Yaani hela zote hizo zimepigwa chini ya rais wa wanyonge , mzalendo , mpambanaji ufisadi , jembe , malaika mkuu ?Nimemsikiliza jana anasema anatishiwa maisha ,ila awamu ya 5 wapigaji walikuwa wengi sana yaani 168m Tsh per day kwa miaka 6 tunapigwa? Ushauri wake ni mzuri wa TBS kununua DNA direct kwa 0.8 instead tunayopigwa ambayo ni 7 ,yaani tunapigwa bei karibu mara 9.
Hapo tatizo kama kuna ufisadi, utakuwa ni wa watu wazito,sasa mtu wa 'kumfunga paka kengele' ndo itakuwa shughuli.....Yaani hela zote hizo zimepigwa chini ya rais wa wanyonge , mzalendo , mpambanaji ufisadi , jembe , malaika mkuu ?
Hawa wawili wote ni wafanyabiashara. Kwa vyvyote vile kuna suala la mgongano wa maslahi ya kibiashara nyuma ya sakata hili. Muda utaongea.Sasa hivi watetezi wa Watanzania naona ni akina tabasamu na Shabbiby
Sawa.Rudia clip yake utamuelewa vizuri.
Halafu Mungu akuangalie tu unawazidishia masikini maumivu. Yuko jamaa mmoja alipiga sana hela pale BoT kwa kuchaji per hour. Hela za BoT Ni za walalahoi wa Tanzania. Kiko wapi mwaka wa sita huu haonekani hadharani pamoja na kuvaa kofia za damu, range sport na kuongea sana.Ukipata muda ni kupiga pesa tu hakuna namna
Huyu mbunge inabidi nianze fuatilia michango yake , kabla sijamsifia, ila naona Kuna kitu ndani yake, mchango wake ni mzuri,
HapanaNi mropokaji tu
Jina lake pleaseHalafu Mungu akuangalie tu unawazidishia masikini maumivu. Yuko jamaa mmoja alipiga sana hela pale BoT kwa kuchaji per hour. Hela za BoT Ni za walalahoi wa Tanzania. Kiko wapi mwaka wa sita huu haonekani hadharani pamoja na kuvaa kofia za damu, range sport na kuongea sana.
Mwiko.Jina lake please
SawaMwiko.
Yule wa Jana aliyepiga hela na aliyekwenda umesikia nae?
Hela za wanyonge hazijuachi uzifaidi. Utazipiga lkn watakaozila Ni wengine.