Hamis Talatale: Sijamtoa kafara mke wangu ili nipate ubunge, nilimpenda sana haina mfano!


mkuu futa hii comment unamuharibia huyo kijana
 
Mlitegemea aseme "ndiyo nilimtoa mke wangu kafara ".Huyu pamoja na ubunge kuupata hatokaa apate amani moyoni mwake. Eti mkewe alimwambia asioe. Ikute mganga wake ndo kamwambia asioe. Haiji akilini utoe kafara halafu uoe tena 🤣🤣🤣
 
Tapeli alafu lipia tangazo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…