Pesa ya huduma ilikuwa inatozwa na EWURA ili kuwalipa GFI.Sijaona uwendawazimu wa Tabasamu kama unavyosema. Hiyo tozo inatozwa na nani? Ikitozwa akalipwa huyo GFI badala TBS kama anavyopendekeza MH Tabasamu itakuwa inaingia wapi kama sio Serikalini?
Hoja ya Tabasamu ni kupanua wigo zaidi wa vyanzo vya pesa kwa ajili ya miradi itakayowasaidia Watanzania moja kwa moja...na alipendekeza pesa hizo zikiwa zinalipwa kwa TBS ambao wanaweza kufanya kazi hiyo, tafsiri yake tutapata mabilioni ya pesa kwa ajili ya barabara za Vijijjini. Sijaona alipokosea.
Hata kama unakataa kwamba huna masilahi na GFI,narration yako inathibitisha una masilahi nao,ndio maana unawajua GFI vizuri to details.Hili ndio tatizo la vijitu viswahili. Umesha program akili yako ili usikie unayotaka kusikia tu hata kama ni uongo.
GFI ni kampuni ya Israel, na iko nchi kibao. Hata sasa hivi bado wanafanya kazi Zanzibar. Mimi nahusikaje ?
Kwanza ukitaka kujua huu ni upumbavu, GFI walikuwa wanapewa tender na EWURA lakini cha kushangaza tangu huu upuuzi uanze kutajwa, EWURA hawazungumzwi kabisa na wao wako kimya utafikiri hawapo.
Nchi hii bana
Wewe jamaa ni mpumbavu. Maana sioni unapinga kipi na unakubaliana na kipi ?Wewe ndio mbulula kabisa! Hiyo tozo ya tsh 17 ilikuwa analipwa nani? Serikali ndio ilikuwa inalipwa,then serikali inamlipa GFI. Serikali ndiyo ilikuwa imeingia mkataba na GFI siyo wauzaji w mafuta.
Kwa muktadha huo,serikali ilikuwa imeingia mkataba wa kifisadi. Mkataba ulipoisha mwaka jana,GFI wakawa wanaongezewa mkataba wa miezi mitatu mitatu kwa quotation!
Just imagine,mkataba wa milioni168 kila siku kwa quatation,halafu mnajitapa uzalendo? No!
Kwa viwango vyovyote,huu ni ufisadi uliofanyika na kufumbiwa macho wakati wa serikali ya Magufuli.
Nawajua GFI kwasababu kuna mshkaji wangu alikuwa anafanya anafanya kazi hapo. Hata hivyo sasa hizi bado wanafanya kazi na TBS.Hata kama unakataa kwamba huna masilahi na GFI,narration yako inathibitisha una masilahi nao,ndio maana unawajua GFI vizuri to details.
Kwa hiyo, kwa uelewa wako,so long as mkataba waliingia EWURA, serikali haikuhusika? EWURA ni taasisi ya nani?
Tafadhali hebu acha kutupigia kelele kwa vitu ambavyo viko obvious!
Katiba ni karatasi tu mkuu!siyo ngumu mkuu nchi kinachotakiwa ni kuwa na katiba mpya itakayosema wezi wakibainika wameiba wauawe hadharani au wachomwe moto hadharani.vinginevyo tutaendelea kulalama humu ndani wakati majizi yanazidi kuzaliwa kila kukicha.
Magufuli alikuwa anaenda kuifirisi hi nchi,Nimemsikiliza jana anasema anatishiwa maisha ,ila awamu ya 5 wapigaji walikuwa wengi sana yaani 168m Tsh per day kwa miaka 6 tunapigwa? Ushauri wake ni mzuri wa TBS kununua DNA direct kwa 0.8 instead tunayopigwa ambayo ni 7 ,yaani tunapigwa bei karibu mara 9.
Nani anawajibika kutoa taarifa sahihi na za uhakika?Tabasamu ni mwendawazimu.
Tatizo la nchi yetu, watu wanapenda sana kupepeta midomo na kama huna akili bado utabaki kuwa kama taahira.
Kwanza GFI haina miaka 6, ipo nchini zaidi ya miaka 6.
Pili, hakuna pesa ya serikali iliyopigwa. Pesa waliyokuwa wanalipwa GFI ilitokana na tozo ya Tsh 17 kwa kila litre ya mafuta iliyokuwa inalipwa na wenye matank ya mafuta.
Nchi hii taarifa sahihi na za uhakika zimekuwa bidhaa adimu sana. Kila kitu kinaguswa juu juu tu.
Mwendazake alikuwa jizi, wallah miaka ijayo watu wataenda kufukua lile shimo wageuze DampoBado tu mnapambana na marehem na dalili zote zinaonesha nyie mkishindwa
Waziri wa Nishati kwa kushirikiana na Bodi ya EWURA.Nani anawajibika kutoa taarifa sahihi na za uhakika?
Magufuli alikuwa na share yake hapo anapataHili ndio tatizo la vijitu viswahili. Umesha program akili yako ili usikie unayotaka kusikia tu hata kama ni uongo.
