Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 2,971
- 9,437
Watu wakifumua hadi hivyo vitoto msianze kutia huruma humu.Propaganda za kishoga hizo watu wameishazipuuza kwa hiyo wakikimbia kwa watoto mabomu wakipigwa wanachagua wa kuuwa? Usiwe punguani.
Kumbe Hamas Bado wanajionyesha Bado wapo!Hamas Yuko kama mwanamke kwenye siku zake za hatar atafanya Kila namna ili mradi umtafune tu, hii ni aibu kwa ICJ maana walishawaamuru Israel wasiishambulie Rafah kuepuka maafa Leo Hamas wanarusha rockets kutokea Rafah hii inawapa kibali IDF kuifukumua Rafah wanavyotaka.
Waweza shanga mosad ndo wamerusha hayo maroketHamas Yuko kama mwanamke kwenye siku zake za hatar atafanya Kila namna ili mradi umtafune tu, hii ni aibu kwa ICJ maana walishawaamuru Israel wasiishambulie Rafah kuepuka maafa Leo Hamas wanarusha rockets kutokea Rafah hii inawapa kibali IDF kuifukumua Rafah wanavyotaka.
Embu lete ushahidi wa uyasemao.Ww either hufuatilii mambo au umezaliwa miaka ya 2000, kwa taarifa Yako Israel alishapiga hao unaowaita jeshi kamili tena wakiwa wameunganika zaidi ya nchi moja na amewatandika zaidi ya mara moja pia.
Israel haijaacha aggression licha ya waraka wa ICJ.Hawa Hamas sijui kwanini wakitetewa hali ikapoa kidogo huwa wanatumia kila mbinu ili pawe pa moto. Rais wa Iran kafa aliyewapa mbeleko, hata hawasubiri wale timing wao wanatafutiwa unafuu wanaharibu. Baadae Israel irudishe mashambulizi makali wapost picha za wanawake mabonge wakilia
Ilo ndio JibuHii michezo! inawezekana kabisa Israel wenyewe wanahusika ili waendeleze mambo yao huko Gaza.
Unaongea nini buddah!?Hamas Yuko kama mwanamke kwenye siku zake za hatar atafanya Kila namna ili mradi umtafune tu, hii ni aibu kwa ICJ maana walishawaamuru Israel wasiishambulie Rafah kuepuka maafa Leo Hamas wanarusha rockets kutokea Rafah hii inawapa kibali IDF kuifukumua Rafah wanavyotaka.
Sasa ivi haya maroketi yanaondoka na Ayatollah khamneiWanaukumbi.
Wiki hii nzima Israeli imeteseka L baada ya L; kidiplomasia, kisiasa na kisheria - na sasa: jana askari wao walitekwa kama POWs, na leo Hamas inaonyesha uwezo wao wa kijeshi haujashushwa, kiasi kwamba wameweza kufyatua risasi huko Tel Aviv.
Nentanyahu na wenzake wanasema wananenda Rafah kumaliza vita, Hamas hawapo huko wapo maeneo mengine na leo wamerusha makombora yametua Tel Aviv
====
Al-Qassam launched about 10-12 long-range rockets, from Rafah, travelling 100-110km to hit Tel Aviv, after a hiatus of 4 months. The Iron dome failed to intercept the rockets, more than 8 direct impacts were made, causing material damage and the ignition of fire. 2 settlers were also injured.
Sasa kama mji umedhibitiwa hao wanaorusha hizo rocket wanatokea wapi? IDF drama nyingi sana aiseRockets zimerushwa kutokea Rafah ambako Israel wanaudhibiti mji huo
Bado IDF wanatafakari hatua zaidi za kuchukua
BBC
Ndugu acheni kufikiria pafupi.Hii michezo! inawezekana kabisa Israel wenyewe wanahusika ili waendeleze mambo yao huko Gaza.
Lini IDF alizuiwa na kibali chochote kufanya mashambulizi huko palestina? Hao hamna haja ya kuhangaika nao hao hamas wanawatosha watawatoa kamasi mpaka wakubali kusitisha vita.Hamas Yuko kama mwanamke kwenye siku zake za hatar atafanya Kila namna ili mradi umtafune tu, hii ni aibu kwa ICJ maana walishawaamuru Israel wasiishambulie Rafah kuepuka maafa Leo Hamas wanarusha rockets kutokea Rafah hii inawapa kibali IDF kuifukumua Rafah wanavyotaka.
Nimewaza tu out loud mkuu, Dunia bado ina mengi hatujayaona. Don' t be too sure.Ndugu acheni kufikiria pafupi.
Israel hawezi fanya michezo ya kitoto kama hii.
Nani anapenda michezo ya kufa mkuu. Usijipe moyo mzayuni anachezea kichapo.🤣Hii michezo! inawezekana kabisa Israel wenyewe wanahusika ili waendeleze mambo yao huko Gaza.
Hali imepowa lini?Hawa Hamas sijui kwanini wakitetewa hali ikapoa kidogo huwa wanatumia kila mbinu ili pawe pa moto. Rais wa Iran kafa aliyewapa mbeleko, hata hawasubiri wale timing wao wanatafutiwa unafuu wanaharibu. Baadae Israel irudishe mashambulizi makali wapost picha za wanawake mabonge wakilia
Wewe watu wapo vitani unazungumzia habari ya kujibu mashambulizi. au unadhani wakati wa hili shambulio IDF walikua vacation wanakunywa wine na totoz.Watu wakijibu mashambulizi wanakimbilia kujificha kwa watoto na wagonjwa.
Suala kama hili ain't about being too sure.Nimewaza tu out loud mkuu, Dunia bado ina mengi hatujayaona. Don' t be too sure.
Wanaukumbi.
Wiki hii nzima Israeli imeteseka L baada ya L; kidiplomasia, kisiasa na kisheria - na sasa: jana askari wao walitekwa kama POWs, na leo Hamas inaonyesha uwezo wao wa kijeshi haujashushwa, kiasi kwamba wameweza kufyatua risasi huko Tel Aviv.
Nentanyahu na wenzake wanasema wananenda Rafah kumaliza vita, Hamas hawapo huko wapo maeneo mengine na leo wamerusha makombora yametua Tel Aviv
====
Al-Qassam launched about 10-12 long-range rockets, from Rafah, travelling 100-110km to hit Tel Aviv, after a hiatus of 4 months. The Iron dome failed to intercept the rockets, more than 8 direct impacts were made, causing material damage and the ignition of fire. 2 settlers were also injured.
Usjipe moyo hakuna anaependa kufaIlo ndio Jibu