Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimekubalibro hamas sio kikundi,hamas ni itikadi huwezi kuwamaliza
Jipe moyo wajeda wanajulikana ata avae kanzu na Kobaz kama YESU, lkn utamjua tu!! BwasheeWameokota watu wakawavisha uniform za jeshi mtoa maada angekuwepo Gaza si ajabu angekuwa keshavalishwa hata kama hakurusha Jiwe.
Ni kweli kama hawana imani ndani yao ni mapepo yanawatawala maishani mwao utasema ninimwarabu hajawahi kujielewa.
Kuyamaliza magaidi ni mpaka uue wapalestina wote. Sasa watu wanavaa kombati wakati wakukabadhi mateka. Vitani wanakuwa sawa na raia wanavaa misuli na majoho. Kwa hali hiyo utaweza kumaliza magaidi?Israeli hii vita ameshindwa tukiwa wakweli malengo yake hayajatimia maana magaidi bado yapo mtaani.
Baada ya Israel kuchagua Kushindwa na kusaini MKATABA bado unataka warushe jiwe!!!!! Nini jiwe wamewauwa kwa risasi WANAJESH w Israel kibao!! Israel ipo kwenye majonzi na majuto!!Hawana hata uwezo wa kurusha jiwe Israel,
Endelea kuota IRAN sio tu akuna wakuipiga ata wakuichimba mkwara IRAN ayupo kwasasa!!!Hamas hutasikia wakijaribu kuwachokoza Israel tena, Iran ndani ya Utawala ya Trump atapigwa vibaya na kufanywa kama Iraq au Libya au Lebanon au Aghanistan
Watakuwa na pepo la uharibifuNi kweli kama hawana imani ndani yao ni mapepo yanawatawala maishani mwao utasema nini
Wanajifichaga kwenye mashimo wanaacha watoto na wanawake wakiuawa. Sasa hivi kuna msako huko West Bank lakini hao hawaonekaniPicha za wapiganaji wa Hamas wakati wa makabidhiano ya mateka zimetajwa kuwa ni ushahidi kuwa vita vya zaidi ya mwaka mmoja havikuwamaliza wapiganaji hao.
Wakati huo huo video hizo zimewaudhi mno wahafidhina wa kiisrael akiwemo Ben Giver aliyewahi kupendekeza kutumika bomu la nyuklia kupambana na Hamas. Waziri huyo na mshirika muhimu wa Netanyahu kwa hasira aliamua kujiuzulu nafafsi yake.
Mateka hao watatu kila mmoja alikabidhiwa kigegi kidogo kilichokuwa na picha,mkufu pamoja na shahada ya kuwachwa huru iliyoandikwa kwa lugha ya kiarabu na kihibru.Mmoja kati ya mateka hao alililamika kupokonywa zawadi yake hiyo kulikofanywa na kikosi cha Shinbet.
Makabidhiano hayo ya mateka ambao walipitishiwa kwa shirika la Red Cross yamefanyika katikati ya mji wa Gaza kaskazini ambao kutokana na unyama uliofanyika wa kutumia silaha nzito na kuzuia chakula na maji kwa takriban miezi miwili ya karibuni haikutarajiwa kabisa kwamba kungebaki watu walio hai hasa miongoni mwa Hamas.
View attachment 3207834
Iran wanaanza kuwalaaumu HamasPicha za wapiganaji wa Hamas wakati wa makabidhiano ya mateka zimetajwa kuwa ni ushahidi kuwa vita vya zaidi ya mwaka mmoja havikuwamaliza wapiganaji hao.
Wakati huo huo video hizo zimewaudhi mno wahafidhina wa kiisrael akiwemo Ben Giver aliyewahi kupendekeza kutumika bomu la nyuklia kupambana na Hamas. Waziri huyo na mshirika muhimu wa Netanyahu kwa hasira aliamua kujiuzulu nafafsi yake.
Mateka hao watatu kila mmoja alikabidhiwa kigegi kidogo kilichokuwa na picha,mkufu pamoja na shahada ya kuwachwa huru iliyoandikwa kwa lugha ya kiarabu na kihibru.Mmoja kati ya mateka hao alililamika kupokonywa zawadi yake hiyo kulikofanywa na kikosi cha Shinbet.
Makabidhiano hayo ya mateka ambao walipitishiwa kwa shirika la Red Cross yamefanyika katikati ya mji wa Gaza kaskazini ambao kutokana na unyama uliofanyika wa kutumia silaha nzito na kuzuia chakula na maji kwa takriban miezi miwili ya karibuni haikutarajiwa kabisa kwamba kungebaki watu walio hai hasa miongoni mwa Hamas.
View attachment 3207834
Ila hawa wajomba! Sio mchezo, ni kama siafu au mchwa! Unapiga dawa! Unsfikri umewaua wote, wanaiubuka tena sehemu nyingine! Ipo siku kitaandikwa kitabu kuhusu how to train guerrillas according to Hamas formula! Salute kwaoPicha za wapiganaji wa Hamas wakati wa makabidhiano ya mateka zimetajwa kuwa ni ushahidi kuwa vita vya zaidi ya mwaka mmoja havikuwamaliza wapiganaji hao.
