Hamas yadai yawauwa kamanda wa IDF huko Gaza kwe uwanja wa mapambano


Waarabu wamepigana vita nyingi na Israel. 1966, 1972, intifadah...etc

Ila mpaka sasa Hezbollah ndio anawaumiza kichwa. Iliundwa 1980s kama wing ya Iran kusambaza influence zake, ikiwemo kuwafukuza wayahudi
 
Waarabu wamepigana vita nyingi na Israel. 1966, 1972, intifadah...etc

Ila mpaka sasa Hezbollah ndio anawaumiza kichwa. Iliundwa 1980s kama wing ya Iran kusambaza influence zake, ikiwemo kuwafukuza wayahudi
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Hapa suala vita kuanzishwa na nani au suala ni nani!?
We nani kakudanganya Hizbollah imeanzishwa na Iran mkuu!?
Iran yeye anaifadhili tu Hizbollah kama anavyoifadhili Houthi.
Ila yeye sio founder.
Pia unatakiwa uangalie je kama sio USA kuingilia sovereignty ya Iran je haya yote yangetokea!?
USA ilijihusisha hadi na Iran-Iraq war kwa kumpa sapoti kifedha na kijeshi Saddam Hussein.
Ili iweje!??
Yani mnashindwa kutizama chanzo ni nani mnabaki kumlaumu Iran.
1979 Iran ilifanya mapinduzi,kisa mapinduzi USA ika impose economic sanctions.
Je mbona yeye anaifadhili mapinduzi mataifa mengine ikiwemo Egypt!?
Egypt alifadhili mapinduzi ya Mohammed Morsi.
Libya alifadhili mapinduzi ya Muammar Gaddafi.
Itizame alivyoiharibu Libya,ilikua nchi ambayo haina deni lolote duniani katika chombo chochote cha fedha ulimwenguni ikiwemo WB/IMF.
Sasa hivi Libya taifa masikini linalochechemea na madeni lukuki.
Pia Iran hakuwahi kuwaza kuwafukuza wayahudi maana waliwahi kuwa washirika.
Huo mwaka 1980-1988 ni Israel ilimsaidia kiintelijensia Iran kupigana dhidi ya Iraq.
Unaona sasa unaanza kujivuruga mwenyewe!?
Kuingia miaka ya 1990s diplomasia zikabadilika na uadui wa Iran na Israel ukaanza.

Ukweli mchungu ambao hamtaki kuusikia mashabiki wa USA na Israel,chanzo cha migogoro yote hii pale mashariki ya kati ni USA,Israel na washirika wake.
 


View: https://www.youtube.com/watch?v=HvRs128mbdg
 

View: https://x.com/Salwan_Momika1/status/1848968043105247437
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