Hamis Talatale: Sijamtoa kafara mke wangu ili nipate ubunge, nilimpenda sana haina mfano!

Kiongozi /Mteuliwa wa serikali km Mbunge au Mkuu wa Wilaya wanapigiwa saluti ndio maana wanatembea na agari yenye bendera ya Taifa katika maeneo yao ya kujidai, sijajua km Diwani yumo
View attachment 1689795

View attachment 1689796
mbunge sio mteule wa Rais, na hamuwakilishi Rais popote pale, mteule wa Rais anayemuwakilisha Rais katika ngazi fulani ndio anayepigiwa salute tu, nao ni kama DC, RC na Waziri
 

Ukimuangalia tu usoni unapata ukweli wa majibu yote... lisemwalo siku zote lipo , it’s a matter of time tu kila kitu kitawekwa hadharani
 

Hata mimi huyu mtu simjui ila sura yake tu nikiiona namchukia, kuna ile facial expression flan hvi anaiweka ya kujitilisha huruma, yan mtu unataman umkate kichwa, ipo siku tu ukweli utawekwa wazi , labda kama Mungu hayupo , naomba huu uzi uendelee kuwepo tu for the future use
 
Kitu kimoja tu kuhusu Babu Tale, ana roho mbayaaaaaaa sana, .. Na pamoja na kuweka innocent face muda wote, lakini bado ukiangalia hata picha yake tu kuna kitu kibaya ndani yake unakiona...
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndo madhara ya wasanii kupewa nafasi nyeti.
Sikuwahi jua hili, mbunge kupigiwa saluti na askari lol
 
mbunge sio mteule wa Rais, na hamuwakilishi Rais popote pale, mteule wa Rais anayemuwakilisha Rais katika ngazi fulani ndio anayepigiwa salute tu, nao ni kama DC, RC na Waziri
fuatlia hii clip dk ya 1.14
 
Hapo ndo nilipoogopa[emoji15][emoji15][emoji15][emoji1751]
 
Eti Ismael[emoji16][emoji16]
 
Amekaa kishirikina sana mweeh[emoji848]
 
Yaani mbunge asieweza hata kujifulia boxer anapigiwa saluti na askari.
Nchi ya hovyo kabisa
 
Kumbe umeona hili mwenzangu, na ndo inavokuwa,
Kamtoa kafara mkewe, hili halina ubishi, mbna inaonekana wazi kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…