Hamas wavalia kombati mpya za kijeshi kukabidhi mateka. Kila mmoja kapewa begi na shahada

Jamaaa niliwai kukwambia punguza kula makande!!!! Yani mpalestine ajilpue kwa sababu ya IDF mkononi ana mtutu wa risasi kubwa ndugu mateka wslikuwepo apo GAZA tatizo mitutu ya Hamas wenyewe uliombwa ukaongeze nguvu viitani lkn ukachagua kufanya propaganda kwenye mitandao kufa sio kuzuli na IDF na washilika nao walitaka wafike 2025 aende nani kwenye pango Wajuba wana mitutu na sio waoga mnakumbuka vifaru kijana anatoka na boom mchana kweupe anakiendea kifaru sio poooo kufa!!
 
Nachoamin Israel ilijua mateka walipo ila ilikuwa na hamu ya mapigano.

Mateka wametumika kama sababu ya kuhalalisha mapigano
 
Ila ukiwa mwanamgambo inabidi ujitoe akili kweli.

Huyu jamaa yetu hapa anatuambia wale viongozi wa HAMAS waliuwawa kwa kubahatisha.

Aisee.
 
Je kama ni houth hao. Jamaa wanajikaza tu kutaka kuonyesha ubabe ila walichapika sana.
jipe moyo, sasa mbona wao ndio wameleta hao mateka? mbona Netanyahu alishindwa kuwakomboa hao mateka unadhan mateka yalikuwa yanashikiliwa na nani? acha upuuzi
 
Kuyamaliza magaidi ni mpaka uue wapalestina wote. Sasa watu wanavaa kombati wakati wakukabadhi mateka. Vitani wanakuwa sawa na raia wanavaa misuli na majoho. Kwa hali hiyo utaweza kumaliza magaidi?
Nani alikuwepo eneo la tukio akashuhudia hayo?
 
Hizo vita haziishi, hao wanapumzika tu. Hivyo ni visasi vya kurithi. Huwezi kumwambia kitu chochote kijana aliyekulia mazingira ya vita akakuelewa, wengi hawalijui hili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…