Hamas wavalia kombati mpya za kijeshi kukabidhi mateka. Kila mmoja kapewa begi na shahada

Hamas wavalia kombati mpya za kijeshi kukabidhi mateka. Kila mmoja kapewa begi na shahada

Israel walijua vizuri sana waliko mateka ila tatizo walijua endapo tu wangejaribu kuwakomboa kibabe wasingepata hata moja aliye hai kwani magaidi walikuwa na mpango wa kujilipua na kufa nao wote.

That's the true story, you attempt to rescue the hostages and the attempt backfires because the suicide bombers detonate the bombs killing all the hostages in the process which is tantamount to conquering the whole world and forfeit your own life.
Jamaaa niliwai kukwambia punguza kula makande!!!! Yani mpalestine ajilpue kwa sababu ya IDF mkononi ana mtutu wa risasi kubwa ndugu mateka wslikuwepo apo GAZA tatizo mitutu ya Hamas wenyewe uliombwa ukaongeze nguvu viitani lkn ukachagua kufanya propaganda kwenye mitandao kufa sio kuzuli na IDF na washilika nao walitaka wafike 2025 aende nani kwenye pango Wajuba wana mitutu na sio waoga mnakumbuka vifaru kijana anatoka na boom mchana kweupe anakiendea kifaru sio poooo kufa!!
 
Nachoamin Israel ilijua mateka walipo ila ilikuwa na hamu ya mapigano.

Mateka wametumika kama sababu ya kuhalalisha mapigano
 
Ni ujinga zaidi kuamini kuwa Israel ilijua mateka walipo na ikashindwa kuwaokoa na badala yake ikakubali aibu ya kutiliana saini na adui yake ili kuwapata.
Kwa upande wa viongozi waliouliwa hakuna waliyejua alipokuwa.Walikufa kwa kupigwa kwa kubahatisha na baada ya hapo wakaona dalili kuwa waliokufa ndio wao.Yahya Sinwar aliuliwa akiwa na bunduki yake mkononi na walihisi ni yeye baada ya kulinganisha na picha walizokuwa nazo ndio maana ikachukua karibu wiki nzima kutoa tamko.
Mohammed Deif mpaka leo hakuna uthibitisho kuwa aliuliwa au bado anaongoza mapambano.
Ila ukiwa mwanamgambo inabidi ujitoe akili kweli.

Huyu jamaa yetu hapa anatuambia wale viongozi wa HAMAS waliuwawa kwa kubahatisha.

Aisee.
 
Je kama ni houth hao. Jamaa wanajikaza tu kutaka kuonyesha ubabe ila walichapika sana.
jipe moyo, sasa mbona wao ndio wameleta hao mateka? mbona Netanyahu alishindwa kuwakomboa hao mateka unadhan mateka yalikuwa yanashikiliwa na nani? acha upuuzi
 
Kuyamaliza magaidi ni mpaka uue wapalestina wote. Sasa watu wanavaa kombati wakati wakukabadhi mateka. Vitani wanakuwa sawa na raia wanavaa misuli na majoho. Kwa hali hiyo utaweza kumaliza magaidi?
Nani alikuwepo eneo la tukio akashuhudia hayo?
 
Hizo vita haziishi, hao wanapumzika tu. Hivyo ni visasi vya kurithi. Huwezi kumwambia kitu chochote kijana aliyekulia mazingira ya vita akakuelewa, wengi hawalijui hili.
 
Back
Top Bottom