Hamis Kigwangwala akabidhi ofisi kwa Waziri Mpya

Hamis Kigwangwala akabidhi ofisi kwa Waziri Mpya

Hivi ni Hamis tu ndiye alikuwa hajakabidhi ofisi?! Mbona hatuoni picha za Mpina, Hasunga na Eng.Kamwelwe nao wakikabidhi ofisi ?!
Kweli huyu jamaa ni limbukeni wa mitandao ya kijamii na ni mshamba sana!
Ukitaka kumpa mtoto jina ebu jiulize Mara mbili mbili unapotaka kumpa jina la Mwajuma na Hamisi !
Kuna jamaa anaitwa Hamisi Mwinjuma. Huyo kutwa kumvagaa_vagaa Magufuli
 
Hivi ni Hamis tu ndiye alikuwa hajakabidhi ofisi?! Mbona hatuoni picha za Mpina, Hasunga na Eng.Kamwelwe nao wakikabidhi ofisi ?!
Kweli huyu jamaa ni limbukeni wa mitandao ya kijamii na ni mshamba sana!
Ukitaka kumpa mtoto jina ebu jiulize Mara mbili mbili unapotaka kumpa jina la Mwajuma na Hamisi !
Huyo jina lake ni Andrea Bagalile.
 
Waziri wa zamani wa Maliasili na Utalii Mh Hamisi Kigwangalla amekamilisha mchakato wa kukabidhi ofisi kwa Waziri mpya Dkt. Damas Ndumbaro.

My opinion, this is wrong! Baada ya Bunge kuvunjwa na uwaziri ulipaswa kuishia pale, kila Waziri was supposed to vacate the office by pack and go, hata kama atachaguliwa kuendelea, so that Waziri mpya akija aanze kivyake, haya mambo ya kukabidhiana ofisi kuna wengine ni watu wa madudu, mavitu na makitu, akikabidhi ofisi, anakabidhi na madudu, mavitu na makitu yake!
P
 
Kwamba mpaka leo kabla ya kikabidhi alibaki kuwa waziri?
 
Hahaha nimecheka sana eti makitu.
My opinion, this is wrong!. Baada ya Bunge kuvunjwa na uwaziri ulipaswa kuishia pale, kila Waziri was supposed to vacate the office by pack and go, hata kama atachaguliwa kuendelea, so that Waziri mpya akija aanze kivyake, haya mambo ya kukabidhiana ofisi kuna wengine ni watu wa madudu, mavitu na makitu, akikabidhi ofisi, anakabidhi na madudu, mavitu na makitu yake!
P
 
Ina onyesha alikuwa Dodoma akidhani ata teuliwa[emoji15][emoji15][emoji102]
 
My opinion, this is wrong!. Baada ya Bunge kuvunjwa na uwaziri ulipaswa kuishia pale, kila Waziri was supposed to vacate the office by pack and go, hata kama atachaguliwa kuendelea, so that Waziri mpya akija aanze kivyake, haya mambo ya kukabidhiana ofisi kuna wengine ni watu wa madudu, mavitu na makitu, akikabidhi ofisi, anakabidhi na madudu, mavitu na makitu yake!.
P
Pascal ongeza sauti kidogo pls
 
Hivi ni Hamis tu ndiye alikuwa hajakabidhi ofisi?! Mbona hatuoni picha za Mpina, Hasunga na Eng.Kamwelwe nao wakikabidhi ofisi ?!
Kweli huyu jamaa ni limbukeni wa mitandao ya kijamii na ni mshamba sana!
Ukitaka kumpa mtoto jina ebu jiulize Mara mbili mbili unapotaka kumpa jina la Mwajuma na Hamisi !
Mpina bado haamini kilichotokea yaani.
 
Sura ya kiusalama wa taifa kabisa Kuna special mission inapagwa/ilipangwa kwa ajili yake...muda utasema KILa jambo Lina muda wake
Daah aisee basi huku mtaani mafundi wa kuchomelea wote watakua ni usalama wa taifa maana sura zao ziko hivyo na zile miwani zao za kuchomelea.
 
Back
Top Bottom