Hamas yakanusha madai ya Israel ya kusonga mbele Gaza. Waonesha video za kipigo chao kwa IDF

Hakuna picha za raia 1400 wa Israel waliouawa,maiti chache zilizokutwa zinaonekana hazikupigwa na risasi Bali athari ya vifaru,Hamas hawakuwa na vifaru walipoingia Israel
Mmeanza kubadili gia angani
 
Israel hamna Jeshi pale ni Wanamgambo tu tena bora hata Suma JKT
tukiangalia kwenye tv tunaona ni kweli majeshi yapo katikati ya gaza na yanafumua mahandaki. sasa hamas watueleze, hayo mahandaki wanayofumua israel bila hata upinzani,k yapo wapi?
 
Katika hali isiyotegemewa kabisa.Viongozi wa kundi la Hamas wamekanusha madai ya jeshi la Israel kwamba wamepoteza udhibiti wa Gaza na kwamba jeshi la Israel limesonga mbele mpaka katikati ya Gaza.​

Mshangao unakuja kutokana na ukubwa wa mashambulizi yaliyofanywa na jeshi la Israel na kutoa moto mkubwa unaokaribia mawinguni kila baada ya robo saa kwa usiku na mchana.

Mapigo hayo yamefanyika huku jiji hilo likiwa limekatiwa umeme,chakula na maji.Katika hali hiyo kila mmoja alihofia kuwa wapiganaji wa Hamas wameshadhoofika na kufa ndani ya mahandaki yako.

Kinyume chake wameibuka juu na kukanusha madai ya Israel kwamba kwamba kundi hilo limepoteza udhibiti wa Gaza.Pamoja na kukanusha huko wamesambaza video ambayo imethibitishwa na televisheni kadhaa ikiwemo aljazeera ikiwaonesha wapiganaji hao wakiripua vifaru ya Israel kwa kutumia bunduki za RPG.

Video na ukanushaji huo wa Hamas unakubaliana na madai yao kuwa wameshauwa askari wengi wa Israel na kuhjaribu magari yao 136 na kwamba jeshi hilo kwa sasa limeshindwa kusonga mbele.

Uwezekano wa kutosonga mbele utaongezeka pindi Hamas wakiweza kuhimili kipigo kwa wiki chache zijazo,
View attachment 2809025
Propaganda!
 
Wewe umeona moja peke yake.Kama ndio mahandaki yote hakuna mateka aliyepatikana bado.Utapata jibu mwenyewe kati ya Hamas na IDF nani ni mkweli.
 
Wamechelewa sana, ulimwenguni kote wamejua Gaza iko chini ya IDF.
Basi hata wangesema kwa sasa idf iko maeneo gani kama hawapo Gaza.
Hovyo,mmeshindwa vita ,mnwadangamya wapalestina hamjashindwa.
 
Wewe umeona moja peke yake.Kama ndio mahandaki yote hakuna mateka aliyepatikana bado.Utapata jibu mwenyewe kati ya Hamas na IDF nani ni mkweli.
Hao mateka huenda wameahawaua, maana walionya kadri Israel inavyoshambulia ndivyo watakavyowaua mateka .
Ni swala la.muda tu itajulikana ,ama mateka wanaoshikiliwa nje ya gaza
 
Hakuna picha za raia 1400 wa Israel waliouawa,maiti chache zilizokutwa zinaonekana hazikupigwa na risasi Bali athari ya vifaru,Hamas hawakuwa na vifaru walipoingia Israel
Picha za watoto waliouliwa mpaka leo Israel wameshindwa kuzionesha.Wanaishia kuonesha madoa ya damu kwenye kuta.Kule Gaza ni maelefuj ya watoto wanakufa mbele ya waandishi wa habari.Watu wanashindwa kuwatoa kwenye mkandamizo wa vifusi mpaka wanakufa.
 
Umefanya uzembe wa hali ya juu kuzungumzia video kwenye heading yako huku ndani hujaiweka..

Hauitendei JF haki yake. Hii forum ina hadhi yake.
Nashukuru kwa ushauri.
Tayari nimeshakuwekea.Angalia kule mwanzo wa habari.
 
