Bado tu mnapambana na marehem na dalili zote zinaonesha nyie mkishindwaNimemsikiliza jana anasema anatishiwa maisha ,ila awamu ya 5 wapigaji walikuwa wengi sana yaani 168m Tsh per day kwa miaka 6 tunapigwa? Ushauri wake ni mzuri wa TBS kununua DNA direct kwa 0.8 instead tunayopigwa ambayo ni 7 ,yaani tunapigwa bei karibu mara 9.
Bado tu mnapambana na marehem na dalili zote zinaonesha nyie mkishindwa
Ukipata muda ni kupiga pesa tu hakuna namnaNchi ngumu sana hii
Bado tu mnapambana na marehem na dalili zote zinaonesha nyie mkishindwa
Wewe utakuwa mnufaika hapoTabasamu ni mwendawazimu.
Tatizo la nchi yetu, watu wanapenda sana kupepeta midomo na kama huna akili bado utabaki kuwa kama taahira.
Kwanza GFI haina miaka 6, ipo nchini zaidi ya miaka 6.
Pili, hakuna pesa ya serikali iliyopigwa. Pesa waliyokuwa wanalipwa GFI ilitokana na tozo ya Tsh 17 kwa kila litre ya mafuta iliyokuwa inalipwa na wenye matank ya mafuta.
Nchi hii taarifa sahihi na za uhakika zimekuwa bidhaa adimu sana. Kila kitu kinaguswa juu juu tu.
Hili ndio tatizo la vijitu viswahili. Umesha program akili yako ili usikie unayotaka kusikia tu hata kama ni uongo.Wewe utakuwa mnufaika hapo
Mkuu utalipane watu 168M kwa siku kama siyo utapeli asee?Hili ndio tatizo la vijitu viswahili. Umesha program akili yako ili usikie unayotaka kusikia tu hata kama ni uongo.
GFI ni kampuni ya Israel, na iko nchi kibao. Hata sasa hivi bado wanafanya kazi Zanzibar. Mimi nahusikaje ?
Kwanza ukitaka kujua huu ni upumbavu, GFI walikuwa wanapewa tender na EWURA lakini cha kushangaza tangu huu upuuzi uanze kutajwa, EWURA hawazungumzwi kabisa na wao wako kimya utafikiri hawapo.
Nchi hii bana
Wewe kazi waliyokuwa wanafanya unaijua ?Mkuu utalipane watu 168M kwa siku kama siyo utapeli asee?
Ipi eleza hapa kwa undani, acheni kutetea matapeliWewe kazi waliyokuwa wanafanya unaijua ?
Watu wanatafuta LEGACY, kisha wanatafuta kuonekana ni wabunge machachari, hawajui cha kufanya maana, lengo lao bungeni lilikuwa liwe kusifu na kuabudu. Sasa kwa akili zao ndogo hakukuwa na plan B.Tabasamu ni mwendawazimu.
Tatizo la nchi yetu, watu wanapenda sana kupepeta midomo na kama huna akili bado utabaki kuwa kama taahira.
Kwanza GFI haina miaka 6, ipo nchini zaidi ya miaka 6.
Pili, hakuna pesa ya serikali iliyopigwa. Pesa waliyokuwa wanalipwa GFI ilitokana na tozo ya Tsh 17 kwa kila litre ya mafuta iliyokuwa inalipwa na wenye matank ya mafuta.
Nchi hii taarifa sahihi na za uhakika zimekuwa bidhaa adimu sana. Kila kitu kinaguswa juu juu tu.
Anyway, mimi siko hapa kumtetea yoyote wala kuonesha usahihi wa malipo waliyokuwa wanapeana.Ipi eleza hapa kwa undani, acheni kutetea matapeli
siyo ngumu mkuu nchi kinachotakiwa ni kuwa na katiba mpya itakayosema wezi wakibainika wameiba wauawe hadharani au wachomwe moto hadharani.vinginevyo tutaendelea kulalama humu ndani wakati majizi yanazidi kuzaliwa kila kukicha.Nchi ngumu sana hii
Hio at the end si I naende kuwa mzigo kwa end user? Inaonekana umesomea Sayansi kimu sasa una i apply humuTabasamu ni mwendawazimu.