Wakristu wenzenu wameuliwa in a cold blood attack.
Basi bora ungesema bomu au kombora limerushwa ila hapana,SNIPER ndio wamehusika.
Bro nadhani unajua kuwa SNIPER lazima apime kipimo a lock target ndio afyatue risasi.
KATAA NA HAPO.
Na mashuhuda wanadai hawakupewa onyo wala nini walishtukia risasi zikipigwa kuelekea KANISANI.
Je Hamas nao walijificha kanisani!?
NASUBIRI USHAHIDI MKUU WA HAMAS KUJIFICHA NYUMA YA RAIA.
Mkuu angalia kwa jicho la tatu hili Jambo. Gaza Israel wamechukua zaidi ya ekali 980 na wamepitisha kujengwa makazi ya walowezi. Uoni hamas wanawapa Israel sababu ya kuchukua ardhi mkuu?.
Mkuu angalia kwa jicho la tatu hili Jambo. Gaza Israel wamechukua zaidi ya ekali 980 na wamepitisha kujengwa makazi ya walowezi. Uoni hamas wanawapa Israel sababu ya kuchukua ardhi mkuu?.