Hamas yasema haina haja na mazungumzo mapya ya kusitisha vita

Hamas yasema haina haja na mazungumzo mapya ya kusitisha vita

Wananchi wa Gaza washirikiane na IDF ili kuwaonyesha walipo Hamas na mateka ili Vita iishe haraka.
 
Wananchi wa Gaza washirikiane na IDF ili kuwaonyesha walipo Hamas na mateka ili Vita iishe haraka.
si jambo jepesi huku kila familia imepata kilio kutokana na vipigo vya IDF
 
Baada ya ziara ya Anthony Blinken kwa wenzao huko Israel na kusema Netanyahu amekubali mapendekezo ya kusitisha vita.Hamas wamesema hiyo ni mbinu tu ya Marekani kurefusha muda wa vita ili Israel iendeleze maangamizi wanayofanya kwa wapalestina,
 
Sijajua hayo maridhiano ya awali yalikuwa na vipengele gani. Wengine wanasema hii vita inatumika kimkakati ili Netanyahu aendelee kubaki madarakani kwa muda mrefu, kama ni hivyo itachukua muda mrefu kumalizika
Madaraka kwa gharama ya maisha ya watu!
 
Wanaopata shida ni wananchi
20240820_160750.jpg
 
Vita inaleta AMANI, kuna watu vichwa ngumu wasipopigwa huwa hawatulii. Waachwe wapigane mpaka mmoja atakapo muheshimu mwenzie.
 
Back
Top Bottom