Yani hamas wanaconnection na maimamu?!Yahaya Sinwar ameteuliwa rasmi na Shura ya Maimamu 50 kuongoza kikundi cha Hamas akichukua nafasi ya Ismail haniyeh aliyeuawa na Israel nchini Iran
Kawaida ya bin Adam hata wewe na mimi ni hivo mkuu.Siku zake zinahesabika.
Tutasikia parapanda ikilia muda wowote kutokana na utaratibu wa Israel ulivyo kwa sasa.
Hamas iko hoi, Israel ifyeke na hawa maimamu ambao wameacha mambo ya dini na kujikita katika ugaidi.Shida magaidi hamujui kuwaua viongozi wa hamas ama hizbullah hawawezi kufanikisha vita na malengo ya paka pale ghaza
Mlidhani baada ya kuutumia ugaidi kumfyeka haniye ndio wapambanaji wa hamas watakwisha
Poleni sana huyu mwamba ataendeleza pale alipoishia mwanaume alopita
Taifa teule limeshindwa kushinda vita siku sita au mungu wao kawatelekeza😀
Siku hizi ndevu watu wote wanafuga,imekuwa utambulisho wa udume.bila ndevu huwezi kuwa kweny ranks
Israel wanamalizana nae muda si mrefu.Israeli walifanya kosa kubwa mno kumuua haniyeh maana unaambiwa huyu mwamba ni mtata kupita maelezo.
Alishawahi kukamatwa na kupigwa mvua za kutosha na mazayuni.
Hivyo Israel itarajie kuendelea kupata upinzani mkubwa zaidi kutoka Hamas . View attachment 3063242
Hamas names Gaza leader Yahya Sinwar as chief following Ismail Haniyeh killing
Sinwar, who has been the head of Hamas in Gaza and was the mastermind of October 7, will now serve as the paramount political leader of the group. The appointment is seen as a message from Hamas to Israel, to the U.S., to the mediators of the hostage deal, and to the Palestinian public
Hamas has named on Tuesday Yahya Sinwar, the group's leader in the Gaza Strip, as political bureau chief instead of Ismail Haniyeh was killed in Tehran last week.
Wewe ndio hujitambui wapi walisema kuwa kwa kumuua huyo kundi la hamas litaisha?? Kila anayeingia atauawa tu, itafikia muda litadhofika tu, kama aikaida, baada ya kuuawa osama limekuwa sio tishio tena, itafikia tu muda hao Wapalestina wenyewe, wataona kuwa hili kundi linatuletea maafa,Shida magaidi hamujui kuwaua viongozi wa hamas ama hizbullah hawawezi kufanikisha vita na malengo ya paka pale ghaza
Mlidhani baada ya kuutumia ugaidi kumfyeka haniye ndio wapambanaji wa hamas watakwisha
Poleni sana huyu mwamba ataendeleza pale alipoishia mwanaume alopita
Taifa teule limeshindwa kushinda vita siku sita au mungu wao kawatelekeza😀
Huyu siyo dumeSiku hizi ndevu watu wote wanafuga,imekuwa utambulisho wa udume.
⚡️After Sinwar was elected leader of the Islamic Resistance Movement Hamas, an Israeli officer tweeted:Habari ni fake hio wamemchagua Yahya Sinwar
View: https://www.youtube.com/live/5v0PyNri42g?si=imJeQtUsnIJmujLD
Wewe usiokua kiongozi wa hamas utaishi milele hongera sana😀Yaani mtu anakikubali kifo hivi hivi, ama kweli lazima upewe mafundisho ya kuzimu ili moyo wako ufunguke ukubali haya mambo.
Wewe maiti uliolala?Ajue yeye ni maiti inayotembea
Kuwatafutia maisha wanao au wanetu pamoja na sisi wenyewe jambo la msingi sanaMkuu malaria imepanda kwa bichwa, tafuta ugali wa wanao mkuu mambo za uislam cjui Kamasi/hazijawahi kukusaidia.
Hizi dini tutaziacja km tilivyozikuta.
Ishu kubwa ni maisha ya baadae ya wanetu. Hii ndiyo focus..Tuwape elimu,tuwekeze rasilimali ili baadae waishi maisha mazuri.
Uko Newala unasikitika Haniye wa Hamasi kauawa,inakuhusu nini ww na familia yako.
Kapalilie mihogo yako utafute na soko zuri uinjoi maisha kwenye sebule nzuri ya kuvutia.
Nyie mnaojiuliza mkiambiwa muoane wanaume kwa wanaume na wanawake kwa wanawake mnauliza ???Hakuna dini ya hovyo duniani kama ya wavaa vipedo!! Hawafikiri nje kitabu chao ni kama machizi fresh!! Ukiliambia jifunge bomu, halikuulizi mbona wewe hujifungi!!
Upo hoi wewe sio hamasHamas iko hoi, Israel ifyeke na hawa maimamu ambao wameacha mambo ya dini na kujikita katika ugaidi.
Koment yako tu inaonesha kati yetu nani hajitambui pole kijanaWewe ndio hujitambui wapi walisema kuwa kwa kumuua huyo kundi la hamas litaisha?? Kila anayeingia atauawa tu, itafikia muda litadhofika tu, kama aikaida, baada ya kuuawa osama limekuwa sio tishio tena, itafikia tu muda hao Wapalestina wenyewe, wataona kuwa hili kundi linatuletea maafa,
Siku hizi ndevu watu wote wanafuga,imekuwa utambulisho wa udume.
Punguzeni uwongo huyo General yuko hai kabisa wacheni kusikiliza kila anacho ongea Israel mkakiamini. Hata Muhammad Al Dhaifu yuko hai endeleni kuota.
Yule US Secretary Of state Anthony Blinken analia lia huko anasema sasa itakuwa vigumu kusimamisha vita, sababu huyo Sinwar ndio alikuwa hataki vita kusimamisha.⚡️After Sinwar was elected leader of the Islamic Resistance Movement Hamas, an Israeli officer tweeted:
"We made a mistake in assassinating Haniyeh, leading to Sinwar becoming the leader of Hamas."
😭😂