Aliyewasababishia ni Hamas.si jambo jepesi huku kila familia imepata kilio kutokana na vipigo vya IDF
Madaraka kwa gharama ya maisha ya watu!Sijajua hayo maridhiano ya awali yalikuwa na vipengele gani. Wengine wanasema hii vita inatumika kimkakati ili Netanyahu aendelee kubaki madarakani kwa muda mrefu, kama ni hivyo itachukua muda mrefu kumalizika
Hao wote Magaidi, hawavai magwanda wale.Wanaopata shida ni wananchi
View attachment 3074940