HAMAS Yamteua Yahya Sinwar Kuwa Mrithi wa Ismail Haniyeh Aliyeuawa nchini Iran

HAMAS Yamteua Yahya Sinwar Kuwa Mrithi wa Ismail Haniyeh Aliyeuawa nchini Iran

IDF Imeahidi Kufanya Mpango Wa Haraka Kumuuwa Mrithi Wa Ismael Haraka Sana
 
Shida magaidi hamujui kuwaua viongozi wa hamas ama hizbullah hawawezi kufanikisha vita na malengo ya paka pale ghaza
Mlidhani baada ya kuutumia ugaidi kumfyeka haniye ndio wapambanaji wa hamas watakwisha
Poleni sana huyu mwamba ataendeleza pale alipoishia mwanaume alopita
Taifa teule limeshindwa kushinda vita siku sita au mungu wao kawatelekeza😀
Hamas iko hoi, Israel ifyeke na hawa maimamu ambao wameacha mambo ya dini na kujikita katika ugaidi.
 
Israeli walifanya kosa kubwa mno kumuua haniyeh maana unaambiwa huyu mwamba ni mtata kupita maelezo.

Alishawahi kukamatwa na kupigwa mvua za kutosha na mazayuni.

Hivyo Israel itarajie kuendelea kupata upinzani mkubwa zaidi kutoka Hamas . View attachment 3063242

Hamas names Gaza leader Yahya Sinwar as chief following Ismail Haniyeh killing​

Sinwar, who has been the head of Hamas in Gaza and was the mastermind of October 7, will now serve as the paramount political leader of the group. The appointment is seen as a message from Hamas to Israel, to the U.S., to the mediators of the hostage deal, and to the Palestinian public

Hamas has named on Tuesday Yahya Sinwar, the group's leader in the Gaza Strip, as political bureau chief instead of Ismail Haniyeh was killed in Tehran last week.
Israel wanamalizana nae muda si mrefu.
 
Shida magaidi hamujui kuwaua viongozi wa hamas ama hizbullah hawawezi kufanikisha vita na malengo ya paka pale ghaza
Mlidhani baada ya kuutumia ugaidi kumfyeka haniye ndio wapambanaji wa hamas watakwisha
Poleni sana huyu mwamba ataendeleza pale alipoishia mwanaume alopita
Taifa teule limeshindwa kushinda vita siku sita au mungu wao kawatelekeza😀
Wewe ndio hujitambui wapi walisema kuwa kwa kumuua huyo kundi la hamas litaisha?? Kila anayeingia atauawa tu, itafikia muda litadhofika tu, kama aikaida, baada ya kuuawa osama limekuwa sio tishio tena, itafikia tu muda hao Wapalestina wenyewe, wataona kuwa hili kundi linatuletea maafa,
 
Siku hizi ndevu watu wote wanafuga,imekuwa utambulisho wa udume.
Huyu siyo dume

1723003955247.png
 
Yaani mtu anakikubali kifo hivi hivi, ama kweli lazima upewe mafundisho ya kuzimu ili moyo wako ufunguke ukubali haya mambo.
Wewe usiokua kiongozi wa hamas utaishi milele hongera sana😀
 
Mkuu malaria imepanda kwa bichwa, tafuta ugali wa wanao mkuu mambo za uislam cjui Kamasi/hazijawahi kukusaidia.

Hizi dini tutaziacja km tilivyozikuta.

Ishu kubwa ni maisha ya baadae ya wanetu. Hii ndiyo focus..Tuwape elimu,tuwekeze rasilimali ili baadae waishi maisha mazuri.

Uko Newala unasikitika Haniye wa Hamasi kauawa,inakuhusu nini ww na familia yako.

Kapalilie mihogo yako utafute na soko zuri uinjoi maisha kwenye sebule nzuri ya kuvutia.
Kuwatafutia maisha wanao au wanetu pamoja na sisi wenyewe jambo la msingi sana
Ila usisahau hata kama watakua na maisha kama marck elon na matajiri wengine lazima watakufa
Hivyo kwenye kuandaa maisha hakikisha maisha yako yadunia unayapambania yanakua sawa na mazuri ila hakikisha zaidi maisha yako ya baadae unayaandaa vyema zaidi ya haya yadunia
Sababu duniani tunapita tu hatutaishi milele
Sasa hangaikeni na dunia yenu muisahau akhera
Mtatukumbuka tunawakumbusha tu musife mpaka muhakikishe mumekua waislamu tena wale waumini laa sivyo mtajutia
 
Hakuna dini ya hovyo duniani kama ya wavaa vipedo!! Hawafikiri nje kitabu chao ni kama machizi fresh!! Ukiliambia jifunge bomu, halikuulizi mbona wewe hujifungi!!
Nyie mnaojiuliza mkiambiwa muoane wanaume kwa wanaume na wanawake kwa wanawake mnauliza ???
Ili uwe mkristo au kafiri sharti uwe huna akili timamu
Ndio maana mungu wenu sijui mtume wenu papa anawataka mubarikiwe
Kwakua anajua anadili na mazombi yaani
 
Hamas iko hoi, Israel ifyeke na hawa maimamu ambao wameacha mambo ya dini na kujikita katika ugaidi.
Upo hoi wewe sio hamas
Hamas ipo hoi mpaka sasa mmeshindwa kukomboa magaidi wenu waliotekwa mwaka sasa
Wakati muliweza kwenda kukomboa mateka entebbe kwa masaa 24 ila mnashindwa na hamas walo hoi hapo barazani kwenu mwaka sasa ujinga mlolishwa kanisani na MSM umewapalia
Wakati walipigana na namataifa yote ya kiarabu kwa siku sita tu ila hamas wanamwaka sasa wanashindwa kuwapiga uzembe mlomezeshwa jumapili na MSM kuwatoka kazi sana
 
Wewe ndio hujitambui wapi walisema kuwa kwa kumuua huyo kundi la hamas litaisha?? Kila anayeingia atauawa tu, itafikia muda litadhofika tu, kama aikaida, baada ya kuuawa osama limekuwa sio tishio tena, itafikia tu muda hao Wapalestina wenyewe, wataona kuwa hili kundi linatuletea maafa,
Koment yako tu inaonesha kati yetu nani hajitambui pole kijana
Mimi nikiwa sijitambui ndio levo yako yajuu yakujitambua inaanzia hapo mimi nikijatambua wewe hunipati hata iweje
Mwisho ukija kujitambua nusu ya mimi utafaidi
 
⚡️After Sinwar was elected leader of the Islamic Resistance Movement Hamas, an Israeli officer tweeted:

"We made a mistake in assassinating Haniyeh, leading to Sinwar becoming the leader of Hamas."

😭😂
Yule US Secretary Of state Anthony Blinken analia lia huko anasema sasa itakuwa vigumu kusimamisha vita, sababu huyo Sinwar ndio alikuwa hataki vita kusimamisha.
 
Back
Top Bottom