Hamas yasema haina haja na mazungumzo mapya ya kusitisha vita

Wapiganaji wa Hamas chini ya kiongozi wao mpya Yahya Sinwar imesema haitashiriki kwenye mazungumzo yaliyopangwa kufanyika wiki hii.

Badala yake kundi hilo ambalo limepigana na Israel kwa takriban mwaka sasa limesema kinachotakiwa ni kutolewa kwa ratiba kamili ya kutekelezwa kwa makubaliano yaliyokwishafanyika miezi kadhaa iliyopita.

Soma Pia:
Katika salamu walizozitoa kwa waandaaji wa mkutano huo wa mazungumzo ambao ni Qattar,Misri na Marekani,Hamas imesema ni kupoteza muda bure kuzungumzia kitu hicho hicho kila siku na ni kuipa Israel fursa ya kuzidi kuendeleza mauwaji na madhila kwa wapalestina.

Hamas says it won’t take part in cease-fire talks planned for this week

Nawaunga mkono Hamas 100%.
 
Basi na tuache vita ya Gaza iendelee tu hadi Hamas au Mayahudi watakapo ridhika.

Na asitokee mtu wa kuwasuluhiasha au kutaka kusitisha hiyo vita.

Na hatutaki mandamano ya Stop the war.
Maana ninyi amanu mnapenda sana vita na mnatueleza humu kuwa mnapenda sana kupigana na Mazayuni.
Mnapenda kupigana Hadi mshinde.
Tunasubiri hadi mshinde ili vita iishe.

Ubatizo:

Hii ni ibada kuu na ya msingi katika dini ya Kikristo ambayo hata watoto wachanga nao huusishwa nayo pia!

Kwa ujumla wake, ibada hii (ya ubatizo) imeshamiri sana katika Ukristo.

Hata hivyo, pamoja na kuwemo katika orodha ya ibada za Kikristo, lakini kwa mujibu wa maelezo ya Biblia tukufu, asili ya ibada hiyo (ya ubatizo) imetokana na dini ya kipagani (Mithraism).

Uthibitisho wa hayo tunaupata katika maelezo ya Biblia yafuatayo:

"Ibada ya (ubatizo) kutosa mwili majini ni mfano wa utakaso au wakujitengeneza upya.

Ibada kama hiyo ilijulikana na kutendeka katika dini za kale za kipagani na dini ya Kiyahudi pia (kama ubatizo wa waongofu Mdo 2:10; Waesseni)'.

(Tazama Biblia ya Wakatoliki, Imprimatur M. Mihayo Archbishop of Tabora, February, 1967, kwenye maelezo ya Mathayo 3:6 uk. 879).

Maelezo hayo ya Biblia hapo juu yanathibitisha wazi kwamba ibada hiyo ya ubatizo inatokana na dini za kale za kipagani na kamwe haitokani na dini ya Yehovah.

Nasema ibada hiyo (ya ubatizo ya kipagani) katu haitokani na Yehovah, kwa sababu tangu mapema Yehovah alikwisha wakataza na kuwaonya wanadamu kutenda ibada yoyote (kama hiyo ya ubatizo) ya watu wa mataifa (yaani wapagani) kama asemavyo (Yehovah) katika maandiko yafuatayo:

"Utakapokwisha kuingia katika nchi akupayo BWANA, Mungu wako, usijifunze kutenda kwa mfano wa machukizo ya mataifa yale".

(Kumbukumbu la Torati 18:19)

Mkristo anaweza kutaka kuutetea ubatizo kuwa ndio ondoleo la dhambi. Lakini wakrito wote wanakiri kuwa Bw. Yesu hakuwa na dhambi, je iweje asiye na dhambi kama bw. Yesu abatizwe?

Huu kama si uzushi ni kitu gani?
 
Basi na tuache vita ya Gaza iendelee tu hadi Hamas au Mayahudi watakapo ridhika.

Na asitokee mtu wa kuwasuluhiasha au kutaka kusitisha hiyo vita.

Na hatutaki mandamano ya Stop the war.
Maana ninyi amanu mnapenda sana vita na mnatueleza humu kuwa mnapenda sana kupigana na Mazayuni.
Mnapenda kupigana Hadi mshinde.
Tunasubiri hadi mshinde ili vita iishe.

Rejea habari zilzochapishwa katika gazeti la Msemakweli toleo nambari 013 la Jumapili Juni 7-13, 1998 yenye kichwa cha habari,"Nyerere adai Ujamaa na Ukristo vimeshindwa"

likinukuu mahojiano yaliyofanyika katika kipindi cha maswali na majibu katika television ya CNN.