GFI ni kampuni ya Israel, na iko nchi kibao. Hata sasa hivi bado wanafanya kazi Zanzibar. Mimi nahusikaje ?
Kwanza ukitaka kujua huu ni upumbavu, GFI walikuwa wanapewa tender na EWURA lakini cha kushangaza tangu huu upuuzi uanze kutajwa, EWURA hawazungumzwi kabisa na wao wako kimya utafikiri hawapo.
Nchi hii bana
Huna hoja yoyote ya maana! Unachofanya ni kutetea masilahi yako tu na GFI. Inawezekana wewe ndiye uliyempigia simu Tabasamu kumtisha.Wewe jamaa ni mpumbavu. Maana sioni unapinga kipi na unakubaliana na kipi ?
Huduma waliyokuwa wanatoa GFI unaijua ?
Na, Je hiyo tozo waliyokuwa wanatoza EWURA ilikuwa ni ya nini kama siyo hiyo huduma ya marking ?
Na kama hiyo tozo ni kubwa,ndogo ni ipi ?
Hivi una akili timamu kweli ?
Kwa taarifa hako hiyo GFI imefanya kazi miaka zaidi ya 10. Mburula.
Huna hoja yoyote ya maana! Unachofanya ni kutetea masilahi yako tu na GFI. Inawezekana wewe ndiye uliyempigia simu Tabasamu kumtisha.
Hata hivyo,the game is over,tuache sisi wapumbavu wa nchi hii tuendelee kujenga nchi yetu. Hatuwezi kulipa milioni 168 kwa siku kwa ajili ya marking ya mafuta. Kazi hiyo itafanywa na TBS ambako tutaspend just 20% of that amount. Halafu tunapitisha sheria kabisa bungeni ili nyinyi wenye mapesa ya kudhulumu watanzania msipate mwanya wakucorrupt watu wetu.
Na kwa kuwa,GFI wanamatenda ya marking Dunia nzima,hawatajali kupoteza tenda ya wapumbavu wa tanzania. Period.
Sasa wewe mwenzetu mwenye taarifa sahihi bado haujaleta taarifa sahihi kama unavyojinasibu.Tabasamu ni mwendawazimu.
Tatizo la nchi yetu, watu wanapenda sana kupepeta midomo na kama huna akili bado utabaki kuwa kama taahira.
Kwanza GFI haina miaka 6, ipo nchini zaidi ya miaka 6.
Pili, hakuna pesa ya serikali iliyopigwa. Pesa waliyokuwa wanalipwa GFI ilitokana na tozo ya Tsh 17 kwa kila litre ya mafuta iliyokuwa inalipwa na wenye matank ya mafuta.
Nchi hii taarifa sahihi na za uhakika zimekuwa bidhaa adimu sana. Kila kitu kinaguswa juu juu tu.
Ushahidi wa nini ?Sasa wewe mwenzetu mwenye taarifa sahihi bado haujaleta taarifa sahihi kama unavyojinasibu.
Nadhani ni vema ungeweka ushahidi lakini umeishia kuleta maongezi tu.
Kiufupi, GFI walishinda hiyo tender mwaka 2010 just Google utapata hizo taarifa so Wana zaidi ya miaka 10 hapa Tanzania wakifanya hiyo kazi ya kuweka vinasaba kwenye mafuta. Huo ndio ukweli unless kuhusu hayo mahesabu ya gharama wanazotuchaji na hasara tunayopata hapo siwezi kuelezea maana sijui.
Kwa hiyo mbuge huyu kaligundua leo hili?
Km walishinda tender 2010 mwendazake uhusika wake upo vp hapa?Sasa wewe mwenzetu mwenye taarifa sahihi bado haujaleta taarifa sahihi kama unavyojinasibu.
Nadhani ni vema ungeweka ushahidi lakini umeishia kuleta maongezi tu.
Kiufupi, GFI walishinda hiyo tender mwaka 2010 just Google utapata hizo taarifa so Wana zaidi ya miaka 10 hapa Tanzania wakifanya hiyo kazi ya kuweka vinasaba kwenye mafuta. Huo ndio ukweli unless kuhusu hayo mahesabu ya gharama wanazotuchaji na hasara tunayopata hapo siwezi kuelezea maana sijui.
Hii ilianza toka 2014 kufanya kazi. Ni kampuni ya Israel I guessNimemsikiliza jana anasema anatishiwa maisha ,ila awamu ya 5 wapigaji walikuwa wengi sana yaani 168m Tsh per day kwa miaka 6 tunapigwa? Ushauri wake ni mzuri wa TBS kununua DNA direct kwa 0.8 instead tunayopigwa ambayo ni 7 ,yaani tunapigwa bei karibu mara 9.
Nimenukuu maneno ya mbunge anayelalamika kwa miaka 6 tulikuwa tunapigwa ,miaka 6 ni awamu ya 5 mkuu...tuliaminishwa kwamba upigaji hakuna,yaani wezi wananunua DNA kwa 0.8 USD huku wanakuja kutuuzia kwa 7 USD bei karibu mara 9.