hii atapiga hadi hamas aliyoko tumboni aiogope ISRAEL!!! Ila wakati mwingine nacheka hadi naogopaaa.... Sio kwa kipondo hicho
Waarabu huwezi kuwaogopesha.
Kama kuwaogopesha angeshawaogopesha toka 2021 na miaka ya nyuma.
Waarabu wakisimamia lao wamesimamia lao mzee.
 
Israel ametangaza kutotambua kabisa taifa la palestina. Imagine mtu akukute kwako akutowe kwanguvu kwasababu anasema babu zake walikuwepo hapo miaka 3000 iliyopita.
Hakujawahi kuwapo kitu kinaitwa Taifa la Palestina, na wala Israeli haikuingia pale na kuwatoa wapalestina kwa nguvu. Ardhi ile ilikuwa inatawaliwa na waingereza ikijulikana kama British Palestine chini ya Umoja wa Mataifa. Umoja wa Mataifa ndio ulioigawanya kuwapo kwa Palestine na Israel. Israel chini ya uongozi wa Ben Gurion wakaanza kujenga nchi yao waliyogawiwa, lakini wapelestina wao wakaanza vita dhidi ya waisrael. Katika mgawanyo ule, Israle ilikuwa imepewa sehemu ya jangwa zaidi wakati ardhi nzuri ikiwa kwa wapelistina, na hadi leo West Bank ndiko kuna ardhi nzuri kulinganisha na sehemu nyingine za isale ingawa sasa ni vigumu kutambua tofaoti kwa vile Israle ilibadilisha jangwa kuwa ardhi nzuri
 
Mkuu unaonekana hujui lolote kuhusu huu mzozo.
Mzozo ulianza AUGUST IDF wakishirikiana na Israel settlers walikua wakichoma mashamba Westbank na kuvunja nyumba za bedui ili waongeze maeneo ya kupanua makazi ya walowezi wa kiyahudi/kizayuni.
Hili ndilo lililoamsha hisia na hasira kuanzisha vita Oktoba 7.
HUNA UNALOLIJUA HATA KIDOGO.
Ndio maana Guterres alisema ugomvi haukuanzia Oktoba 7 msijisahaulishe.
Au haukusoma aliyoyaeleza GS wa UN!?
Mbona mpaka ushahidi ulitolewa UN security council na wazayuni waliobainika wakala vikwazo?
Japo haijulikani kama ni vikwazo serious au laah.
Ukishakimbilia kuhukumu kuwa wenzio hawajui basi tambua kuwa wewe ndiwe hujui.
 
Ukishakimbilia kuhukumu kuwa wenzio hawajui basi tambua kuwa wewe ndiwe hujui.
Hayo maneno hata kwa khanga yapo.
Unapewa facts unabisha mkuu!?
Pinga kama na wewe una facts.
Aya amini nadharia zako.
 
Ila HAMAS ni wabishi kwelikweli jamaa kumbe bado wapo tu
Hamasi wamesema wemejiandaa kwa vita ya mda mrefu.

Na sasahivi ndio wnaanza kutoa mavitu ya kutisha kwa kuwaonyesha wanauwezo wa kupiga sehemu yoyote ile ndani ya Israel. Na kitu hicho kitakuwa kimewashitua sana Israel
 
ULETE HUO USHAHIDI HAPA.
ICJ iliwataka IDF wakapeleke ushahidi mahakamani wakaukosa.
Walipeleke staged video zinazoonesha kuna handaki linaelekea Alshifaa hospital,zikakaguliwa na kugundulika ni staged videos/video za kuhaririwa.
Au unachukulia sisi hatufuatilii mzeee!?
Sio ICJ wewe kilaza. Waliotaka Israel wathibitishe madai yao kwa kuishutumu UNRWA na Israel kushindwa ni UNSC
 
Hizo porojo zimeipitwa na wakati Hamas wapo peke yao unaenda mwezi wa 9 wameshindwa kuokoa mateka wao Gaza yenyewe Kigamboni kubwa, jana kwenye mapigano Jabaila hao wanajeshi unawasifiwa wamepgwa kisha wametekwa Israel wanaona aibu kusema Hamas wametanganza leo.
Unafikiri nchi za kiarabu zinaogopa nini kupeleka jeshi?
 
Kilaza mkubwa, nani kakudangaya ugonvi kati ya Israeli na palestina ulianza 7 October
Na wewe unaanzia juu juu tu kama hao; ugonvi huu haukuanza juzi bali ulianza mwaka jana October 7th. kosa ni kule kujishahaulisha jinsi ugonvi ulivyoanza na kuanza kulaumu yatokanayo na ugomvi wenyewe.
 
Hayo maneno hata kwa khanga yapo.
Unapewa facts unabisha mkuu!?
Pinga kama na wewe una facts.
Aya amini nadharia zako.
Hahahaha ushabiki mandazi tu hawana wanachojua.
 
Wanaukumbi.

Wiki hii nzima Israeli imeteseka L baada ya L; kidiplomasia, kisiasa na kisheria - na sasa: jana askari wao walitekwa kama POWs, na leo Hamas inaonyesha uwezo wao wa kijeshi haujashushwa, kiasi kwamba wameweza kufyatua risasi huko Tel Aviv.

Nentanyahu na wenzake wanasema wananenda Rafah kumaliza vita, Hamas hawapo huko wapo maeneo mengine na leo wamerusha makombora yametua Tel Aviv

====

Al-Qassam launched about 10-12 long-range rockets, from Rafah, travelling 100-110km to hit Tel Aviv, after a hiatus of 4 months. The Iron dome failed to intercept the rockets, more than 8 direct impacts were made, causing material damage and the ignition of fire. 2 settlers were also injured.

Pole namsiba shekhe,
 
Hakujawahi kuwapo kitu kinaitwa Taifa la Palestina, na wala Israeli haikuingia pale na kuwatoa wapalestina kwa nguvu. Ardhi ile ilikuwa inatawaliwa na waingereza ikijulikana kama British Palestine chini ya Umoja wa Mataifa. Umoja wa Mataifa ndio ulioigawanya kuwapo kwa Palestine na Israel. Israel chini ya uongozi wa Ben Gurion wakaanza kujenga nchi yao waliyogawiwa, lakini wapelestina wao wakaanza vita dhidi ya waisrael. Katika mgawanyo ule, Israle ilikuwa imepewa sehemu ya jangwa zaidi wakati ardhi nzuri ikiwa kwa wapelistina, na hadi leo West Bank ndiko kuna ardhi nzuri kulinganisha na sehemu nyingine za isale ingawa sasa ni vigumu kutambua tofaoti kwa vile Israle ilibadilisha jangwa kuwa ardhi nzuri
Nilikua najua una akili kumbe hamna kitu. Sasa British - Palestine inatofauti gani na British - Tanganyika? Kama kulikua na British Tanganyika tukapewa uhuru wetu leo tuna taifa kulikua na sintofahamu gani ya kupewa uhuru wao British- Palestine wakawa na taifa huru kutoka kwa mkoloni mwingereza?
 
Back
Top Bottom