Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 19,687
- 23,689
Wewe umesema kweli, sasa wanapigana hamas na Israeli, huku kobaz na bwana asifiwe wanaparuana.dini inawafanya watu weusi kukosa akili kabisa...si mwislam si mkristo....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe umesema kweli, sasa wanapigana hamas na Israeli, huku kobaz na bwana asifiwe wanaparuana.dini inawafanya watu weusi kukosa akili kabisa...si mwislam si mkristo....
Ni kweli Netanyaho mwenye amekiriPropaganda za magaidi katika ubora wake.Kamanda hana jina?
Ni kweli wanaua wanawake. Kama Mwanamke huyu alivyouawa kikatili.Wanaojificha ni mashoga mazayuni. wanauwa wanawake na watoto halafu wanajidai eti Hamas wamejificha huko.
swali muhimu sana maana wayahudi wa kwa mpalange wanasema Hamas wamesalenda,wale wa kwa mtogole wanaema Hamas washamalizwa sasa hizi news nyingine za makamanda wa IDF kufa sijui zinatokea wapiHiyo vita itakwisha kweli!
Mkishindwa kujibu hoja mnakuja na viroja.Allah Netanyahu
Waambie Hamas waache kujificha nyuma ya watoto na wanawake kama kweli wanataka kupigana kiume.
Hapo mazayuni hasira zao wanatuma ndege za mashoga zao wakimerekani wakauwe watoto na wanawake kwenye camp za wakimbizi za Ghaza na lebanon.
Waje uso kwa uso hao mashoga, wafundishwe uwanamme ni nini..
Israel anapigana na hamas tu?. Au unajifunika shuka jeusi usoni na kuziba masikio?Ni vizuri tukawaambia Israeli wawaache wapalestina huru, nao wawe na ardhi yao na jeshi lao, wanunue silaha watakavyo ili siku ikianza vita basi Israeli wapigane na jeshi kamili kama lao.
Kifupi Hamas ni wanamgambo tu na Israeli ni nchi yenye jeshi kamili na silaha zote.
Israel anapigana na hamas tu?. Au unajifunika shuka jeusi usoni na kuziba masikio?
Israel anapigana na hamas tu?. Au unajifunika shuka jeusi usoni na kuziba masikio?
Wanaukumbi
🚨🇮🇱🇵🇸HAMAS ADAI KAMANDA WA IDF AMEUAWA HUKO GAZA.
Vikosi vya Al-Qassam, tawi la kijeshi la Hamas, walitoa picha ya bomu la IED likilipua chini ya tanki kaskazini mwa Gaza, ambalo wanadai lilimuua mwanachama mkuu wa IDF.
"Tulilenga kifaru cha Kizayuni chenye maganda 105 cha Al-Yassin magharibi mwa kambi ya Jabalia kaskazini mwa Ukanda wa Gaza."
Hakuna uthibitisho wa dai kwa wakati huu.
Chanzo: Al-Qassam Brigade Official TG
Al-Qassam Brigade, the military wing of Hamas, released footage of an IED exploding underneath a tank in northern Gaza, which they claim killed a senior member of the IDF.“We targeted a Zionist tank with a 105 Al-Yassin shell west of Jabalia camp in the northern Gaza Strip.”There is no confirmation of the claims at present.
=========================
UP DATE.
BREAKING:
Israel inaripoti, kamanda wa brigedi ya 401 aliuawa pamoja na makamanda kadhaa wa uwanja katika shambulio la Hamas katika kambi ya wakimbizi ya Jabalia, kaskazini mwa Gaza.
View: https://x.com/currentreport1/status/1848031780030317017?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Kwanini Israeli hapo Gaza anapigana na wanamgambo gani zaidi ya Hamas.
Kule Lebanon anapigana na nani zaidi ya Hizbollah?
Unajua tofauti ya vikundi vya mgambo na jeshi kamili za Israeli?
Unajua tofauti ya proxy war ya Iran kwa hivi vikundi na full support ya USA, UK, Germany nk dhidi ya Israeli?
Kwani Iran kazuiawa na nani? Na nani asiyejua Kama hayo makundi ni sapoti ya Iran?. Hayo ni majeshi yasiyovaa sare tu. Watu wanauwa zaidi ya watu 1000 kwa Mara moja kwa kufanya uvamizi wa mabomu mnasema siyo jeshi. Kusema kuwa si jeshi ni unafiki tuKwanini Israeli hapo Gaza anapigana na wanamgambo gani zaidi ya Hamas.
Kule Lebanon anapigana na nani zaidi ya Hizbollah?
Unajua tofauti ya vikundi vya mgambo na jeshi kamili za Israeli?
Unajua tofauti ya proxy war ya Iran kwa hivi vikundi na full support ya USA, UK, Germany nk dhidi ya Israeli?
Usidanganye watu bana mkuu.Iran created all this mess. After the revolution in 1979, the aim was to topple more Middle East regimes and institute Islamic government's.
Wamefeli sababu ya washia na wasuni hawaivi chungu kimoja.
Saudia hamuamini kabisa Muirani
In 1948, the UN created Israel and declared its independence. Transporter wa ugaidi duniani ni Iran. Na nia zake za kutengeneza serikali zinazofanana na wao.Usidanganye watu bana mkuu.
Israel started all this since 1948.
Hata Damascus crisis ilitokea 1958 kama sijakosea na aliyehusika ni Israel je,1958 ni sawa na 1979!??
Embu acha kudanganya.
Ona sasa unavyojivuruga.In 1948, the UN created Israel and declared its independence. Transporter wa ugaidi duniani ni Iran. Na nia zake za kutengeneza serikali zinazofanana na wao.
Ingawa Saudia, radicals who claims to be seraphim, have also created alot of mess. Osama alikuwa moja ya zao lao