johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
-
- #81
Yule kijana ni mjinga sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na wee si uko huko chamani, kamshauri vizuri, na aache ujuha wake.
N alisema mambo yake ya kushirikina na mganga wake yupo Kibaha, saivi anakataaah lol.Kuhusu suala la ushirikina yeye mwenyew alishakiri kuwa anafanya, kuna kipindi alikua anahojiwa clouds
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa ndo vizuri mkawa mnawapa elimu juu ya heshima ktk nyazifa fulani, isije akashangaa hapigiwi saluti huku anajua yeye lazima apigiwe.Yule kijana ni mjinga sana
Eti anapigiwa saluti na askari mwenye nyota!
Huyo ni mshirikina wa kiwango cha uchumi wa juu, wala hakuna usiri wowote. Na yeye alushawahi kukiri hilo.Kitu kimoja tu kuhusu Babu Tale, ana roho mbayaaaaaaa sana, .. Na pamoja na kuweka innocent face muda wote, lakini bado ukiangalia hata picha yake tu kuna kitu kibaya ndani yake unakiona...
Kwanini Boss?Huyo Mpuuzi awe anafunga Bakuli lake.
Kwanini Boss?
Yani umtoe kafara mke kisa ubunge!!???Kumbe umeona hili mwenzangu, na ndo inavokuwa,
Kamtoa kafara mkewe, hili halina ubishi, mbna inaonekana wazi kabisa.
Wee ndo unasema au kuona kutoa kafara make kisa ubunge ni ujinga au ulofa, sasa viongozi wengi tyuuh wa serikali watu wao wanaowapenda kisa madaraka.Yani umtoe kafara mke kisa ubunge!!???
kama ni kweli jamaa ana balaa
sasa pesa ni za kazi gani kama unaua mke uliyempenda!!??
watu tunatafuta pesa tukatumbue na wake zetu....
ama tuwapendao....
Jamani si kasema atampa salama voice note sijui voice clip aisikilize mkewe akiwa Anaongea swala la yeye kuwa asioe?Mlitegemea aseme "ndiyo nilimtoa mke wangu kafara ".Huyu pamoja na ubunge kuupata hatokaa apate amani moyoni mwake. Eti mkewe alimwambia asioe. Ikute mganga wake ndo kamwambia asioe. Haiji akilini utoe kafara halafu uoe tena 🤣🤣🤣
. Mwenzio analia kila siku anamkumbuka wife wake hadi mvi zimeota, ana uchungu sanaAnaongea vitu Non-Sense!!
Self defence ....Kwa jinsi alivolia kuanzia mwanzo wa kipindi hadi mwisho naamini kabisa hajamuua mke wake bana
. Mwenzio analia kila siku anamkumbuka wife wake hadi mvi zimeota, ana uchungu sana
Nenda Makete utajua hujui!Yani umtoe kafara mke kisa ubunge!!???
kama ni kweli jamaa ana balaa
sasa pesa ni za kazi gani kama unaua mke uliyempenda!!??
watu tunatafuta pesa tukatumbue na wake zetu....
ama tuwapendao....
Mijitu mishirikina miovu inapenda sana kujikosha. Hata Magufuli akiwa anaongea unaweza kudhani haliwezi kuua hata mende .Kwa jinsi alivolia kuanzia mwanzo wa kipindi hadi mwisho naamini kabisa hajamuua mke wake bana
Jamaa kweli ni mpuuzi Sana, na naamini alimtoa kafara yule bibie, LAKINI serikali ni Mimi, wewe na Babu Tale.Tangu lini askari akampigia salute mbunge kumbe huyu jamaa ni kilaza kiasi hiki yeye naye atajiita serkali .poor and silly
Mbunge wa Morogoro!Jamaa kweli ni mpuuzi Sana, na naamini alimtoa kafara yule bibie, LAKINI serikali ni Mimi, wewe na Babu Tale.
Ni mumeo au alimuoa mama yako?Mbunge wa Morogoro!
Yeah mkuu kisheria mamlaka za kiraia zina nguvu kuliko za kijeshi.Anapigiwa saluti na ofisa wa jeshi?