Hamis Kigwangwala akabidhi ofisi kwa Waziri Mpya

Hamis Kigwangwala akabidhi ofisi kwa Waziri Mpya

Sura ya kiusalama wa taifa kabisa Kuna special mission inapagwa/ilipangwa kwa ajili yake...muda utasema KILa jambo Lina muda wake
Hua wana sura zao hao usalama wa Taifa kumbe.
 
Anakabidhi vipi ofisi wakati hakuwepo ofisini muda mrefu na pia alishakabidhi ofisi kwa katibu mkuu?

Wait and see! I presume Permanent Secretaries were the ones running all ministries! Tuone kama wengine watafanya vilevile wakati hawakuwa kazini!!!
 
Let's and see but it is like wonders
Wait and see! I presume Permanent Secretaries were the ones running all ministries! Tuone kama wengine watafanya vilevile wakati hawakuwa kazini!!!
 
Hivi ni Hamis tu ndiye alikuwa hajakabidhi ofisi?! Mbona hatuoni picha za Mpina, Hasunga na Eng.Kamwelwe nao wakikabidhi ofisi ?!
Kweli huyu jamaa ni limbukeni wa mitandao ya kijamii na ni mshamba sana!
Ukitaka kumpa mtoto jina ebu jiulize Mara mbili mbili unapotaka kumpa jina la Mwajuma na Hamisi !
Wewe mchawi wa kilwa
 
Kikubwa ni ubunge aliochaguliwa na wananchi hiyo ya uwaziri si yakutafutia pilipili
 
Nilifungua uzi fasta nikafikiri ni Hamisa Mabeto....dah nampendaga yule binti hata wife anajua hilo
 
Waziri wa zamani wa Maliasili na Utalii Mh Hamisi Kigwangalla amekamilisha mchakato wa kukabidhi ofisi kwa Waziri mpya Dkt. Damas Ndumbaro.

.
IMG-20201211-WA0000.jpg
 
Back
Top Bottom