Wakati huo huo video hizo zimewaudhi mno wahafidhina wa kiisrael akiwemo Ben Giver aliyewahi kupendekeza kutumika bomu la nyuklia kupambana na Hamas. Waziri huyo na mshirika muhimu wa Netanyahu kwa hasira aliamua kujiuzulu nafafsi yake.
Mateka hao watatu kila mmoja alikabidhiwa kigegi kidogo kilichokuwa na picha,mkufu pamoja na shahada ya kuwachwa huru iliyoandikwa kwa lugha ya kiarabu na kihibru.Mmoja kati ya mateka hao alililamika kupokonywa zawadi yake hiyo kulikofanywa na kikosi cha Shinbet.
Makabidhiano hayo ya mateka ambao walipitishiwa kwa shirika la Red Cross yamefanyika katikati ya mji wa Gaza kaskazini ambao kutokana na unyama uliofanyika wa kutumia silaha nzito na kuzuia chakula na maji kwa takriban miezi miwili ya karibuni haikutarajiwa kabisa kwamba kungebaki watu walio hai hasa miongoni mwa Hamas.
View attachment 3207834
Usikubali kuwa na akili ya kushikiliwa. Kwa hiyo Israel walijua waliopo mateka then Kwa makusudi iliwaacha.Ni mtu mjinga ambaye ataamini Israel haikujua Mateka walipo.
Yaani iwaue viongozi karibu wote wa hamas, ijue walipo alafu wasijue mateka walipo
Tena iliwaacha wengine wafe mana Hamas inayo miili ya ao mateka waisrael jamaa mazwazwa sana.Usikubali kuwa na akili ya kushikiliwa. Kwa hiyo Israel walijua waliopo mateka then Kwa makusudi iliwaacha.
Mahaba yakipitiliza ni ushamba
Hayo ni mawazo yako yaliyo finyu,hakuna vita inayoweza kumaliza wanajeshi wote,au lile swali la zamani walilokuwa wakiulizwa watoto hulifahamu? hili hapa "Kwenye mti kuna ndege 100 nikimpiga na kuPicha za wapiganaji wa Hamas wakati wa makabidhiano ya mateka zimetajwa kuwa ni ushahidi kuwa vita vya zaidi ya mwaka mmoja havikuwamaliza wapiganaji hao.
Wakati huo huo video hizo zimewaudhi mno wahafidhina wa kiisrael akiwemo Ben Giver aliyewahi kupendekeza kutumika bomu la nyuklia kupambana na Hamas. Waziri huyo na mshirika muhimu wa Netanyahu kwa hasira aliamua kujiuzulu nafafsi yake.
Mateka hao watatu kila mmoja alikabidhiwa kigegi kidogo kilichokuwa na picha,mkufu pamoja na shahada ya kuwachwa huru iliyoandikwa kwa lugha ya kiarabu na kihibru.Mmoja kati ya mateka hao alililamika kupokonywa zawadi yake hiyo kulikofanywa na kikosi cha Shinbet.
Makabidhiano hayo ya mateka ambao walipitishiwa kwa shirika la Red Cross yamefanyika katikati ya mji wa Gaza kaskazini ambao kutokana na unyama uliofanyika wa kutumia silaha nzito na kuzuia chakula na maji kwa takriban miezi miwili ya karibuni haikutarajiwa kabisa kwamba kungebaki watu walio hai hasa miongoni mwa Hamas.
View attachment 3207834
Mijamaa iliwekeza kwenye MEDIA tu kujitutumua kuwa mijitu yenye akili zaid kijesh awashindwi wananaguvu mengi yani waliamini Binadam ukimpigia wimbo uwo sana sana basi watawaogopa WAISRAEL sasa wapalestina wanawajua vizuli sana mana tangu watoto wanakuwa wanawaona ukweli waisrael waoga sana kupigana vita awawezi umeona wapi duniani watu wanavamia kambi 4 za JESH na kuwauwa wanajesh na kuwachukua mateka wengine. Kambi 4 kama sio misaada ya Marekani waisrael niwatu duni sana.Hilo la mateka limewadhalilisha sana hao Israel wanajifanya wanaweza kumbe usanii tu ujanja ujanja tu
Sasa unafikili mateka walikua hapo gaza?. Alafu sare zimevaliwa kukabizi mateka Ila kwenye vita wanapiga kirahia unategemea nini?Inanifikirisha sana, ukizingatia Gaza pia ni kaeneo kadogo unaweza kwenda ukarudi mara kadhaa Gaza yooote, mbaya zaidi jamaa wanasema walifukua mahandaki yote.
Nina uhakika pia jamaa waliziba border zote na kucontrol movements, lakini bado walishindwa kuwapata mateka ndani ya Gaza lingine tunawaona Hamas hapo hapo Gaza tena.
Mbaya zaidi, kuna hatari Hamas wakapata wanachama wapya wenye hasira zaidi na Israeli maana wengi wameuliwa ndugu zao wasio na hatia wala uhusiano na Hamas.
Hii vita inahitaji akili zaidi kuimaliza kuliko manguvu na kuua watu hovyohovyo, mauaji yanaendeleza chuki ya vizazi na vizazi.