Hamis Kigwangwala akabidhi ofisi kwa Waziri Mpya

Hamis Kigwangwala akabidhi ofisi kwa Waziri Mpya

Mbona docs kidogo, zingine kaficha nini? ha ha ha
 
Hivi ni Hamis tu ndiye alikuwa hajakabidhi ofisi?! Mbona hatuoni picha za Mpina, Hasunga na Eng.Kamwelwe nao wakikabidhi ofisi ?!
Kweli huyu jamaa ni limbukeni wa mitandao ya kijamii na ni mshamba sana!
Ukitaka kumpa mtoto jina ebu jiulize Mara mbili mbili unapotaka kumpa jina la Mwajuma na Hamisi !

Imagine mi demu wangu anaitwa Mwajuma Hamis
 
Ila baada ya muda mfupi ujao nitajiondoa jf ili kushiriki harakati za ardhini na majukwaani
mi naona unaweza kufanya hizo harakati zako na pia ukaendelea kutoa mchango wako hapa jukwaani (japo sifaham ni harakati zipi unadhamiria kuzifanya)
 
Onyo : usithubutu kumtelekeza mzazi wako hadi ikafikia anakufa njaa , laana yake haiishi

Kama hilo Lina ukweli basi ni muda muafaka wa HK kukaa na mzazi wake wayajenge ila kubwa kuliko yote ni muda mzuri kwa HK kutuonyesha kwa vitendo ujasiriamali aliyokuwa anauimba
 
Huyu jamaa hakomi tu,bado kapiga na tupicha twa kukabidhi ofisi hovyo sana huyu jamaa.
 
Kigwangala ni mshamba wa madaraka... Alinisikitisha sana siku ile amewapigisha pushapu askari wa TANAPA mbele ya kadamnasi....
 
Huyu jamaa aliwezaje kuwa waziri. Nchi ina maajabu hii, yaani mtu bogus kama huyu ameweza kuwa waziri
 
Back
Top Bottom