Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
- Thread starter
- #21
Watanzsnia tuwe na akili, ukiajiriwa kutimiza wajibu fulani kama huwezi basi wapewe wanaoweza.Tatizo liko wapi kama anasifia mambo mazuri anayo yafanya Rais wetu.
hata mimi na wewe tunao wajibu wa kumsifia Rais wetu kwa mazuri anayo wafanyia watanzania.
Shaka hakuajiriwa kuwa na kazi ya kumsifu Mama Samia.
Soma katiba ya chama.