Hamas yadai yawauwa kamanda wa IDF huko Gaza kwe uwanja wa mapambano

Jabalia refugee camp kuna hamas kumbe? IDF ikitupa mabomu hapo msilie raia wa kawaida wamekufa
 
Israel wataliwa vichwa sana na hivi vita vya muda mrefu ndiyo wamevizoea wanaume wa shoka Hamas.

Hapo bado hadi General wao akijichanganya naye analiwa kichwa na HAMAS.

Huu ni ujumbe tosha kwamba Hamas wapo imara hawajatetereka hata kidogo.
 
Hamasi na Hezbollah wanaua wanajeshi, Israel wakitoka hapo watapiga mabomu mochwari, hospitali, shuleni, sokoni na kila mahala wanaua rais 100 ama zaidi.

Ni wakati sasa Hezbollah na Hamasi kulenga raia wa kawaida kama inavyofanya Israel.
 
Hapo mazayuni hasira zao wanatuma ndege za mashoga zao wakimerekani wakauwe watoto na wanawake kwenye camp za wakimbizi za Ghaza na lebanon.

Waje uso kwa uso hao mashoga, wafundishwe uwanamme ni nini.

Kwani wakifundishwa "uanamke ni nini" kuna tatizo?

Wanawake nao si binadamu kama wanaume?

Pia wanawake mashujaa wa vita na hata ma amiri jeshi wakuu nao si wapo?
 
"Ndiye afisa wa cheo cha juu wa kwanza kuuawa tangu vita ianze. Ni miongoni mwa maofisa 4 wenye cheo cha kanali ambao wameuawa toka vita ianze"
Mbona hueleweki?
 
Na bahati mbaya kwa wapalestina, kila kifo kimoja cha muisrael kinalipwa kwa vifo zaidi ya 20 vya wapalestina.

Nduguyo mmoja akifa kwenye mazingira kama hayo ndipo utajua kumbe huyo mmoja ni mwngi kiasi gani.

Laiti ungejua wafiwa wanasema je ungetambua ubutu wa post yako.
 
Hamasi na Hezbollah wanaua wanajeshi, Israel wakitoka hapo watapiga mabomu mochwari, hospitali, shuleni, sokoni na kila mahala wanaua rais 100 ama zaidi.

Ni wakati sasa Hezbollah na Hamasi kulenga raia wa kawaida kama inavyofanya Israel.
Wewe utakuwa hupo sawa kichwani. Hata kama huwapendi wayahudi, ujitahidi kuukubali uhalisia. Hivi kweli hao aisrael kama wangeamua kumwua kila mpalestina, wapalestina wangekuwa bado?

Tatizo lipo upande wa Hamas na Hezbollah. Wao wanajificha katikati ya raia, wakiwatumia kama shields. Yaani wanataka kabla ya wao kufikiwa, kwanza wauawe wasio wapiganaji. Na raia wakitaka kuwa mbali na wao, wakikimbia maeneo ambayo wapiganaji wapo, wanawaua. Ndiyo maana imeshindikana hata watoto na wanawake kukimbilia nchi jirani.
Wayahudi hawafanyi huo uharamia Wa magaidi ya Hamas na Hezbollah. Wanajeshi wana maeneo yao, na raia wana maeneo yao. Hawaweki silaha au mahandaki kwenye makazi ya raia. Hawa magaidi wa Hamas na Hezbollah, kwao uhai wa raia hauna thamani, ndiyo maana wanaamua kushambulia, kuhifadhi salaha au wao wenyewe kujificha mahospitalini, mashuleni na kwenye majengo ya kiraia, wakijua kwa vile waisrael wana ustaarabu wa kiwango fulani, lazima watapata ukakasi kuwaua wakiwa katikati ya raia.
 
We ndiye punguani unayeshangilia mwanajeshi mmoja kufa vitani.
 
Yaani unashangilia mwanajeshi kuuawa wakati kuna vita? Au hujui maana ya vita? Siku Hamas wakiwafurusha IDF toka Gaza ndio itakuwa habari. Mwanajeshi mmoja kufa vitani sio habari.
Hakua mmoja wamekufa 13, ila huyo kuna kitu kibaya alikifanya alipiga picha na watu raia wa kawaida akawadhihaki baada ya hapo akawaua
 
Nduguyo mmoja akifa kwenye mazingira kama hayo ndipo utajua kumbe huyo mmoja ni mwngi kiasi gani.

Laiti ungejua wafiwa wanasema je ungetambua ubutu wa post yako.
Hilo linafahamika sana. Uchungu na huzuni kwa kifo kimoja cha mwanafamilia, haupimiki. Lakini kwenye uwanja wa vita, kumpoteza askari mmoja, madhara yake siyo sawasawa na kuwapoteza askari 100.
 
Hamasi na Hezbollah wanaua wanajeshi, Israel wakitoka hapo watapiga mabomu mochwari, hospitali, shuleni, sokoni na kila mahala wanaua rais 100 ama zaidi.

Ni wakati sasa Hezbollah na Hamasi kulenga raia wa kawaida kama inavyofanya Israel.
Watapoteza silaha kuua raia alafu unaacha target muhimu ambayo ndio wanao kusumbua front pia supply silaha kwa hamas iko limited, n kuongeza raia wako kufa zaidi, jeshi la Israel limepoteza malengo ndio lengo lao litimie hivi piga picha hao watu 40+elfu waliokufa wangekua ni wapiganaji wote vipi nani angebaki kutetea harakati? Hamas na hizbo hawana choice na kuattack raia watafanya tatizo liwe kubwa Zaid,
 
Nikafikiri Herzi Halevi, IDF General.
Israel wajitafakari sana, kitendo cha kumuua kizembe Sinwar Yahya (Mastermind) tena akiwa anakimbia kama panya kimewachochea Mujaheedin. 😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…