M24 Headquarters-Kigali
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 8,199
- 8,186
Mrembo wa dunia na mwenza wake kuelekea Maldives kwa ajili ya fungate Mwezi mmoja gharama ya fungate inakaribia TZS 300m. Pole Chibu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii ndoa inanikumbusha Ndikumana na UwoyaMrembo wa dunia na mwenza wake kuelekea Maldives kwa ajili ya fungate Mwezi mmoja. Pole Chibu
Yalimkuta yapi mkuu?Hii ndoa inanikumbusha Ndikumana na UwoyaView attachment 3238856
Huyu mpe hongera. Maana alibambikizwa mtoto, baada ya kupima DNA akakuta sio. Alitaka kutapeliwaPole Chibu
😂😂😂 kwenye nchi yangu au huko Uganda?Huyu mpe hongera. Maana alibambikizwa mtoto, baada ya kupima DNA akakuta sio. Alitaka kutapeliwa
Amempa pole Chibu kuhusiana na Hamisa. Uganda haihusiki hapa😂😂😂 kwenye nchi yangu au huko Uganda?
Azizi akirudi huko hata cent Moja hana,Mrembo wa dunia na mwenza wake kuelekea Maldives kwa ajili ya fungate Mwezi mmoja. Pole Chibu
Raha uende mwenyewe na hela zakoAzizi akirudi huko hata cent Moja Hana,
Kisiwa kina starehe sana AISEE
Heee naskiaga Ndiku mchezaji kumbe walifunga ndoa? Je huyo Ndiku yuko wapi siku hizi ? Aliacha kucheza?Hii ndoa inanikumbusha Ndikumana na UwoyaView attachment 3238856
HeheheAzizi akirudi huko hata cent Moja Hana,
Kisiwa kina starehe sana AISEE
Alifilisiwa akawa na stress akarudi kwaoHeee naskiaga Ndiku mchezaji kumbe walifunga ndoa? Je huyo Ndiku yuko wapi siku hizi ? Aliacha kucheza?
Kashakufa huyoAlifilisiwa akawa na stress akarudi kwao
Alikuwa na stress sana ilimpelekea kuumwa sana mpaka kufariki kitambo sana ...Mbona yule dogo anaenda sana kwenye kabuli la baba yake huko Rwanda.Heee naskiaga Ndiku mchezaji kumbe walifunga ndoa? Je huyo Ndiku yuko wapi siku hizi ? Aliacha kucheza?
Yeah
YeahKashakufa huyo
Ndiku alishafarikiHeee naskiaga Ndiku mchezaji kumbe walifunga ndoa? Je huyo Ndiku yuko wapi siku hizi ? Aliacha kucheza?