Hamis Talatale: Sijamtoa kafara mke wangu ili nipate ubunge, nilimpenda sana haina mfano!

Maswali mengine wala sio yakuuliza. Sasa tuseme ni kweli kamtoa kafara unategemea atajibu ndio nimemtoa kafara? kitu kinachonikera huyu mtu ana act na ana sura fulani ya mtu sio wa kuaminika. kwanini watu wamtilie mashaka hajiulizi tu? wangapi wanafiwa hata viongozi kwanini yeye. Mimi sisemi ni kweli hapana ila tabia za mtu zinakuja kukuweka katika mashaka kama haya. maadui zake kina nani wakati ubunge kapita bila kupingwa. Sababu ya yote hata anaviashiria vya ushirikina anavyo na face expression yake sio mtu wa kumuamini ni mtu fulani hayuko real. Huyu mtu simjui hajawahi kunifanyia kitu chochote lakini kuna ile hali mtu unaweza kumchukia mtu bila sababu kwa kumuangalia tu basi ndio mimi, sio dhambi hata mimi mtu anaweza tu asinikubali bila sababu ila ukiona wengi wanakutilia mashaka basi jiangali. lolote linawezekana. kuna watu tunasikia walitoa kafara na nasikia sharti la kafara unatoa unachokipenda zaidi sio unachokichukia. Haya yanasemwa tu sina ushahidi.
 
Mlitegemea aseme "ndiyo nilimtoa mke wangu kafara ".Huyu pamoja na ubunge kuupata hatokaa apate amani moyoni mwake. Eti mkewe alimwambia asioe. Ikute mganga wake ndo kamwambia asioe. Haiji akilini utoe kafara halafu uoe tena 🤣🤣🤣
Kafara vinatolewa unavyovipenda sana, Hata Ibrahim alipewa mtihani wa kumtoa kafara mtoto wake kipenzi Ismael ila Mungu alimpa majaribio akampa mbadala, waganga hawana mbadala toa unachopenda sana 🤣 🤣 🤣 🤣🤣
 
Nimekuelewa bwashee!

Sisi tulioishi Makete hii michezo kule ni kawaida ili kujipatia utajiri.

Kama kweli kafanya ili arudi bungeni 2025 watoto wataanza kuhusika!
 
Tunaongozwa na watu wangaji Sana.

Tangu lini mbunge anapigiwa saluti na hata akipigiwa ni Nini kubwa? Kwahiyo kwake yy saluti ni ishu sana.
Tangu lini askari akampigia salute mbunge kumbe huyu jamaa ni kilaza kiasi hiki yeye naye atajiita serkali .poor and silly
Mbunge anapigiwa saluti ya mkono toka kwa CO ni anapiga kama kawaida
Non CO wanabana kila kitu
Mbunge ni Serikali bwana
 
Kiongozi /Mteuliwa wa serikali km Mbunge au Mkuu wa Wilaya wanapigiwa saluti ndio maana wanatembea na agari yenye bendera ya Taifa katika maeneo yao ya kujidai, sijajua km Diwani yumo
View attachment 1689795

View attachment 1689796
umeenda chaka mkuu, mbunge hapigiwi salute na Askari wa aina yyte ile, huyo pichani sio mbunge huyo ni mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama wilaya DC kama unabishi nipe picha yyte ya mbunge akipigiwa salute hapa
 
Wabunge wa nchi gani hao wanaopigiwa saluti? Nimecheka wallah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
kwanini unabisha mkuu wakati nimewahi kuona hii kitu na hata job ndugai aliizungumzia mwaka jana
wabunge ndio walikua wanalalamika kwanini ma DC wanapigiwa salute ila wao hawapigiwi, mmoja wapo alikua ni Godbles Lema, lakini haikupitishwa,

Job ndugai anapigiwa salute yeye kwasababu ana kofia ya uspika wa bunge, pia waziri anapigiwa salute lakini mbunge wa kawaida hapigiwi salute
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…