HAMAS Yamteua Yahya Sinwar Kuwa Mrithi wa Ismail Haniyeh Aliyeuawa nchini Iran

HAMAS Yamteua Yahya Sinwar Kuwa Mrithi wa Ismail Haniyeh Aliyeuawa nchini Iran

Siku zake zinahesabika.

Tutasikia parapanda ikilia muda wowote kutokana na utaratibu wa Israel ulivyo kwa sasa.
Sasa si yuko pale Gaza ambako israel inasema inacontrol yaani sio tu imuue ikamkamate kabisa hii ni miscalculations poor strategy unamuua soft Haniyeh halafu anakuwa replaced na hardliner Sinwar.
 
Kufa kumepangwa na Mungu, unaweza ukafa kwa sabu ya kitu flani, ili Mungu akusamehe dhambi zak, kama wewe ni Muislam, sa ajabu ni ipi akifa?
Kama kufa kumepangwa na Mungu sasa mnalalamika nini Israel akiwa anawafyeka ili kazi iliyopangwa na Mungu ikamilike?
 
Nyie mtu anadai haki yake.mnamuita Gaidi, hebu tupe tafsiri ya kwanini unawaita magaidi au wewe unafata mkumbo wa Israel na US wanacho ongea. Vipi yale madai yenu mnayo ongea daima watetezi wa haki hahaha human right, Genocide yalishia wapi, na vipi kuhusu ICC mtaipiga sunction au[emoji1]
Anadai haki gani? Kwa kubaka , kuteka na kuua hata kina mkwawa walipigania uhuru kwa stahili hiyo hizi stori mnazodanganyana na viongozi wa dini yenu
 
Safari hii hatanyeshewa mvua tu manyunyu kwa kipigo, mbona Israel kazi yao kwa sasa ni kuwawahisha pepo ya mabikra 72
 
Kama kufa kumepangwa na Mungu sasa mnalalamika nini Israel akiwa anawafyeka ili kazi iliyopangwa na Mungu ikamilike?
Nyie waimba kwaya noma sana kuna tofauti ya kupigana vita na kufa, kupigana unadai haki yao na kufa hata ukilala utakufa ikifika siku yako hauna ujanja. Unaweza kuliwa kwa risasi, missile, panga, hata kwa sumu. Kifo kama hakijafika siku yake hata wapige maboom utatoka mzima tu. Hio ni kazi ya Mungu kuchukua roho. Tatizo nyie hamna akili mnadhani mtoa roho ni jeshi la Israel au America. Tazama vitoto vya Gaza jumb lina waungukia gorofa kama 12 na bado vinakutwa hai, bada ya week nzima. Tukiwambia wanaye sema Mungu ni binadamu, hawana akili mnabisha 😄
 
Kufa kumepangwa na Mungu, unaweza ukafa kwa sabu ya kitu flani, ili Mungu akusamehe dhambi zak, kama wewe ni Muislam, sa ajabu ni ipi akifa?
Kwa hiyo kiongozi wa Hamas alieuawa Iran ni mpango wa Mungu kwa Waisrael?
 
Dah wavaa kobazi ni wabishi sana aisee. Ila watambinya kende tuu Mossad.
 
Anadai haki gani? Kwa kubaka , kuteka na kuua hata kina mkwawa walipigania uhuru kwa stahili hiyo hizi stori mnazodanganyana na viongozi wa dini yenu
Huwezi na hutaweza maisha yako kunionyesha mwanamgambo mmoja wa Hamasi anabaka, nadhani itakuwa ajabu kubwa sana duniani. Wabakaji na wanao jibaka ni hao wanajeshi wa taifa teule la Paulo. Pamoja na Wamarekani sabubu ukristo ni ushetani na wayahudi wamelaniwa mpo kwenye same group.
 
Nyie mtu anadai haki yake.mnamuita Gaidi, hebu tupe tafsiri ya kwanini unawaita magaidi au wewe unafata mkumbo wa Israel na US wanacho ongea. Vipi yale madai yenu mnayo ongea daima watetezi wa haki hahaha human right, Genocide yalishia wapi, na vipi kuhusu ICC mtaipiga sunction au😄
Gaidi sinwar akifa anasamehewa dhambi papo hapo?!
 
