HAMAS Yamteua Yahya Sinwar Kuwa Mrithi wa Ismail Haniyeh Aliyeuawa nchini Iran

Siku zake zinahesabika.

Tutasikia parapanda ikilia muda wowote kutokana na utaratibu wa Israel ulivyo kwa sasa.
Sasa si yuko pale Gaza ambako israel inasema inacontrol yaani sio tu imuue ikamkamate kabisa hii ni miscalculations poor strategy unamuua soft Haniyeh halafu anakuwa replaced na hardliner Sinwar.
 
Kufa kumepangwa na Mungu, unaweza ukafa kwa sabu ya kitu flani, ili Mungu akusamehe dhambi zak, kama wewe ni Muislam, sa ajabu ni ipi akifa?
Kama kufa kumepangwa na Mungu sasa mnalalamika nini Israel akiwa anawafyeka ili kazi iliyopangwa na Mungu ikamilike?
 
Anadai haki gani? Kwa kubaka , kuteka na kuua hata kina mkwawa walipigania uhuru kwa stahili hiyo hizi stori mnazodanganyana na viongozi wa dini yenu
 
Safari hii hatanyeshewa mvua tu manyunyu kwa kipigo, mbona Israel kazi yao kwa sasa ni kuwawahisha pepo ya mabikra 72
 
Kama kufa kumepangwa na Mungu sasa mnalalamika nini Israel akiwa anawafyeka ili kazi iliyopangwa na Mungu ikamilike?
Nyie waimba kwaya noma sana kuna tofauti ya kupigana vita na kufa, kupigana unadai haki yao na kufa hata ukilala utakufa ikifika siku yako hauna ujanja. Unaweza kuliwa kwa risasi, missile, panga, hata kwa sumu. Kifo kama hakijafika siku yake hata wapige maboom utatoka mzima tu. Hio ni kazi ya Mungu kuchukua roho. Tatizo nyie hamna akili mnadhani mtoa roho ni jeshi la Israel au America. Tazama vitoto vya Gaza jumb lina waungukia gorofa kama 12 na bado vinakutwa hai, bada ya week nzima. Tukiwambia wanaye sema Mungu ni binadamu, hawana akili mnabisha πŸ˜„
 
Kufa kumepangwa na Mungu, unaweza ukafa kwa sabu ya kitu flani, ili Mungu akusamehe dhambi zak, kama wewe ni Muislam, sa ajabu ni ipi akifa?
Kwa hiyo kiongozi wa Hamas alieuawa Iran ni mpango wa Mungu kwa Waisrael?
 
Dah wavaa kobazi ni wabishi sana aisee. Ila watambinya kende tuu Mossad.
 
Anadai haki gani? Kwa kubaka , kuteka na kuua hata kina mkwawa walipigania uhuru kwa stahili hiyo hizi stori mnazodanganyana na viongozi wa dini yenu
Huwezi na hutaweza maisha yako kunionyesha mwanamgambo mmoja wa Hamasi anabaka, nadhani itakuwa ajabu kubwa sana duniani. Wabakaji na wanao jibaka ni hao wanajeshi wa taifa teule la Paulo. Pamoja na Wamarekani sabubu ukristo ni ushetani na wayahudi wamelaniwa mpo kwenye same group.
 
Gaidi sinwar akifa anasamehewa dhambi papo hapo?!
 
Watakufa wote hawa, wakawahi mabikra 72 kama wanavyohadaiwa
 
Kufa kumepangwa na Mungu, unaweza ukafa kwa sabu ya kitu flani, ili Mungu akusamehe dhambi zak, kama wewe ni Muislam, sa ajabu ni ipi akifa?
Acha ujinga, we Mungu uliwahi kuonana naye akakwambia mipango yake???
 
Hakuna dini ya hovyo duniani kama ya wavaa vipedo!! Hawafikiri nje kitabu chao ni kama machizi fresh!! Ukiliambia jifunge bomu, halikuulizi mbona wewe hujifungi!!
 
Kama usemevyo ni kweli kwamba kufa ni mipango ya Mungu, basi Wapalestina wamepangiwa kufa zaidi kwa vita hii
Hata Mungu alisha mwandikia Yesu kufa sababu walitaka kumpigilia msumari kwenye msalaba, badala ya kumpigilia Yesu wakampigilia mwingine wakidhani Yesu. Sa we unadhani alimpo mpaisha Yesu kamuwacha mzima? Nyie imbeni tu nyimbo zenu kama Yesu atarudi mtakutana naye siku za hesabu tu huko akhera.

Kwa hio we unadhani kufa ni amri ya nani.
 



Yahya Sinwar ameteuliwa kuwa Kiongozi Mkuu wa Hamas kumrithi Ismail Haniyeh aliyeuliwa majuzi akiwa Iran na mazishi yake yalifanyika Qatar.

Yahya Sinwar ndiye aliyepanga na kuratibu mauaji ya October 7, 2023 huko Israel Kusini, na kusababisha vita ambavyo mpaka sasa Wapalestina zaidi ya 38,000 kufariki na Wayahudi wapatao 1,200 kuuliwa. Bila kusahau Watanzania 2 pia wamekufa kwenye mgogoro huo
 
Si walioandikiwa kufa watakufa na wale ambao hawajaandikiwa watapona? Shida ipo wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…