Nyerere alisema, "Ujamaa umeshindwa kama vile Ukristo ulivyoshindwa. Ukristo ulianza yapata miaka 2000 iliyopita na kila Jumapili niendapo Kanisani nakuta watu bado wanahubiri.

Na kwa kweli sina hakika kama kuna nchi hata moja tunayoweza kuiita taifa la Kikristo."

Katika toleo hilo mwandishi wa Msemakweli akiripoti maoni ya Wakristo mbalimbali juu ya madai ya Nyerere.

Wakristo wengi, wakiwemo Maprofesa na viongozi wa madhehebu mbalimbali ya Kikristo,walijitahidi sana kuutetea Ukristo kuwa haujashindwa bali Ujamaa ndio ulioshindwa peke yake.

Moja ya sababu zilizotolewa ni kuwa Ujamaa umeshindwa kwa vile umetokana na mawazo ya mtu (Nyerere), wakati ukristo haujashindwa kwa sababu haukuanzishwa na mtu bali na Yesu (ambaye Wakristo wengi hudai ni Mungu aliye hai).

Nyerere anaitwa baba wa Taifa na ni mtu wa kimataifa na hivyo maneno yake yanakuwa na uzito wa aina yake katika jamii. Sidhani kama Nyerere alitoa madai haya kwa mzaha tu.

Nyerere ni muasisi wa ujamaa wa Tanzania na amebahatika kushuhudia ukisambaratika mbele ya macho yake, pamoja na juhudi zake za kuhakikisha ujamaa unadumu. Vile vile Nyerere ameshuhudia waasisi wa mfumo huu duniani Urusi au SovietUnion ya zamani ikisambaratika bila hata risasi moja kufyatuliwa.

Sina sababu yoyote ya kutilia mashaka matamshi ya Nyerere ambaye, pamoja na kuwa ni muumini mzuri sana wa kanisa Katoliki, vile vile ametoa mchango mkubwa sana kwa maendeleo ya Ukristo hapa Tanzania.

Naamini ametoa matamshi hayo kwa kutumia uzoefu wake wa kitaifa na wa kimataifa katika masuala mbalimbali ya kijamii na kisiasa. Kutokana na uzoefu huu Nyerere yuko katika nafasi nzuri sana ya kuchambua na kuongelea masuala haya.

Imeleweka wazi kuwa Ujamaa ni mfumo wa maisha ambao uliasisiwa na kina Karl Marx na Lenin, hawa ni binaadamu kama mimi na wewe.

Je, Ni kweli kuwa Ukristo (Christianity) ulianzishwa na Yesu, Mungu aliye hai? Biblia inatueleza kuwa Ukristo kwa mara ya kwanza ulianza pale Antiokia ambayo iko katika bara la Ulaya (soma Matendo ya mitume 11:26)miaka kadhaa baada ya Yesu kuwa amekwisha kamilisha kazi aliyotumwa na Baba yake hapa duniani.

Ikumbukwe hapa kuwa Yesu hakuwahi kufika Antiokia katika maisha yake yote ya hapa duniani. Na aliwakataza kabisa wanafunzi wake kupeleka mafundisho yake nje ya Israel (soma Mathayo: 10:5-6).

Hakuna hata sehemu moja katika Biblia tunapofahamishwa kuwa Yesu alileta mfumo mpya wa maisha hususan Ukristo.

Yesu mwenyewe anatufahamisha kuwa hakuja kutangua mfumo alioukuta uliokuwepo toka wakati wa nabii Musa (ambao sio Ukristo), bali kuutimiliza (Mathayo: 5:17-20). Na kwa Wayahudi peke yao, na wala sio kwa Wazungu au Waafrika au Wahindi au makabila mengine(Gentiles) ya ulimwengu huu (Mathayo 14:21-28).

Ukristo umeasisiwa na Sauli ambaye ndie Paulo. Katika mazingira ya kutatanisha bila ya kuwepo ushahidi wa kuaminika, Paulo alidai kupewa Utume na Yesu mwenyewe katika Njozi.

Kwa ajili ya majadiliano haya naomba tukubali kuwa Paulo alikuwa Mtume. Lakini bado hii haimpi hadhi ya Uungu, bado anabaki kuwa binaadamu kama wengine.

Katika nukta hii tukumbuke kuwa Paulo hakuwahi kukutana na Yesu katika uhai wake. Na ni vema vile vile tukakumbuka kuwa huyu ndio yule Paulo aliyekuwa mstari wa mbele katika kuwatafuta na kuwaua wanafunzi wa Yesu.

