beefinjector
JF-Expert Member
- Jul 23, 2009
- 2,458
- 2,496
Waambie Hamas waache kujificha nyuma ya watoto na wanawake kama kweli wanataka kupigana kiume.Wapigane na Hamas siyo na watoto.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waambie Hamas waache kujificha nyuma ya watoto na wanawake kama kweli wanataka kupigana kiume.Wapigane na Hamas siyo na watoto.
dini inawafanya watu weusi kukosa akili kabisa...si mwislam si mkristo....Hapo mazayuni hasira zao wanatuma ndege za mashoga zao wakimerekani wakauwe watoto na wanawake kwenye camp za wakimbizi za Ghaza na lebanon.
Waje uso kwa uso hao mashoga, wafundishwe uwanamme ni nini.
Wanaukumbi
🚨🇮🇱🇵🇸HAMAS ADAI KAMANDA WA IDF AMEUAWA HUKO GAZA.
Vikosi vya Al-Qassam, tawi la kijeshi la Hamas, walitoa picha ya bomu la IED likilipua chini ya tanki kaskazini mwa Gaza, ambalo wanadai lilimuua mwanachama mkuu wa IDF.
"Tulilenga kifaru cha Kizayuni chenye maganda 105 cha Al-Yassin magharibi mwa kambi ya Jabalia kaskazini mwa Ukanda wa Gaza."
Hakuna uthibitisho wa dai kwa wakati huu.
Chanzo: Al-Qassam Brigade Official TG
Al-Qassam Brigade, the military wing of Hamas, released footage of an IED exploding underneath a tank in northern Gaza, which they claim killed a senior member of the IDF.“We targeted a Zionist tank with a 105 Al-Yassin shell west of Jabalia camp in the northern Gaza Strip.”There is no confirmation of the claims at present.
=========================
UP DATE.
BREAKING:
Israel inaripoti, kamanda wa brigedi ya 401 aliuawa pamoja na makamanda kadhaa wa uwanja katika shambulio la Hamas katika kambi ya wakimbizi ya Jabalia, kaskazini mwa Gaza.
View: https://x.com/currentreport1/status/1848031780030317017?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Waambie Hamas waache kujificha nyuma ya watoto na wanawake kama kweli wanataka kupigana kiume.

Hilo linafahamika sana. Uchungu na huzuni kwa kifo kimoja cha mwanafamilia, haupimiki. Lakini kwenye uwanja wa vita, kumpoteza askari mmoja, madhara yake siyo sawasawa na kuwapoteza askari 100.
Wanaukumbi
🚨🇮🇱🇵🇸HAMAS ADAI KAMANDA WA IDF AMEUAWA HUKO GAZA.
Vikosi vya Al-Qassam, tawi la kijeshi la Hamas, walitoa picha ya bomu la IED likilipua chini ya tanki kaskazini mwa Gaza, ambalo wanadai lilimuua mwanachama mkuu wa IDF.
"Tulilenga kifaru cha Kizayuni chenye maganda 105 cha Al-Yassin magharibi mwa kambi ya Jabalia kaskazini mwa Ukanda wa Gaza."
Hakuna uthibitisho wa dai kwa wakati huu.
Chanzo: Al-Qassam Brigade Official TG
Al-Qassam Brigade, the military wing of Hamas, released footage of an IED exploding underneath a tank in northern Gaza, which they claim killed a senior member of the IDF.“We targeted a Zionist tank with a 105 Al-Yassin shell west of Jabalia camp in the northern Gaza Strip.”There is no confirmation of the claims at present.
=========================
UP DATE.
BREAKING:
Israel inaripoti, kamanda wa brigedi ya 401 aliuawa pamoja na makamanda kadhaa wa uwanja katika shambulio la Hamas katika kambi ya wakimbizi ya Jabalia, kaskazini mwa Gaza.
View: https://x.com/currentreport1/status/1848031780030317017?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Kamanda wa IDF kaliwa kichwa anaitwa Ehsan DaqsaKipi ni kipi kauawa kamanda wa IDF au kauawa mwanachama mkuu wa IDF?.
Kula na kuliwa ni jambo la kawaida vitani,ukiwa unakula tu bila kuliwa hiyo siyo vita.Kamanda wa IDF kaliwa kichwa anaitwa Ehsan Daqsa
Mdau alikuwa na mashaka nimemtoa mashaka kuwa Ehsan kaliwa kichwa kweliKula na kuliwa ni jambo la kawaida vitani,ukiwa unakula tu bila kuliwa hiyo siyo vita.
Kwani hujui hivyo vikundi ni vya kigaidi.wamekuulia mkeo hao unaowaita magaidi
Unaua mmoja, mnauliwa 400!Mdau alikuwa na mashaka nimemtoa mashaka kuwa Ehsan kaliwa kichwa kweli
Hata kama itatoka na la-hajaImekuingia chomoa tu
Unaua mmoja, mnauliwa 400!
Ujinga ni kwamba wamejikita kwenye mifumo ya dini yenye mafundisho mengi na kanuni za wanadamu na kumwacha Mungu. Wanaabudu dini zao au mapokeo ya wanadamudini inawafanya watu weusi kukosa akili kabisa...si mwislam si mkristo....
Ameuliwa kamanda sio mbeba mizigoUnaua mmoja, mnauliwa 400!