Hamas warusha makombora Tel Aviv, Israel wapagawa

Ndio mkuu ndo maana linaitwa jeshi la wananchi na Mimi ni wanangu ni wananchi
😂😂😂😂🙆🏿‍♂️🙆🏿‍♂️🙆🏿‍♂️🙆🏿‍♂️🙆🏿‍♂️Aiseeee.
Kwahiyo mfano Rwanda ikituvamia ni sahihi RDF kuwapiga risasi wanao na mkeo?
 
Vita having macho
 
😂😂😂😂🙆🏿‍♂️🙆🏿‍♂️🙆🏿‍♂️🙆🏿‍♂️🙆🏿‍♂️Aiseeee.
Kwahiyo mfano Rwanda ikituvamia ni sahihi RDF kuwapiga risasi wanao na mkeo?
Sasa kama Hamas wanawatumia wake zao kama guard unategemea nini?
 
Una uthibitisho kama wanatumia wake zao kama shield mkuu!?
Kuna wale wanawake watatu waliouliwa katika kanisa kongwe Gaza,waliuliwa na sniper,hivi bro SNIPER hawezi kung'amua adui!?
 
Sasa kama Hamas wanawatumia wake zao kama guard unategemea nini?
Wewe kweli punguani kwa hizo guard ni wake zao mabomu yakirushwa na Israel yawauwa hao Guard na kuacha Hamas? Hizi propqganda za kishoga watu wameishazupuuza wamebakia mapunguani na mashoga ndiyo wanaamini.
 
Ukiamua kupigana vita usimchagulie adui namna ya kukupiga. Anaweza hata akazuia flow ya chakula, maji au nishati isiingie eneo lako, wala usilalamike maana uliamua mwenyewe kuingia vitani.
Sawa kuna msemo unasema kila ufanyalo baya litakurudia tu.
 
Israel ni takataka tu. Kama inachukua karibia mwaka ku deal na wahuni walioko kwenye kamji kadogo kama kijiji siku wakikutana na jeshi kamili siwatasambazwa kama kinyesi tu.
Mkuu kumbuka hao unaowaita ni wahuni kuna watu wako nyuma yao wana wapatia sapoti kubwa sana ambayo kwa macho ya hapa jukwaani hatuwezi kuiona, ndio maana kila siku nasema hii vita kuna mambo ambayo yapo nyuma yake yamefichika sio rahisi kuyaona kwa macho ya kawaida kabisa. Tuombe Mungu suluhu ipatikane mapema iwezekanavyo maana athari zake ni kubwa sana.
 
Wanaukumbi.

Wiki hii nzima Israeli imeteseka L baada ya L; kidiplomasia, kisiasa na kisheria - na sasa: jana askari wao walitekwa kama POWs, na leo Hamas inaonyesha uwezo wao wa kijeshi haujashushwa, kiasi kwamba wameweza kufyatua risasi huko Tel Aviv.

Nentanyahu na wenzake wanasema wananenda Rafah kumaliza vita, Hamas hawapo huko wapo maeneo mengine na leo wamerusha makombora yametua Tel Aviv

====

Al-Qassam launched about 10-12 long-range rockets, from Rafah, travelling 100-110km to hit Tel Aviv, after a hiatus of 4 months. The Iron dome failed to intercept the rockets, more than 8 direct impacts were made, causing material damage and the ignition of fire. 2 settlers were also injured.

Israel wameyaacha tu yadondoke, ili wapate justification ya kuendelea na vita baada ya ICC na ICJ na nchi kadhaa kuja juu.
 
Wewe kweli punguani kwa hizo guard ni wake zao mabomu yakirushwa na Israel yawauwa hao Guard na kuacha Hamas? Hizi propqganda za kishoga watu wameishazupuuza wamebakia mapunguani na mashoga ndiyo wanaamini.
Wewe na Hamas ndo mapunguani Sasa hao Hamas kwanini wasiingie Frontline vitani na sio kuvia na kujificha nyuma ya kinamama na watoto?
 
Kwa hio we ndio una akili kuona silaha zamadeni anayo jitia huko America anaenda uwa mende 😄

Hamasi kila sehemu yupo hajamgusa akija siku Israel kuwauwa Hamasi tungeona anavyo jisifia

Mtaishia hivyo hivyo na ujinga wenu shenzi type, Israel hawezi kuishi kwa amani maisha yake, na hivi dunia tunapo elekea mtakuja sahau kama kuna taifa linaitwa Israel.
We matako usiwe unaquote watu huku umejaa mavi kichwani.
Kanza umekula?
Kale upate akili mbuzi we.
 
