HAMAS Yamteua Yahya Sinwar Kuwa Mrithi wa Ismail Haniyeh Aliyeuawa nchini Iran

HAMAS Yamteua Yahya Sinwar Kuwa Mrithi wa Ismail Haniyeh Aliyeuawa nchini Iran

He may have breakfast but will not be around for dinner.
 
Nyie mnaojiuliza mkiambiwa muoane wanaume kwa wanaume na wanawake kwa wanawake mnauliza ???
Ili uwe mkristo au kafiri sharti uwe huna akili timamu
Ndio maana mungu wenu sijui mtume wenu papa anawataka mubarikiwe
Kwakua anajua anadili na mazombi yaani
Sikia we f.a.l.a, sijakuambia kwamba mimi naamini ujinga wa vitu vinavyoitwa dini, iwe uislam au ukristo wote ni vichaa tu
 
Siku zake zinahesabika.

Tutasikia parapanda ikilia muda wowote kutokana na utaratibu wa Israel ulivyo kwa sasa.
Yeah!... hatimaye kafa kweli.

Ngoja tuone kama hili litamaliza vita vya Gaza na mateka kuachwa huru.
 
Yeah!... hatimaye kafa kweli.

Ngoja tuone kama hili litamaliza vita vya Gaza na mateka kuachwa huru.
Hao Wayahudi wanatisha dhidi ya viongozi wakuu wa Hizbollah.

Itafika hatua askari waogope kuwa viongozi wakuu wa Hizbollah
 
Hao Wayahudi wanatisha dhidi ya viongozi wakuu wa Hizbollah.

Itafika hatua askari waogope kuwa viongozi wakuu wa Hizbollah
Kwani kwa akili yako askari wa kizayuni wanavyokufa wanapenda?
Tofauti hata wakifa 1000 utaona kawaida hadi afe kiongozi wa juu. Tangu uanze kusikia askari wangapi wamekufa kwa upande wa kizayuni?
 
Israeli walifanya kosa kubwa mno kumuua haniyeh maana unaambiwa huyu mwamba ni mtata kupita maelezo.

Alishawahi kukamatwa na kupigwa mvua za kutosha na mazayuni.

Hivyo Israel itarajie kuendelea kupata upinzani mkubwa zaidi kutoka Hamas . View attachment 3063242

Hamas names Gaza leader Yahya Sinwar as chief following Ismail Haniyeh killing​


Sinwar, who has been the head of Hamas in Gaza and was the mastermind of October 7, will now serve as the paramount political leader of the group. The appointment is seen as a message from Hamas to Israel, to the U.S., to the mediators of the hostage deal, and to the Palestinian public

Hamas has named on Tuesday Yahya Sinwar, the group's leader in the Gaza Strip, as political bureau chief instead of Ismail Haniyeh was killed in Tehran last week.
Vipi mkuu, bado unaamini katika comment hii? Poleni sana mazayuni ni watu hatari sana. Ifike wakati tukubali ukweli huu na tuishi nao bila kuwabughudhi.
 
⚡️After Sinwar was elected leader of the Islamic Resistance Movement Hamas, an Israeli officer tweeted:

"We made a mistake in assassinating Haniyeh, leading to Sinwar becoming the leader of Hamas."

😭😂
How is that working out so far? 😂😂
 
1729238746363.png
 
Back
Top Bottom