HAMAS Yamteua Yahya Sinwar Kuwa Mrithi wa Ismail Haniyeh Aliyeuawa nchini Iran

HAMAS Yamteua Yahya Sinwar Kuwa Mrithi wa Ismail Haniyeh Aliyeuawa nchini Iran

1722970082593.jpeg


View: https://x.com/WarMonitors/status/1820882294053466234
 
Tayari yupo kwenye Radar ya Mossad..... Akikoroma tu tunamdungua
 
Hamas hakina muda mrefu kitapotea na kubaki kwenye Briefcase.
 
Kama wamewwza kumuua Mohammed Deif huyo Yahya Sinwar ni suala la muda tu.
 
Tangazo la kifo hilo! Obituary. Mabikra 72 wa kijini yanamsubiri peponi huko.
 
Kwa hiyo gaidi likifa linasamehewa dhambi kwa sababu ni muislam?
Nyie mtu anadai haki yake.mnamuita Gaidi, hebu tupe tafsiri ya kwanini unawaita magaidi au wewe unafata mkumbo wa Israel na US wanacho ongea. Vipi yale madai yenu mnayo ongea daima watetezi wa haki hahaha human right, Genocide yalishia wapi, na vipi kuhusu ICC mtaipiga sunction au😄
 
Israeli walifanya kosa kubwa mno kumuua haniyeh maana unaambiwa huyu mwamba ni mtata kupita maelezo.

Alishawahi kukamatwa na kupigwa mvua za kutosha na mazayuni.

Hivyo Israel itarajie kuendelea kupata upinzani mkubwa zaidi kutoka Hamas . View attachment 3063242View attachment 3063246
Sasa ataiongoza hiyo hamas akiwa wapi maana mossad inavyomsaka wamle kichwa labda ajifichie huko huko mashimoni
 
Back
Top Bottom