Israeli walifanya kosa kubwa mno kumuua haniyeh maana unaambiwa huyu mwamba ni mtata kupita maelezo.

Alishawahi kukamatwa na kupigwa mvua za kutosha na mazayuni.

Hivyo Israel itarajie kuendelea kupata upinzani mkubwa zaidi kutoka Hamas . View attachment 3063242

Hamas names Gaza leader Yahya Sinwar as chief following Ismail Haniyeh killing​

Sinwar, who has been the head of Hamas in Gaza and was the mastermind of October 7, will now serve as the paramount political leader of the group. The appointment is seen as a message from Hamas to Israel, to the U.S., to the mediators of the hostage deal, and to the Palestinian public

Hamas has named on Tuesday Yahya Sinwar, the group's leader in the Gaza Strip, as political bureau chief instead of Ismail Haniyeh was killed in Tehran last week.
Watakufa wote hawa, wakawahi mabikra 72 kama wanavyohadaiwa
 
Kufa kumepangwa na Mungu, unaweza ukafa kwa sabu ya kitu flani, ili Mungu akusamehe dhambi zak, kama wewe ni Muislam, sa ajabu ni ipi akifa?
Acha ujinga, we Mungu uliwahi kuonana naye akakwambia mipango yake???
 
Nyie mtu anadai haki yake.mnamuita Gaidi, hebu tupe tafsiri ya kwanini unawaita magaidi au wewe unafata mkumbo wa Israel na US wanacho ongea. Vipi yale madai yenu mnayo ongea daima watetezi wa haki hahaha human right, Genocide yalishia wapi, na vipi kuhusu ICC mtaipiga sunction au😄
Hakuna dini ya hovyo duniani kama ya wavaa vipedo!! Hawafikiri nje kitabu chao ni kama machizi fresh!! Ukiliambia jifunge bomu, halikuulizi mbona wewe hujifungi!!
 
Kama usemevyo ni kweli kwamba kufa ni mipango ya Mungu, basi Wapalestina wamepangiwa kufa zaidi kwa vita hii
Hata Mungu alisha mwandikia Yesu kufa sababu walitaka kumpigilia msumari kwenye msalaba, badala ya kumpigilia Yesu wakampigilia mwingine wakidhani Yesu. Sa we unadhani alimpo mpaisha Yesu kamuwacha mzima? Nyie imbeni tu nyimbo zenu kama Yesu atarudi mtakutana naye siku za hesabu tu huko akhera.

Kwa hio we unadhani kufa ni amri ya nani.
 
Screenshot_20240807_011632_Chrome.jpg

Yahya Sinwar ameteuliwa kuwa Kiongozi Mkuu wa Hamas kumrithi Ismail Haniyeh aliyeuliwa majuzi akiwa Iran na mazishi yake yalifanyika Qatar.

Yahya Sinwar ndiye aliyepanga na kuratibu mauaji ya October 7, 2023 huko Israel Kusini, na kusababisha vita ambavyo mpaka sasa Wapalestina zaidi ya 38,000 kufariki na Wayahudi wapatao 1,200 kuuliwa. Bila kusahau Watanzania 2 pia wamekufa kwenye mgogoro huo
 
Nyie waimba kwaya noma sana kuna tofauti ya kupigana vita na kufa, kupigana unadai haki yao na kufa hata ukilala utakufa ikifika siku yako hauna ujanja. Unaweza kuliwa kwa risasi, missile, panga, hata kwa sumu. Kifo kama hakijafika siku yake hata wapige maboom utatoka mzima tu. Hio ni kazi ya Mungu kuchukua roho. Tatizo nyie hamna akili mnadhani mtoa roho ni jeshi la Israel au America. Tazama vitoto vya Gaza jumb lina waungukia gorofa kama 12 na bado vinakutwa hai, bada ya week nzima. Tukiwambia wanaye sema Mungu ni binadamu, hawana akili mnabisha 😄
Si walioandikiwa kufa watakufa na wale ambao hawajaandikiwa watapona? Shida ipo wapi?
 
Back
Top Bottom