Vile vile tisisahau kuwa huyu ndie Paulo aliyekufa kwa kukatwa kichwa karibu na Roma kati ya mwaka 61B.K. na 68 B.K. Bibilia haituelezi kuwa Paulo baada ya kufa alifufuka na hivyo kuushinda umauti kama inavyodaiwa kwa Yesu, hivyo kupata hadhi ya uungu.
 
1. "Maoni ya Nyerere"
Hapo umethibitisha kuwa Nyerere ni Nabii.
Basi atangazwe kuwa ni mtakatifu.

2. "Yesu hakuanzisha Ukristo bali Paulo"
Akili zako hazijai Kisoda.

Marko 9:39
Yesu akasema, Msimkataze, kwa kuwa hakuna mtu atakayefanya mwujiza kwa jina langu akaweza mara kuninenea mabaya;
40 kwa sababu asiye kinyume chetu, yu upande wetu.
41 Kwa kuwa ye yote atakayewanywesha ninyi kikombe cha maji, kwa kuwa ninyi ni 👉watu wa Kristo, amin, nawaambia, hatakosa thawabu yake.

Warumi 1:1 Paulo,
👉mtumwa wa Kristo Yesu, aliyeitwa kuwa mtume, na kutengwa aihubiri Injili ya Mungu;

Mwanzilishi wa Kanisa

Mathayo 16:15 Akawaambia, Nanyi mwaninena mimi kuwa ni nani?
16 Simoni Petro akajibu akasema, Wewe ndiwe Kristo, Mwana wa Mungu aliye hai.
17 Yesu akajibu, akamwambia, Heri wewe Simoni Bar-yona; kwa kuwa mwili na damu havikukufunulia hili, bali Baba yangu aliye mbinguni.
18 Nami nakuambia, Wewe ndiwe Petro, na juu ya mwamba huu nitalijenga👉kanisa langu; wala milango ya kuzimu haitalishinda.
19 🌷🌷🌷Nami nitakupa wewe funguo za ufalme wa mbinguni; na lo lote utakalolifunga duniani, litakuwa limefungwa mbinguni; na lo lote utakalolifungua duniani, litakuwa limefunguliwa mbinguni.

3. "Ukristo umeshindwa"
Ukristo huwezi kushindwa soma Mathayo 16:19 hapo juu penye mauwa.

Nyie endeleeni tu kuongopeana huko Madrasatu.
Ili muzidi kumnusuru mnayemtegemea awanusuru.
يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُوا إِن تَنصُرُوا اللَّهَ يَنصُرْكُمْ وَيُثَبِّتْ أَقْدَامَكُمْ
MUH'AMMAD - 7
Enyi mlio amini! Mkimnusuru Mwenyezi Mungu naye atakunusuruni na ataithibitisha miguu yenu.
""""""""""""
Endelea kuisoma Injiri, iko siku utakuja kuielewa vizuri, hiyo ndio
"Habari Njema ya Ufalme wa Mbingu"
Yakra
 
Umeniambia nimethibitisha Nyerere ni Nabii , hivyo wapi niliandika Nyerere ni Nabii , soma vizuri nilichoandika , usinipakazie , Tafadhali

Isome biblia yako vizuri

Marko 9:39
Yesu akasema

Huyo anayesema hapo ni nani ?? Kumbuka Huyo si yesu

Mathayo 16:15

Akawaambia,

Hapo anayesema ni nani , Huyo si Yesu

Matendo 11:26 SRUV​

hata alipokwisha kumwona akamleta Antiokia. Ikawa kwa muda wa mwaka mzima wakakusanyika pamoja na kanisa na kuwafundisha watu wengi. Na wanafunzi waliitwa Wakristo kwanza hapo Antiokia.

Labda hii aya muitoe , hapo ukristo ndipo ulipopewa jina na wapagani
 
View: https://youtu.be/XfEBl66mYAE
 
Ubatizo ni mila za upagani usikimbie , hakuna ubatizo
Unamfahamu Yohana Mbatizaji?
Au sio Nabii wa Kitabu chako?

Upagani ni kulisujudia na kulibusu Jiwe kila siku.

