Vyamavingi
JF-Expert Member
- Oct 3, 2014
- 5,818
- 5,555
Wewe ukimkana mzazi wako inaondoa au kupunguza ukweli kuwa wewe sio mtoto wao?Wewe ni mwehu sana, nani atasoma huu upuuzi wako ungeijua dini ya mayahudi wala usingekuja hapa na ufurukutwa, mayahudi wanamtukana yesu na kumwita mtoto wa zinaa, dini yao ni judaysim na katika hii vita waliwauwa kwanza wakiristo ndio wakaja kwa waislam, siju unatetea nini
Wenzako wanaojielewa huko duniani na hata huko Israel wanaandama kupinga ushetani wa Netanyahu,
Kuhusu ugaidi ata wewe unaeshabikiwa watu kuuliwa ni gaidi usiye na shaka
Hii ndiyo shida ya Wafuga Midevu na Majini aliyekuambia mimi Nina shida na dini ya wayahudi ni nani? Moona hata waislamu wanamtukana yesu hapa hapa kwetu mimi hiyo si hoja yangu watukane wasimtukane mimi hainihusu kila mtu ana imani yake!! Acha ujinga na Upumbavu kwa hiyo kwa wewe kusema hivyo unafikiri ndiyo wakristo watawachukia wayahudi? Kwa taarifa yako tu Wakristo wamejengwa kwenye UPENDO si kwenye chuki Kama nyinyi. Umeongelea pia ujinga wa wanaoandamana huko Ulaya na Marekani hao wengi wao ni wahamiaji kutoka nchi za kiarabu na wengi ni wahamiaji haramu wanaandamana na kuleta usumbufu kwa watu wengine kosa Gaza jiulize kwa nini wakiendelea kuandamana huko Gaza!? Unanilaumu Mimi kuwaunga mkono wayahudi kwa lipi? Hivi unajua Magaidi wa Hamas waliyoyafanya huko Israel kulikopelekea Israel ianze kuwabonda magaidi hao? Au unajitoa ufahamu kutoka juma yaliyotokea Oct 07,2023? Acheni ujinga!!!!Wewe ni mwehu sana, nani atasoma huu upuuzi wako ungeijua dini ya mayahudi wala usingekuja hapa na ufurukutwa, mayahudi wanamtukana yesu na kumwita mtoto wa zinaa, dini yao ni judaysim na katika hii vita waliwauwa kwanza wakiristo ndio wakaja kwa waislam, siju unatetea nini
Wenzako wanaojielewa huko duniani na hata huko Israel wanaandama kupinga ushetani wa Netanyahu,
Kuhusu ugaidi ata wewe unaeshabikiwa watu kuuliwa ni gaidi usiye na shaka
Hamasi wamewagawanya mateka Gaza nzima, kama walivyogawanya maghala Yao ya silaha, sehemu mateka walipo ndipo hapo hapo Hamasi walipo na silaha zipo hapo. Maana yake Islaeli kamwe hawawezi kujua mateka walipo, wakijua vita vitakwisha. Kumbuka Hamasi wameongoza Gaza kwa miaka mingi, na muda wote walikuwa wanaandaa jinsi ya kukabiliana na Islaeli. Hamasi itashindwa endapo mpango wa kuwahamisha wa Palestina utafanikiwa na si vinginevyo.Kinachofanya israel washindwe kuwakomboa mateka wao ni nini haswa? Wana jeshi imara,mbinu na silaha nzito za kutosha why?
Hamas waliwezaje kuingia israel wakawachukua mateka na kuondoka nao?
Bora wayahudi kuliko waisharamuWewe ni mwehu sana, nani atasoma huu upuuzi wako ungeijua dini ya mayahudi wala usingekuja hapa na ufurukutwa, mayahudi wanamtukana yesu na kumwita mtoto wa zinaa, dini yao ni judaysim na katika hii vita waliwauwa kwanza wakiristo ndio wakaja kwa waislam, siju unatetea nini
Wenzako wanaojielewa huko duniani na hata huko Israel wanaandama kupinga ushetani wa Netanyahu,
Kuhusu ugaidi ata wewe unaeshabikiwa watu kuuliwa ni gaidi usiye na shaka
Ngoja watoe mateka wote wa Israel halafu IDF irudi Gaza.Maafisa wa Egypt na Qatar wamefanya juhudi kubwa kuhakikisha matakwa ya Hamas yatafanyiwa kazi
Israel anarudia kauli za marekani kama mtoto anayefundishwa kusomaMpaka Marekani aseme maana Israel kachapwa🤣🤣
Uyahudi na uislam ni dini zinazoamini Mungu mmoja aso na mshirika, nguruwe haramBora wayahudi kuliko waisharamu
Mateka wakiisha kesi ya netanyahu itakua ishahukumiwa,uchaguzi utafanyika, netanyahu hatokua mamlakani,kinachomfanya apende vita ni kuogopa kesiNgoja watoe mateka wote wa Israel halafu IDF irudi Gaza.
