Hamisa bado anampenda sana Diamond, hii couple mpya anayoitangaza ni feki

Suala la kwamba wana date 100% si kweli.

Na kama ni kweli basi anajirahisisha sana kwa wanaume hivyo mpaka anaingia kaburini suala la ndoa atalisikia kwenye bomba.
Usimpangie mtu maisha yake
 
Urembo wako tunaujua sisi tunaokuona mshukuru Mungu angalau Luna wanakuona mrembo.
[emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23] .....acha kunidanganya wewe!... Mi nimekomaa![emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125]
 
Ohoooo kwahiyo tuchat vya mwisho mwisho best[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sasa mbona na Uzi wangu matata nataka kuushusha!

Best kile kikaragosi hukipendagi nataka kukishushia Uzi leo.... Limezidi![emoji23]
usianzishie mtu uzi, samehe mara nyingi uwezavyo na utakuwa na amani maishani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…