Wewe umeona moja peke yake.Kama ndio mahandaki yote hakuna mateka aliyepatikana bado.Utapata jibu mwenyewe kati ya Hamas na IDF nani ni mkweli.
binafsi napenda mateka waachiwe, na raia wa palestina wasife. ila kwa hamas ninachopenda kukupatia taarifa ni kwamba, gaza imekatwa katikati, raia wameambiwa waende kusini, hamas wamezingirwa kule kaskazini. nawashauri wavue magwanda wajichanganye na raia wajifanye wanaenda kusini ili wapone, manake muda ukiisha tu, raia wakaondoka kule kaskazini, kipigo kitakuwa kikubwa sana.
 
Usijali kila kitu kilikuwa kimepangwa.Wana uzoefu wa miaka mingi ya hasira za IDF.
Wale wanaokwenda kusini baadae watarudi huku huku kaskazini.Na uzuri mwengine kama umeona karibu kila mwanamke amebeba mtoto mchanga mikononi mwake na idadi kubwa ya wapalestina ni watoto.
 
sidhani kama watarudi kaskazini wakati israel ana mpango kupafanya pale kuanzia katikati kwenda kaskazini iwe buffer zone na awasukumie wapalestina wajenge makambi sinai huko misri ili in the long run waondoke kabisa gaza ikaliwe na wayahudi. pia unajua kama kule westbank idadi ya wayahudi imefika 600,000?
 
Katika hali isiyotegemewa kabisa.Viongozi wa kundi la Hamas wamekanusha madai ya jeshi la Israel kwamba wamepoteza udhibiti wa Gaza na kwamba jeshi la Israel limesonga mbele mpaka katikati ya Gaza.​

Mshangao unakuja kutokana na ukubwa wa mashambulizi yaliyofanywa na jeshi la Israel na kutoa moto mkubwa unaokaribia mawinguni kila baada ya robo saa kwa usiku na mchana.

Mapigo hayo yamefanyika huku jiji hilo likiwa limekatiwa umeme,chakula na maji.Katika hali hiyo kila mmoja alihofia kuwa wapiganaji wa Hamas wameshadhoofika na kufa ndani ya mahandaki yako.

Kinyume chake wameibuka juu na kukanusha madai ya Israel kwamba kwamba kundi hilo limepoteza udhibiti wa Gaza.Pamoja na kukanusha huko wamesambaza video ambayo imethibitishwa na televisheni kadhaa ikiwemo aljazeera ikiwaonesha wapiganaji hao wakiripua vifaru ya Israel kwa kutumia bunduki za RPG.

Video na ukanushaji huo wa Hamas unakubaliana na madai yao kuwa wameshauwa askari wengi wa Israel na kuhjaribu magari yao 136 na kwamba jeshi hilo kwa sasa limeshindwa kusonga mbele.

Uwezekano wa kutosonga mbele utaongezeka pindi Hamas wakiweza kuhimili kipigo kwa wiki chache zijazo,
View attachment 2809025
Asante nimeiona. Nadhani ni urban warfare imeanza.
 
sidhani kama watarudi kaskazini wakati israel ana mpango kupafanya pale kuanzia katikati kwenda kaskazini iwe buffer zone na awasukumie wapalestina wajenge makambi sinai huko misri ili in the long run waondoke kabisa gaza ikaliwe na wayahudi. pia unajua kama kule westbank idadi ya wayahudi imefika 600,000?
Lakini carpet bombing siyo nzuri. Wanataka waingie Gaza Ikiwa tambarare bila kujali civilian casualties?
 
Watoa propaganda ni wale walio vuruga Internet ili watu wasipate habari za uhakika kwenye uwanja ili wao walishe watu propaganda kupitia vyombo vyao vya habari.
Kwahiyo saa hii upo Gaza na habari kemkem ila unashindwa kuzituma sababu hamna Internet?
 
Asante nimeiona. Nadhani ni urban warfare imeanza.
Idadi halisi ya askari wa Israel wanaokufa itajulikana baadae kwani kwa sasa Israel wamezima mawasilano kuhofia maandamano TelAviv
 
Back
Top Bottom