Acha kupotosha watu, Hamas wamefikia uamuzi wa kuendelea na makubaliano ya kusitisha vita kwa kutangaza kuachia mateka watatu hapo kesho baada ya matakwa yao kufanyiwa kazi.Magaidi wa Hamas Wiki hii walitangaza kwa mbwembwe nyingi kuwa Jumamosi haitawaachia mateka wa Israel kwa sababu mbalimbali ilizozisema kisha Trump katangaza kiama kwa magaidi hao na mwisho Waziri Mkuu wa Israel yeye Ali Waambie magaidi hao kuwa atafungulia lango la kuzimu kwa magaidi hao na hak utakuwa tena usitishwaji mapigano hadi magaidi hao wang’olewe huko Gaza ikiwa Jumamosi hawatawaachia mateka wa Israel. Waziri wa ulinzi wa Israel naye alianza kuifanyia kazi mara moja krauli ya Netanyahu kwa kufurahia likizo zote kwa wanajeshi wa Israel na kuli weka jeshi hilo kącika hali ya Tahadhali(High Alert) kukabiliana na tishio hilo la magaidi wa Hamas.
Baada ya Hamas kuona Mkwara mbuzi huo leo asubuhi wameamua kutii na wamesema Jumamosi watawatoa hao mateka bila wasi wasi.
Hicho kijikafiri kina chuki kwa waarabuAcha kupotosha watu, Hamas wamefikia uamuzi wa kuendelea na makubaliano ya kusitisha vita kwa kutangaza kuachia mateka watatu hapo kesho baada ya matakwa yao kufanyiwa kazi.
Hivi Sasa mamia ya malori yapo mpakani mwa Misri na Palestina (Rafah) yakiwa na nyenzo nzito za kuondolea vifusi pamoja na nyumba za dharura/muda mfupi zinazohamishika.
Israel-Hamas deal back on track, Gaza captives to be freed as planned
Hamas confirms that Cairo talks with mediators addressed obstacles that threatened the Gaza deal with Israel.www.aljazeera.com
NETANYAHU AKBAR QOUMARMAAMAYEEMagaidi wa Hamas Wiki hii walitangaza kwa mbwembwe nyingi kuwa Jumamosi haitawaachia mateka wa Israel kwa sababu mbalimbali ilizozisema kisha Trump katangaza kiama kwa magaidi hao na mwisho Waziri Mkuu wa Israel yeye Ali Waambie magaidi hao kuwa atafungulia lango la kuzimu kwa magaidi hao na hak utakuwa tena usitishwaji mapigano hadi magaidi hao wang’olewe huko Gaza ikiwa Jumamosi hawatawaachia mateka wa Israel. Waziri wa ulinzi wa Israel naye alianza kuifanyia kazi mara moja krauli ya Netanyahu kwa kufurahia likizo zote kwa wanajeshi wa Israel na kuli weka jeshi hilo kącika hali ya Tahadhali(High Alert) kukabiliana na tishio hilo la magaidi wa Hamas.
Baada ya Hamas kuona Mkwara mbuzi huo leo asubuhi wameamua kutii na wamesema Jumamosi watawatoa hao mateka bila wasi wasi.
Mbona unalia ?🤣🤣 Maana unahofu mpaka taifa la Mungu litetewe na USA.Hivi Wafuga Midevu na Majini ni nani aliyewaroga?
Mnakimbilia kwenye mashimo kama panya halafu mnajiona mnaakili sana. Kipindi mnatangaziwa vita, mgekaa pale mpakani kupigana vita uso kwa uso.Mwaka na nusu hawajuwi mateka wako wapi?Stupid IDF
Huu muda wa kujifariji, mlitakiwa mtembeze bakuri la kuwasadia ndugu zenu wa imani wapate sehemu ya kuishi. Gaza ni magofu tu na bado mnasema Israel kachapwa. Mnasikitisha sanaMpaka Marekani aseme maana Israel kachapwa🤣🤣
Hamna unachojua maana unafuata watu wa upande wako ,kiufupi haujui chochote cha kutueleza🤣🤣Bora nilie tu kukusikitikia boya anayeshabikia Asichokijua!!
Naona unaumia kutokea kwenu ,mambo ya kule hayakuhusu kama una huruma basi saidia ndugu zako🤣🤣....Wala wengine hawajui hapo Congo au sudan unashindwa kwenda kusaidia ndugu zako.Huu muda wa kujifariji, mlitakiwa mtembeze bakuri la kuwasadia ndugu zenu wa imani wapate sehemu ya kuishi. Gaza ni magofu tu na bado mnasema Israel kachapwa. Mnasikitisha sana