Kunufaika sio lazima uwe mmiliki wa kampuni husika,ziko namna nyingi za kunufaika na jambo.Tukirudi kwenye swala lenyewe,nakubaliana na wewe kwamba tuna tatizo la kutopata taarifa sahihi.Hili ndio tatizo la vijitu viswahili. Umesha program akili yako ili usikie unayotaka kusikia tu hata kama ni uongo.
GFI ni kampuni ya Israel, na iko nchi kibao. Hata sasa hivi bado wanafanya kazi Zanzibar. Mimi nahusikaje ?
Kwanza ukitaka kujua huu ni upumbavu, GFI walikuwa wanapewa tender na EWURA lakini cha kushangaza tangu huu upuuzi uanze kutajwa, EWURA hawazungumzwi kabisa na wao wako kimya utafikiri hawapo.
Nchi hii bana
Wafia jiwe wanaelewa hapa?Nimemsikiliza jana anasema anatishiwa maisha ,ila awamu ya 5 wapigaji walikuwa wengi sana yaani 168m Tsh per day kwa miaka 6 tunapigwa? Ushauri wake ni mzuri wa TBS kununua DNA direct kwa 0.8 instead tunayopigwa ambayo ni 7 ,yaani tunapigwa bei karibu mara 9.
Hata mimi lazima niwasafishe tuu mkinipa gap .....!! Uzuri ni kwamba hamna kitu chochote mtanifanya ...Katiba ipo upande wanguUkipata muda ni kupiga pesa tu hakuna namna
Nchi ya kugawana hiiHata mimi lazima niwasafishe tuu mkinipa gap .....!! Uzuri ni kwamba hamna kitu chochote mtanifanya ...Katiba ipo upande wangu
Hili ndio tatizo la vijitu viswahili. Umesha program akili yako ili usikie unayotaka kusikia tu hata kama ni uongo.
GFI ni kampuni ya Israel, na iko nchi kibao. Hata sasa hivi bado wanafanya kazi Zanzibar. Mimi nahusikaje ?
Kwanza ukitaka kujua huu ni upumbavu, GFI walikuwa wanapewa tender na EWURA lakini cha kushangaza tangu huu upuuzi uanze kutajwa, EWURA hawazungumzwi kabisa na wao wako kimya utafikiri hawapo.
Nchi hii bana
Huenda unayosema ni kweli,maana kwanza mwanasiasa yeyote anapotoa hoja kwa mwamvuli wa aidha Mungu au Uzalendo...basi mimi napata shaka.Tabasamu ni mwendawazimu.
Tatizo la nchi yetu, watu wanapenda sana kupepeta midomo na kama huna akili bado utabaki kuwa kama taahira.
Kwanza GFI haina miaka 6, ipo nchini zaidi ya miaka 6.
Pili, hakuna pesa ya serikali iliyopigwa. Pesa waliyokuwa wanalipwa GFI ilitokana na tozo ya Tsh 17 kwa kila litre ya mafuta iliyokuwa inalipwa na wenye matank ya mafuta.
Nchi hii taarifa sahihi na za uhakika zimekuwa bidhaa adimu sana. Kila kitu kinaguswa juu juu tu.
Hakuna ufisadi hapo.Huenda unayosema ni kweli,maana kwanza mwanasiasa yeyote anapotoa hoja kwa mwamvuli wa aidha Mungu au Uzalendo...basi mimi napata shaka.
Kama hawa GFI kweli wakipiga hizo pesa na ni wakati wa hayati Magufuli ?
Basi ni lazima wizara ya nishati wawajibishwe kwa huo ufisadi.
Na kama hawa wabunge wamesema uongo kwa manufaa yao ya kibishara basi ukweli uwekwe hadharaani.
Sasa kama lengo lao ni kutetea end user mbona hawaipingi hiyo tozo na mpaka sasa GFI haipo lakini bado inatozwa ?Hio at the end si I naende kuwa mzigo kwa end user? Inaonekana umesomea Sayansi kimu sasa una i apply humu
Ndio. GFI inaendelea na kazi Zanzibar sasa hivi.Are you sure wapo Zanzibar as we speak ???
Kweli wameongezewa muda...Ndio. GFI inaendelea na kazi Zanzibar sasa hivi.
Kwa bara mkataba wao umeisha lakini hawajaongezwa na ndio hizo drama zimeanza.Kweli wameongezewa muda...
Mabeberu pekee waliokubalika na Jiwe...
mtoa mada mim sijui hayo maishu.ila napenda uKwa bara mkataba wao umeisha lakini hawajaongezwa na ndio hizo drama zimeanza.
Ila kwa Zanzibar, mkataba wao bado ni VALID.
Kwa hiyo mbuge huyu kaligundua leo hili?Nimenukuu maneno ya mbunge anayelalamika kwa miaka 6 tulikuwa tunapigwa ,miaka 6 ni awamu ya 5 mkuu...tuliaminishwa kwamba upigaji hakuna,yaani wezi wananunua DNA kwa 0.8 USD huku wanakuja kutuuzia kwa 7 USD bei karibu mara 9.
DUH HII NI KALI, MAREHEMU AKA DIKTETA MAGUFULI ATASHINDAJE?? WEWE LZM NI AYAWANIBado tu mnapambana na marehem na dalili zote zinaonesha nyie mkishindwa
Tabasamu ni mwendawazimu.
Tatizo la nchi yetu, watu wanapenda sana kupepeta midomo na kama huna akili bado utabaki kuwa kama taahira.
Kwanza GFI haina miaka 6, ipo nchini zaidi ya miaka 6.
Pili, hakuna pesa ya serikali iliyopigwa. Pesa waliyokuwa wanalipwa GFI ilitokana na tozo ya Tsh 17 kwa kila litre ya mafuta iliyokuwa inalipwa na wenye matank ya mafuta.
Nchi hii taarifa sahihi na za uhakika zimekuwa bidhaa adimu sana. Kila kitu kinaguswa juu juu tu.
Wewe ndio mbulula kabisa! Hiyo tozo ya tsh 17 ilikuwa analipwa nani? Serikali ndio ilikuwa inalipwa,then serikali inamlipa GFI. Serikali ndiyo ilikuwa imeingia mkataba na GFI siyo wauzaji w mafuta.Tabasamu ni mwendawazimu.