Hamis Kigwangwala akabidhi ofisi kwa Waziri Mpya

Kuna jamaa anaitwa Hamisi Mwinjuma. Huyo kutwa kumvagaa_vagaa Magufuli
 
Huyo jina lake ni Andrea Bagalile.
 
Waziri wa zamani wa Maliasili na Utalii Mh Hamisi Kigwangalla amekamilisha mchakato wa kukabidhi ofisi kwa Waziri mpya Dkt. Damas Ndumbaro.

My opinion, this is wrong! Baada ya Bunge kuvunjwa na uwaziri ulipaswa kuishia pale, kila Waziri was supposed to vacate the office by pack and go, hata kama atachaguliwa kuendelea, so that Waziri mpya akija aanze kivyake, haya mambo ya kukabidhiana ofisi kuna wengine ni watu wa madudu, mavitu na makitu, akikabidhi ofisi, anakabidhi na madudu, mavitu na makitu yake!
P
 
Kwamba mpaka leo kabla ya kikabidhi alibaki kuwa waziri?
 
Hahaha nimecheka sana eti makitu.
 
Ina onyesha alikuwa Dodoma akidhani ata teuliwa[emoji15][emoji15][emoji102]
 
Pascal ongeza sauti kidogo pls
 
Mpina bado haamini kilichotokea yaani.
 
Sura ya kiusalama wa taifa kabisa Kuna special mission inapagwa/ilipangwa kwa ajili yake...muda utasema KILa jambo Lina muda wake
Daah aisee basi huku mtaani mafundi wa kuchomelea wote watakua ni usalama wa taifa maana sura zao ziko hivyo na zile miwani zao za kuchomelea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…