Hamis Tabasamu: Kila siku Milioni 168 zinaliwa kwa muda wa miaka 6, Kampuni ya GFI yahusika

Hamis Tabasamu: Kila siku Milioni 168 zinaliwa kwa muda wa miaka 6, Kampuni ya GFI yahusika

Watanzania wakiambiwa mamilioni mengi wanachanganyakiwa. Uongo mwingi huko hapo.

Hata hayati alisema wameokoa pesa nyingi sana kwa kuwatoa wenye vyeti feki ambao kimsingi walikuwa asilimia 2 tu ya wafanyakazi wote. Hawakutuambia gharama walizotumia kuwapata hapo unaweza ukakuta zoezi zima lilileta hasara.
 
mimi nikiishamsikia mtu anatumia neno "uzalendo", huwa narudi nyuma kwanza
 
Nimemsikiliza jana anasema anatishiwa maisha ,ila awamu ya 5 wapigaji walikuwa wengi sana yaani 168m Tsh per day kwa miaka 6 tunapigwa? Ushauri wake ni mzuri wa TBS kununua DNA direct kwa 0.8 instead tunayopigwa ambayo ni 7 ,yaani tunapigwa bei karibu mara 9.
Yaani hela zote hizo zimepigwa chini ya rais wa wanyonge , mzalendo , mpambanaji ufisadi , jembe , malaika mkuu ?
 
Jiwe alikuwa anatafuna Hii nchi mno,acha apumzishwe
 
Yaani hela zote hizo zimepigwa chini ya rais wa wanyonge , mzalendo , mpambanaji ufisadi , jembe , malaika mkuu ?
Hapo tatizo kama kuna ufisadi, utakuwa ni wa watu wazito,sasa mtu wa 'kumfunga paka kengele' ndo itakuwa shughuli.....
 
Ukipata muda ni kupiga pesa tu hakuna namna
Halafu Mungu akuangalie tu unawazidishia masikini maumivu. Yuko jamaa mmoja alipiga sana hela pale BoT kwa kuchaji per hour. Hela za BoT Ni za walalahoi wa Tanzania. Kiko wapi mwaka wa sita huu haonekani hadharani pamoja na kuvaa kofia za damu, range sport na kuongea sana.
 
Jina lake please
 
Back
Top Bottom