GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,189
- 10,375
Mungu anasingiziwa mengi sana.Na bado waliomsikia akisema hivyo waliingia kwenye gari lake na leo wanasema kazi ya Mungu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mungu anasingiziwa mengi sana.Na bado waliomsikia akisema hivyo waliingia kwenye gari lake na leo wanasema kazi ya Mungu
Mbona ni pazuri tu!Ndio kwetu huko,,,fresh tu
Uoga nao pia ni akili!Nimewahi kupanda gari lake huyu jamaa. Nilijitahidi sana kumcontrol kuhusu mwendo. Abiria wenzangu waliishia kunidhihaki tu ati naogopa kufa wakati hukukwepeki. Lakini ilisaidia kwani alipunguza mwendo baada ya kuwa mkali sana.
😂🤣Mungu anasingiziwa mengi sana.
Hiyo inawezekana tu kwenye magari ya kusafirisha mirungi kutoka meru county to NAIROBI.Inawezekana lkni nenda kokote kwenye mamlaka zinazihusiana na barabara uliza mwendo wa eneo hilo ukipanda public service
TITANIC ICON 😊Aliyekuwa Dereva na mmiliki wa gari ndogo, Hamis Chaurembo (27) maarufu kama SIMBA ambaye amefariki baada ya kupata ajali mbaya huko Kibondo Kigoma amezikwa jana.
Ila kuna cha kujifunza hapa kutokana na maneno ya baadhi ya marafiki zake.
"Baadhi ya A.K.A alizopambwa nazo ni pamoja na 'Mwendo wa rocket', ndege ya ardhini, Hamisi on fire' Titanic icon' Sukari ya Warembo'
"Alikuwa akitumia dk 20 hadi 25 kutoka Kibondo hadi Kakonko, watu walimpenda kwasababu ya ucheshi wake, alikuwa hana baya yeye anawasha gari hata kama amepata abiria mmoja.
"Ahadi aliyojiahidi imetimia, katika kauli zake aliwahi kusema
"Siku nikipata ajali ni lazima niondoke na abiria wote".
Alafu watu wanapanda hilo gari na vyombo vya ulinzi na usalama vinamuangalia tu."Siku nikipata ajali ni lazima niondoke na abiria wote."
Kazi kweli kweli.
Bro hapa umedanganya ujue. Huo si ni mda wa Kibondo Mwanza kabisa.
Kama ambavyo wanazipamba Sauli, katarama na Newforce huku vyombo vya dola vipo jamaa wanapokea tu bukubuku alafu siku ikitokea ya kutokea wanaanza kujiliza. Mapumbavu kabisa haya matanzania. Mi hata nikiwa naumwa sipandi hizo gari.Mkuu asante kwa hii post japo ni ya kusikitisha sana. Na jamii nayo ina makosa. Walikuwa wanampamba na majina badala ya kuchukuwa hatua ikiwemo kususia gari lake.
Hamna apromition ya hivyo masaa 3 had 6 (utaaon tuu amekosea)Yaani masaa 3 mpaka 6 unatumia dk25?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]embu wanahesabu mtusaidie hili!
Wacha blah blah na hizo subconscious na uongo mwingine. Maneno na Roho "Yohana 6:63" kwani pia Mungu aliumba kwa Neno hivyo unatakiwa uwe makini na nini unazungumza.😅😆😁😄😃Siyo kuna mda, bali mara nyingi huwa hivyo. Labda kama hakusema vya kutosha hadi taarifa hiyo izame kwenye subconscious mind. Taarifa yoyote inayoofikia subconscious mind, iwe nzuri au mbaya, kiyakachofuatia ni utekelezaji.
Ikiwa alijiyabiria mabaya, subconscious mind itamuongoza kwenye mazingira ya kuyapata hayo mabaya kwa kiwango "alichotamani".
Wee chonza kumbe alishafariki? Yule alikuwa anaishi block Q? Baba khalid?Miaka ya 2000 Mwanzoni, Urambo Tabora, kuna jamaa alikuwa akiendesha gari ya Halmashauri, mkonga. Alikuwa na mwendo usio wa kawaida. Alikuwa akisema siku mkisikia nimepata ajali, basi mtenge tu msiba.
Na kweli, ajali iliyomkuta, humtazami mara mbili. Alikua akiitwa Chonza kama sijamsahau jina.
Kuna wengine ni wagonjwa wa akili na wana leseni za udereva.
Chai ya chumvi!Chai. 3hr to 25mins haiwezekani.
Hua inabeba mpaka 15 chief nimeshuhudia kwa macho yangu, kwenye buti kule ndio inakula nyomi ya kufa mtu.Probox inabeba watu wangapi kwani???? Duu yani hao wote 8 walikiwa kwenye probox
Wangeichapa bakora maiti yake kisha wamtupie wamfukie kama takataka jalalaniAmeumaliza kijinga Sana na ameua raia kipumbavu
Kaeka tangawizi we kunywa hivyohivyo usipulizeHaiwezekani sehemu kwa kutembea masaa 3 au 6 utembee dk 25..
It doesn't make sense
Pale mbele was dereva wa4, kati wa4 Mpaka wa5 inategemea na unene wa abiria kule nyuma wanakaa 6-8 ... .noma sana nilipandaga Moja kutoka kyabaari kwenda Butiama aseee... Vifo vingine Mungu anasingiziwa.Hua inabeba mpaka 15 chief nimeshuhudia kwa macho yangu, kwenye buti kule ndio inakula nyomi ya kufa mtu.
Tatizo sio mwendo kasi bali mwendo kasi kwenye nchi gani na barabara gani.Nchi zetu miundombinu bado ni changamoto,unakuta barabara ni highway ila ina viraka na mashimo kama chandarua uku watumiaji wengine wa barabara nao wamejiachia bila kujali chochote.Kuna siku natokea Dodoma niko kwenye speed ya 120km/Hr ikatokea V8 ikani-ovetake. Si nikasema nile nayo ligi, kufika speed ya 160km/Hr nikasema hivi nikipata ajali kwa mwendo huu kweli nitapona?
I later slow down to 80km/Hr nikaiacha V8 ikipotea machoni kwangu
Kusema kweli Ajali nyingi huchangiwa na Mwendokasi
Mwendokasi unaua....
Poleni kwa misiba [emoji24]
Umesema sahihi Mkuu, barabara zote zingekuwa walau kama hicho kipande cha Kimara mwisho hadi Kibaha ingekuwa nzuri zaidi, maana unakuwa unaendesha bila kuwa na wasiwasi wa ubovu wa barabara.Tatizo sio mwendo kasi bali mwendo kasi kwenye nchi gani na barabara gani.Nchi zetu miundombinu bado ni changamoto,unakuta barabara ni highway ila ina viraka na mashimo kama chandarua uku watumiaji wengine wa barabara nao wamejiachia bila kujali chochote.