Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Waziri wa zamani wa Maliasili na Utalii Mh Hamisi Kigwangalla amekamilisha mchakato wa kukabidhi ofisi kwa Waziri mpya Dkt. Damas Ndumbaro.
Mchango wa wadau
My opinion, this is wrong! Baada ya Bunge kuvunjwa na uwaziri ulipaswa kuishia pale, kila Waziri was supposed to vacate the office by pack and go, hata kama atachaguliwa kuendelea, so that Waziri mpya akija aanze kivyake, haya mambo ya kukabidhiana ofisi kuna wengine ni watu wa madudu, mavitu na makitu, akikabidhi ofisi, anakabidhi na madudu, mavitu na makitu yake!
P