Hamis Kigwangwala akabidhi ofisi kwa Waziri Mpya

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Waziri wa zamani wa Maliasili na Utalii Mh Hamisi Kigwangalla amekamilisha mchakato wa kukabidhi ofisi kwa Waziri mpya Dkt. Damas Ndumbaro.



Mchango wa wadau

 
Hivi ni Hamis tu ndiye alikuwa hajakabidhi ofisi? Mbona hatuoni picha za Mpina, Hasunga na Eng. Kamwelwe nao wakikabidhi ofisi?

Kweli huyu jamaa ni limbukeni wa mitandao ya kijamii na ni mshamba sana!

Ukitaka kumpa mtoto jina hebu jiulize Mara mbili mbili unapotaka kumpa jina la Mwajuma na Hamisi !
 
Mkuu tema mate chini
 
Sura ya kiusalama wa taifa kabisa Kuna special mission inapagwa/ilipangwa kwa ajili yake...muda utasema KILa jambo Lina muda wake
Hakuna cha usalama hapo, Usalama wa Taifa anakuwaga mshamba na limbukeni kama hili li jamaa!

Usalama wa Taifa cha kwanza kwao ni " camouflage and concealment ").
Huyu hana tofauti na wale akina dada poa ambao kutwa kupiga picha na kupost kwenye mitandao ya kijamii.

Huyu ana vitabia vya akina mama wa uswahilini ambaye akipika ubwabwa basi anataka mtaa mzima ujue siku hiyo anakula wali. Mshamba sana!
 

Malezi ya mama
 
Halafu hili li mtu uelewa wake na ma digirii yake manne uko chini sana.

Jana Rais ameliponda na maselfie ya hapa sasa ndio nakagua kifaru lakini halielewi kitu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…