Hamas yadai yawauwa kamanda wa IDF huko Gaza kwe uwanja wa mapambano

Hamas yadai yawauwa kamanda wa IDF huko Gaza kwe uwanja wa mapambano

Wanaukumbi

🚨🇮🇱🇵🇸HAMAS ADAI KAMANDA WA IDF AMEUAWA HUKO GAZA.

Vikosi vya Al-Qassam, tawi la kijeshi la Hamas, walitoa picha ya bomu la IED likilipua chini ya tanki kaskazini mwa Gaza, ambalo wanadai lilimuua mwanachama mkuu wa IDF.

"Tulilenga kifaru cha Kizayuni chenye maganda 105 cha Al-Yassin magharibi mwa kambi ya Jabalia kaskazini mwa Ukanda wa Gaza."

Hakuna uthibitisho wa dai kwa wakati huu.

Chanzo: Al-Qassam Brigade Official TG

Al-Qassam Brigade, the military wing of Hamas, released footage of an IED exploding underneath a tank in northern Gaza, which they claim killed a senior member of the IDF.“We targeted a Zionist tank with a 105 Al-Yassin shell west of Jabalia camp in the northern Gaza Strip.”There is no confirmation of the claims at present.

=========================

UP DATE.
BREAKING:

Israel inaripoti, kamanda wa brigedi ya 401 aliuawa pamoja na makamanda kadhaa wa uwanja katika shambulio la Hamas katika kambi ya wakimbizi ya Jabalia, kaskazini mwa Gaza.


View: https://x.com/currentreport1/status/1848031780030317017?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

Jabalia refugee camp kuna hamas kumbe? IDF ikitupa mabomu hapo msilie raia wa kawaida wamekufa
 
Israel wataliwa vichwa sana na hivi vita vya muda mrefu ndiyo wamevizoea wanaume wa shoka Hamas.

Hapo bado hadi General wao akijichanganya naye analiwa kichwa na HAMAS.

Huu ni ujumbe tosha kwamba Hamas wapo imara hawajatetereka hata kidogo.
 
Hamasi na Hezbollah wanaua wanajeshi, Israel wakitoka hapo watapiga mabomu mochwari, hospitali, shuleni, sokoni na kila mahala wanaua rais 100 ama zaidi.

Ni wakati sasa Hezbollah na Hamasi kulenga raia wa kawaida kama inavyofanya Israel.
 
Hapo mazayuni hasira zao wanatuma ndege za mashoga zao wakimerekani wakauwe watoto na wanawake kwenye camp za wakimbizi za Ghaza na lebanon.

Waje uso kwa uso hao mashoga, wafundishwe uwanamme ni nini.

Kwani wakifundishwa "uanamke ni nini" kuna tatizo?

Wanawake nao si binadamu kama wanaume?

Pia wanawake mashujaa wa vita na hata ma amiri jeshi wakuu nao si wapo?
 
Yahudi jeusi la Utegi linakanusha😂

⚡️🚨 Kanali wa Israel Ihsan Daqsa, Druze, aliuawa wakati gari la kivita la Tiger lililipuliwa pamoja na timu yake, waliokuwa wamekuja kupokea taarifa za kijasusi katika uwanja wa Jabalia. Alihusika na operesheni huko Jabalia.

Kanali Ihsan Daqsa, aliyeuawa leo katika vita vya Jabalia, Kaskazini, ndiye afisa wa ngazi ya juu zaidi wa kijeshi kuuawa katika vita hivi, na ni miongoni mwa maafisa 4 wenye cheo cha kanali ambao wameuawa tangu mwanzo wa vita.

- Mnamo Juni, sherehe ya kutwaa kamanda mpya wa kikosi hicho ilifanyika ndani ya #Rafah na ilikuwa ujumbe wa kumkaidi dhidi ya upinzani.

- Mnamo Oktoba 20, miezi 4 tu baada ya kushika wadhifa wake, Vikosi vya Qassam viliweza kumuua
"Ndiye afisa wa cheo cha juu wa kwanza kuuawa tangu vita ianze. Ni miongoni mwa maofisa 4 wenye cheo cha kanali ambao wameuawa toka vita ianze"
Mbona hueleweki?
 
Na bahati mbaya kwa wapalestina, kila kifo kimoja cha muisrael kinalipwa kwa vifo zaidi ya 20 vya wapalestina.

Nduguyo mmoja akifa kwenye mazingira kama hayo ndipo utajua kumbe huyo mmoja ni mwngi kiasi gani.