Mambo ya Walawi (Lev) 26:1 Msifanye sanamu yo yote, wala msijisimamishie sanamu ya kuchonga, wala mnara, wala msiweke jiwe lo lote lililochorwa katika nchi yenu ili kulisujudia; kwa kuwa mimi ndimi BWANA, Mungu wenu.
Umeniambia nimethibitisha Nyerere ni Nabii , hivyo wapi niliandika Nyerere ni Nabii , soma vizuri nilichoandika , usinipakazie , Tafadhali

Isome biblia yako vizuri

Marko 9:39
Yesu akasema

Huyo anayesema hapo ni nani ?? Kumbuka Huyo si yesu

Mathayo 16:15

Akawaambia,

Hapo anayesema ni nani , Huyo si Yesu

Matendo 11:26 SRUV​

hata alipokwisha kumwona akamleta Antiokia. Ikawa kwa muda wa mwaka mzima wakakusanyika pamoja na kanisa na kuwafundisha watu wengi. Na wanafunzi waliitwa Wakristo kwanza hapo Antiokia.

Labda hii aya muitoe , hapo ukristo ndipo ulipopewa jina na wapagani
Nawe unijibu
Anaye ongea hapa ni nani ?
فَلَا أُقْسِمُ بِرَبِّ الْمَشَارِقِ وَالْمَغَارِبِ إِنَّا لَقَادِرُونَ

[ AL - MAA'RIJ - 40 ]
Basi naapa kwa Mola Mlezi wa mashariki zote na magharibi zote kwamba Sisi tunaweza
 
Unamfahamu Yohana Mbatizaji?
Au sio Nabii wa Kitabu chako?

Upagani ni kulisujudia na kulibusu Jiwe kila siku.

Mambo ya Walawi (Lev) 26:1 Msifanye sanamu yo yote, wala msijisimamishie sanamu ya kuchonga, wala mnara, wala msiweke jiwe lo lote lililochorwa katika nchi yenu ili kulisujudia; kwa kuwa mimi ndimi BWANA, Mungu wenu.

Nawe unijibu
Anaye ongea hapa ni nani ?
فَلَا أُقْسِمُ بِرَبِّ الْمَشَارِقِ وَالْمَغَارِبِ إِنَّا لَقَادِرُونَ

[ AL - MAA'RIJ - 40 ]
Basi naapa kwa Mola Mlezi wa mashariki zote na magharibi zote kwamba Sisi tunaweza

Umeshindwa kujibu ??

Kuna sanamu gani au jiwe gani lililochongwa tunalolisujudia ???

Mnaolisujudia sanamu ni nyinyi mliotengeneza sanamu la Yesu na sanamu la mama yake Maria

Hapo anayesema ni huyu

Genesis 22:-16

16 and said, "I swear by myself, declares the LORD, that because you have done this and have not withheld your son, your only son,

sasa tujibu usikimbie

Marko 9:39
Yesu akasema

Huyo anayesema hapo ni nani ?? Kumbuka Huyo si yesu

Mathayo 16:15

Akawaambia,

Hapo anayesema ni nani , Huyo si Yesu

Matendo 11:26 SRUV​

hata alipokwisha kumwona akamleta Antiokia. Ikawa kwa muda wa mwaka mzima wakakusanyika pamoja na kanisa na kuwafundisha watu wengi. Na wanafunzi waliitwa Wakristo kwanza hapo Antiokia.

Labda hii aya muitoe , hapo ukristo ndipo ulipopewa jina na wapagani
 
Umeshindwa kujibu ??

Kuna sanamu gani au jiwe gani lililochongwa tunalolisujudia ???

Mnaolisujudia sanamu ni nyinyi mliotengeneza sanamu la Yesu na sanamu la mama yake Maria

Hapo anayesema ni huyu

Genesis 22:-16

16 and said, "I swear by myself, declares the LORD, that because you have done this and have not withheld your son, your only son,

sasa tujibu usikimbie

Marko 9:39
Yesu akasema

Huyo anayesema hapo ni nani ?? Kumbuka Huyo si yesu

Mathayo 16:15

Akawaambia,

Hapo anayesema ni nani , Huyo si Yesu

Matendo 11:26 SRUV​

hata alipokwisha kumwona akamleta Antiokia. Ikawa kwa muda wa mwaka mzima wakakusanyika pamoja na kanisa na kuwafundisha watu wengi. Na wanafunzi waliitwa Wakristo kwanza hapo Antiokia.

Labda hii aya muitoe , hapo ukristo ndipo ulipopewa jina na wapagani
We endelea kulibusu na kulisujudia jiwe Jeusi la Maka Hadi akili ukukae sawa.
 
