MoseKing
JF-Expert Member
- Jul 5, 2017
- 4,906
- 9,040
Pesa ya huduma ilikuwa inatozwa na EWURA ili kuwalipa GFI.Sijaona uwendawazimu wa Tabasamu kama unavyosema. Hiyo tozo inatozwa na nani? Ikitozwa akalipwa huyo GFI badala TBS kama anavyopendekeza MH Tabasamu itakuwa inaingia wapi kama sio Serikalini?
Hoja ya Tabasamu ni kupanua wigo zaidi wa vyanzo vya pesa kwa ajili ya miradi itakayowasaidia Watanzania moja kwa moja...na alipendekeza pesa hizo zikiwa zinalipwa kwa TBS ambao wanaweza kufanya kazi hiyo, tafsiri yake tutapata mabilioni ya pesa kwa ajili ya barabara za Vijijjini. Sijaona alipokosea.
Hiyo pesa ndio ilikuwa inahusika kulipa mishshara, opration costs, kununua dawa, n.k
Kwahiyo sasa hivi TBS wao pesa za kulipa wafanyakazi, kununua dawa n.k wanatoa wapi ?
Halafu unachukuaje pesa za huduma ya mafuta then unaipeleka kwenye barabara ( TARURA ) na Maji ( RUWASA ).
Kama vipi hakuna ulazima wa kutoza hiyo tozo kama huduma ya markobg inaweza kufanywa bure na TBS !