HAMAS Yamteua Yahya Sinwar Kuwa Mrithi wa Ismail Haniyeh Aliyeuawa nchini Iran

He may have breakfast but will not be around for dinner.
 
Sikia we f.a.l.a, sijakuambia kwamba mimi naamini ujinga wa vitu vinavyoitwa dini, iwe uislam au ukristo wote ni vichaa tu
 
Siku zake zinahesabika.

Tutasikia parapanda ikilia muda wowote kutokana na utaratibu wa Israel ulivyo kwa sasa.
Yeah!... hatimaye kafa kweli.

Ngoja tuone kama hili litamaliza vita vya Gaza na mateka kuachwa huru.
 
Yeah!... hatimaye kafa kweli.

Ngoja tuone kama hili litamaliza vita vya Gaza na mateka kuachwa huru.
Hao Wayahudi wanatisha dhidi ya viongozi wakuu wa Hizbollah.

Itafika hatua askari waogope kuwa viongozi wakuu wa Hizbollah
 
Hao Wayahudi wanatisha dhidi ya viongozi wakuu wa Hizbollah.

Itafika hatua askari waogope kuwa viongozi wakuu wa Hizbollah
Kwani kwa akili yako askari wa kizayuni wanavyokufa wanapenda?
Tofauti hata wakifa 1000 utaona kawaida hadi afe kiongozi wa juu. Tangu uanze kusikia askari wangapi wamekufa kwa upande wa kizayuni?
 
Vipi mkuu, bado unaamini katika comment hii? Poleni sana mazayuni ni watu hatari sana. Ifike wakati tukubali ukweli huu na tuishi nao bila kuwabughudhi.
 
⚡️After Sinwar was elected leader of the Islamic Resistance Movement Hamas, an Israeli officer tweeted:

"We made a mistake in assassinating Haniyeh, leading to Sinwar becoming the leader of Hamas."

😭😂
How is that working out so far? 😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…