Tangawizi
JF-Expert Member
- Jun 25, 2009
- 6,696
- 6,734
Ona sasa unavyojivuruga.
Kwahiyo vurugu zilianzia 1980s!??
Uongo haukusaidii kitu.
Vurugu zilianzia tangia 1948.
Jewish state iliundwa 1947 na kulikua na resolution kama tatu ambazo mbili waarabu walizikataa moja ndio waliikubali.
Resolution ya 1947 walipoikataa waarabu 1948 Israel ilianza expansion of jewish settlements.
Ikaja 1958 Israel ikashiriki Damascus crisis.
Hivi haya yote huyaoni!??
Ukija kwa ufadhili wa vikundi ulianza 1990s sio 1979 and above.
Tena Houthi ilishaundwa ila Iran imekuja kuiunga mkono Houthi 2014 ambapo Saudi Arabia ilikua inalazimisha Mansour abaki madarakani ilhali 90% ya raia hawamtaki Mansour.
Kwa kitendo hiki unawaita Houthi magaidi!?
Unashindwa kumuita gaidi Saudia na USA waliokua wanamsapoti Mansour ambaye analazimisha kubaki madarakani!??
Hizbollah nayo imeundwa 1990s kama sijakosea.
Hizbollah imesaidia mbaka leo hii Lebanon imebakia whole piece of cake.
Laa sivyo ilikua inamegwa na Israel kama mkate.
Hizbollah hiyo hiyo IMETETEA WAKRISTO WENZAKO walipokua wanachinjwa na sunni wanaoendekeza itikadi kali dhidi ya Imani zingine na dhidi ya ushia.
Na hao sunni ndio wanashirikiana na USA ili kwenda kinyume na Iran eti kisa Iran ni shia.
Ila ukitizama Iran hana tabu yeyote na Sunni wala wakristo.
Mbona HOUTHI ni sunni majority na Iran imewasaidia!??
Tena mwanzo ilipoanzishwa ilikua inaitwa Answarullah.
Umeshindwa kutizama kuwa chanzo cha migogoro ni USA,Israel na washirika wake unakuja kulaumu Iran.
Pia unaongea IRRELEVANT issues.
Aaah bro acha uongo bana haukufai.
Waarabu wamepigana vita nyingi na Israel. 1966, 1972, intifadah...etc
Ila mpaka sasa Hezbollah ndio anawaumiza kichwa. Iliundwa 1980s kama wing ya Iran kusambaza influence zake, ikiwemo kuwafukuza wayahudi