Mavi umejaa nayo wewe Fala, mimi unadhani njaa kama wewe mtembea na mavi.

Mimi chakula nacho kula wewe huwezi kula chakula hicho we si wakina mama ntilie tu.

Nyie si ndio wale mnao lishwa chakula cha missions tu, ungekufa njaa bila kulishwa na kanisa wewe.
 
Wewe na Hamas ndo mapunguani Sasa hao Hamas kwanini wasiingie Frontline vitani na sio kuvia na kujificha nyuma ya kinamama na watoto?
Wewe mloloke utakuwa jinga la mwisho na punguani, hizo propaganda za kishoga waambie wenzako unasema Hamas wanajificha kwa watoto na kina Mama? Kwa hiyo hizo ndege zinazorusha mabomu zinawauwa kwanza watoto na kina mama zinawaacha Hamas? Hizi porojo wapeleke mashoga ndiyo wanaamini huu uharo wako.
 
Mbele ya vitendo hivi viovu vya kuua watoto wasio na hatia wasioweza kujitetea, kunyamaza ni sawa na ushirikiano. #Rafah

Kuna mapunguani humu yamejaa ujinga yanafurahia haya mauaji na kuja na propaganda za kishoga eti Hamas wanajificha nyuma ya watoto ukiwauliza Hamas wamekufa wa ngapi kama wanajifucha nyuma ya watoto hayo mabomu yanachagua wa kuwaua.

Unawaambia watu wahame waende kwenye matent wanafika huko unawapiga mabomu.

Israel wameshindwa kupigana na Hamas wanarusha mabomu kwa raia wasiyokuwa na hatia.

Wakitia mguu chini wanakutana na Hamas wanaokota maiti zao.
Hapo hamna Hamas hata mmoja
 
Attachments

  • IMG_4813.jpeg
    IMG_4813.jpeg
    877 KB · Views: 3
Wewe mloloke utakuwa jinga la mwisho na punguani, hizo propaganda za kishoga waambie wenzako unasema Hamas wanajificha kwa watoto na kina Mama? Kwa hiyo hizo ndege zinazorusha mabomu zinawauwa kwanza watoto na kina mama zinawaacha Hamas? Hizi porojo wapeleke mashoga ndiyo wanaamini huu uharo wako.
Acha kujificha kwenye kivuli Cha mashoga hao na makka na Madina wapo kwani Hamas wakirusha makombora Israel yanachagua wanajeshi tu?
 
Wanaukumbi.

Wiki hii nzima Israeli imeteseka L baada ya L; kidiplomasia, kisiasa na kisheria - na sasa: jana askari wao walitekwa kama POWs, na leo Hamas inaonyesha uwezo wao wa kijeshi haujashushwa, kiasi kwamba wameweza kufyatua risasi huko Tel Aviv.

Nentanyahu na wenzake wanasema wananenda Rafah kumaliza vita, Hamas hawapo huko wapo maeneo mengine na leo wamerusha makombora yametua Tel Aviv

====

Al-Qassam launched about 10-12 long-range rockets, from Rafah, travelling 100-110km to hit Tel Aviv, after a hiatus of 4 months. The Iron dome failed to intercept the rockets, more than 8 direct impacts were made, causing material damage and the ignition of fire. 2 settlers were also injured.

Nyie andikeni kishabiki kama gaza haijabakia makumbusho. Taifa pekee lililojitolea kuitetea gaza kwa kuifungulia kesi Israel ni Afrika Kusini peke yake mpaka sasa, hakuna Muarabu yoyote aliethubutu kufunua pua.
 
Wanaukumbi.

Wiki hii nzima Israeli imeteseka L baada ya L; kidiplomasia, kisiasa na kisheria - na sasa: jana askari wao walitekwa kama POWs, na leo Hamas inaonyesha uwezo wao wa kijeshi haujashushwa, kiasi kwamba wameweza kufyatua risasi huko Tel Aviv.

Nentanyahu na wenzake wanasema wananenda Rafah kumaliza vita, Hamas hawapo huko wapo maeneo mengine na leo wamerusha makombora yametua Tel Aviv

====

Al-Qassam launched about 10-12 long-range rockets, from Rafah, travelling 100-110km to hit Tel Aviv, after a hiatus of 4 months. The Iron dome failed to intercept the rockets, more than 8 direct impacts were made, causing material damage and the ignition of fire. 2 settlers were also injured.

Sasa hiyo ni makombora au baruti
 
Back
Top Bottom