Laiti ungejua wafiwa wanasema je ungetambua ubutu wa post yako.
 
Hamasi na Hezbollah wanaua wanajeshi, Israel wakitoka hapo watapiga mabomu mochwari, hospitali, shuleni, sokoni na kila mahala wanaua rais 100 ama zaidi.

Ni wakati sasa Hezbollah na Hamasi kulenga raia wa kawaida kama inavyofanya Israel.
Wewe utakuwa hupo sawa kichwani. Hata kama huwapendi wayahudi, ujitahidi kuukubali uhalisia. Hivi kweli hao aisrael kama wangeamua kumwua kila mpalestina, wapalestina wangekuwa bado?

Tatizo lipo upande wa Hamas na Hezbollah. Wao wanajificha katikati ya raia, wakiwatumia kama shields. Yaani wanataka kabla ya wao kufikiwa, kwanza wauawe wasio wapiganaji. Na raia wakitaka kuwa mbali na wao, wakikimbia maeneo ambayo wapiganaji wapo, wanawaua. Ndiyo maana imeshindikana hata watoto na wanawake kukimbilia nchi jirani.
Wayahudi hawafanyi huo uharamia Wa magaidi ya Hamas na Hezbollah. Wanajeshi wana maeneo yao, na raia wana maeneo yao. Hawaweki silaha au mahandaki kwenye makazi ya raia. Hawa magaidi wa Hamas na Hezbollah, kwao uhai wa raia hauna thamani, ndiyo maana wanaamua kushambulia, kuhifadhi salaha au wao wenyewe kujificha mahospitalini, mashuleni na kwenye majengo ya kiraia, wakijua kwa vile waisrael wana ustaarabu wa kiwango fulani, lazima watapata ukakasi kuwaua wakiwa katikati ya raia.
 
Wewe punguani kweli hawa magaidi akifa hata mmoja ni ushidi wameuwa watoto Gaza nyie mashoga mnashqngilia.

Kanali Daxa wa Brigedi ya 401 alipigwa picha siku mbili zilizopita (Au Fialkov credit) akiwanyanyasa wakazi wa Jabalia kuondoka, na kutekeleza utakaso wa kikabila wa IDF. Hatima yake iko kwa Mungu sasa.

[cheo kwenye mkono: *** | brigade nyuma ya kofia]
We ndiye punguani unayeshangilia mwanajeshi mmoja kufa vitani.
 
Yaani unashangilia mwanajeshi kuuawa wakati kuna vita? Au hujui maana ya vita? Siku Hamas wakiwafurusha IDF toka Gaza ndio itakuwa habari. Mwanajeshi mmoja kufa vitani sio habari.
Hakua mmoja wamekufa 13, ila huyo kuna kitu kibaya alikifanya alipiga picha na watu raia wa kawaida akawadhihaki baada ya hapo akawaua
 
Nduguyo mmoja akifa kwenye mazingira kama hayo ndipo utajua kumbe huyo mmoja ni mwngi kiasi gani.

Laiti ungejua wafiwa wanasema je ungetambua ubutu wa post yako.
Hilo linafahamika sana. Uchungu na huzuni kwa kifo kimoja cha mwanafamilia, haupimiki. Lakini kwenye uwanja wa vita, kumpoteza askari mmoja, madhara yake siyo sawasawa na kuwapoteza askari 100.
 
Hamasi na Hezbollah wanaua wanajeshi, Israel wakitoka hapo watapiga mabomu mochwari, hospitali, shuleni, sokoni na kila mahala wanaua rais 100 ama zaidi.

Ni wakati sasa Hezbollah na Hamasi kulenga raia wa kawaida kama inavyofanya Israel.
Watapoteza silaha kuua raia alafu unaacha target muhimu ambayo ndio wanao kusumbua front pia supply silaha kwa hamas iko limited, n kuongeza raia wako kufa zaidi, jeshi la Israel limepoteza malengo ndio lengo lao litimie hivi piga picha hao watu 40+elfu waliokufa wangekua ni wapiganaji wote vipi nani angebaki kutetea harakati? Hamas na hizbo hawana choice na kuattack raia watafanya tatizo liwe kubwa Zaid,
 
Nikafikiri Herzi Halevi, IDF General.
Israel wajitafakari sana, kitendo cha kumuua kizembe Sinwar Yahya (Mastermind) tena akiwa anakimbia kama panya kimewachochea Mujaheedin. 😁
 
Back
Top Bottom