Tetesi: Hamisa kutimkia Honeymoon Maldives (mwezi mmoja)

Tetesi: Hamisa kutimkia Honeymoon Maldives (mwezi mmoja)

Kikubwa awe amempenda kweli nawaombea heri haswa na ni mshabiki wao kwenye hili...
Tatizo la wanawake huwa wepesi kumchoka mtu..na kama kweli akiishiwa ndo Sura halisi ya Aziz K Hamisa ataiona hapo sasa ndo ushujaa wa moyo wa mwanamke unaingia..ndo zile kauli za watu aisee wanawake wana huruma zinaanza so kama ana moyo mwepesi na hajampenda kweli kampendea hela hapo ndo tutaanza kuona sintofahamu ila kama ni kweli amependa hamtakaa msikie jambo tena ndo Hamisa anaweza kutulizwa mpk mkamsahau iwe pesa ipo au haipo...
 
Back
Top Bottom