Psalm 138:2

I will bow down toward your holy temple and will praise your name for your love and your faithfulness, for you have exalted above all things your name and your word.

sasa tujibu usikimbie

Marko 9:39
Yesu akasema

Huyo anayesema hapo ni nani ?? Kumbuka Huyo si yesu

Mathayo 16:15

Akawaambia,

Hapo anayesema ni nani , Huyo si Yesu

Matendo 11:26 SRUV​

hata alipokwisha kumwona akamleta Antiokia. Ikawa kwa muda wa mwaka mzima wakakusanyika pamoja na kanisa na kuwafundisha watu wengi. Na wanafunzi waliitwa Wakristo kwanza hapo Antiokia.

Labda hii aya muitoe , hapo ukristo ndipo ulipopewa jina na wapagani
 
We endelea kulibusu na kulisujudia jiwe Jeusi la Maka Hadi akili ukukae sawa.

pata hii kutoka kwa hao wanaokutafsiria biblia

82% of the words of Jesus are not his:

"The Five Gospels," is a 550 page book containing translations of the Gospelsof Matthew, Mark, Luke, and John.

It was the result of a six year study by 24 Christian scholars from a number of Western universities.

They decided to produce a translation of the Gospels which would be uncolored by the translator's personal faith.

It was decided that this translation was to give the reader an honest picture of what Jesus truly said.

They scanned the text for the words of Jesus, and collect an index of over 1,500 such sayings.

They then tested the validity of each of these sayings, one at a time, to see whether Jesus truly said each one.

They then produced a fresh translation, color-coded to show authentic Jesuit sayings and those of an unreliable nature. Their conclusion (page5) was:

"Eighty-two percent of the words ascribed to Jesus in the gospels were notactually spoken by him."

They go on to reveal that:

"biblical scholars and theologians alike have learned to distinguish the Jesus of history from the Christ of faith.

It has been a painful lesson for both the church and scholarship. The distinction between the two figures is the difference between a historical person who lived in a particular time and place...and a figure who has been assigned a mythical role, in which he descends from heaven to rescue humankind and, of course, eventually returns there."

Well then, if 82% of the "words of Jesus" found in the Bible were apparently never spoken by him then where did they come from? Some of the sources demonstrated by the authors are:

"The concept of plagiarism was unknown in the ancient world. Authors freely copied from predecessors without acknowledgment. Sages became the repository of free-floating proverbs and witticisms.

For the first Christians, Jesus was a legendary sage: it was proper to attribute the world's wisdom to him. The proverb in Mark 2:17, for example, is attested in secular sources (Plutarch and Diogenes for example)...in the parallel to the Markan passage, Matthew adds a sentence taken from the prophet Hosea (Matt 9:13)."

Also:

"Hard sayings are frequently softened in the process of transmission to adapt them to the conditions of daily living...Variations in difficult saying often betray the struggle of the early Christian community to interpret or adapt sayings to its own situations... Matthew's version of the aphorism "The last will be first and the first last"(Matt 20:16) is softened in Mark 10:31 to "MANY ofthe first will be last, and of the last MANY will be first"."
 
Hata wewe elewa unavyoelewa mambo ila sio uhalisia unaoelewa ulivyo

Ndio maana munauziwa papai la 1500 kwa 150k na muna nunua
Una uthibitisho gani kunihusu mimi wakati hata unijui na sikujui.
 
Kwasababu nna uhakika wewe kafiri ndio maana

Kwahio nyie kama samaki tu akioza mmoja wote mmeoza

Munauziwa papai la 5000 kwa 150k+ na munanunua

Shida muna akili fupi sana nyie mrengo wakushoto
 
Bora wawauwe wote tu
maana kama ni unyama wametendewa wa kutosha
haina haja ya mazungumzo..wapalestina kila kitu kimewasaliti,ulimwengu mzima umewasaliti inaonekana hata mungu hayupo upande wao.
God Bless Israel
 
We endelea kulibusu na kulisujudia jiwe Jeusi la Maka Hadi akili ukukae sawa.
Angalia kwenye televisheni siku za hija utaona uongo na uzushi wako.
Hakuna kulisujudia jiwe jeusi wala kulibusu.Hayo si masharti wala nguzo za hija.
Wachache sana wanaopata fursa ya kulifikia hilo jiwe jeusu ndio kwa mapenzi yao wanaolibusu na hata wao hawalisujudii.
Sote huwa tunamsujudia Allah peke yake popote tunapokuwa
 
HAMAS haya endeleeni kuwashikilia hao mateka wa Islael huku mkiendelea kupukitika kama nzige.
 
Back
Top Bottom