Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Atoke na 🤰 sasa
Inategemea na mikao atakayo kaa...Atoke na 🤰 sasa
Let them enjoy ❤️❤️
😊😊😊😂Inategemea na mikao atakayo kaa...
Mikao ya mimba sii unaijua sweetheart hahaha😊😊😊😂
Mbinguni utapasikia tu ujue 😁
Malizia akaenda kujifia.Alifilisiwa akawa na stress akarudi kwao
Sasa sina uhakika kama alikufa kwa sababu hiyoMalizia akaenda kujifia.
Maana bora angerudi kwao akawa mzima.
Stress ya UKIMWISasa sina uhakika kama alikufa kwa sababu hiyo
Inaonekana mkikaa pamoja mnasimuliana mengi sana.Mrembo wa dunia na mwenza wake kuelekea Maldives kwa ajili ya fungate Mwezi mmoja gharama ya fungate inakaribia TZS 300m. Pole Chibu
Kwamba huo ukimwi aliupata Bongo auStress ya UKIMWI
Age is just a numberHivi Hamisa kampita dogo Azizi miaka mingapi? Isijekua dogo kaoa lishangazi?!
Hyo cake ya akina Irene naona enzi hizo Alexander Cake hajaanza kazi hahahahaahahhahHii ndoa inanikumbusha Ndikumana na UwoyaView attachment 3238856
Hivi uwoya kaungua eee? Mbona sasa huko Daslamu wote wahanga...the chain is chaining...Walipendeza sana...jamaa aliachwa juujuu,akashindwa move on...akafa kifo Cha Mende....ikawa kama laana kwa uwoya akaokota mbaba mwenye virusi...ndo ikawa ndo Ivo tena...
Ni Mimi mwandishi wenu kutoka Uyole 😋
2 Yrs...Hivi Hamisa kampita dogo Azizi miaka mingapi? Isijekua dogo kaoa lishangazi?!
Baada ya jamaa kuishiwa Uwoya alimkimbia akabeba na mtoto akakata connection nae kabisa.. jamaa alikufa kwa presha na msongo wa mawazo.Heee naskiaga Ndiku mchezaji kumbe walifunga ndoa? Je huyo Ndiku yuko wapi siku hizi ? Aliacha kucheza?
Sio kweli., DNA hapa bongo ilionyesha mtoto ni wa diamond lakini DNA za bongo za mchongo hata kama mtoto sio wako wanakuambia mi wa kwako wenyewe wanasema wanalinda masilahi ya mtoto. Diamond akashtukia mchezo akamwambia Hamisa wakapome DNA South Africa n Hamisa ndio alikataa. Diamond nae akaachana na habari za yule mtoto.Dna ilionyesha mtoto ni chibu,sema mama ake alimshinikiza akatae kuwa sio wake, ndio maana Hamisa alimpa ruhusu atafute nchi yoyote anayotqka na wapime live
But aligoma
Sasa huoni kuwa ana lake jambo
Ugonjwa huu sikuhizi haupimwi kwa macho🤣🤣🤣🥴Hivi uwoya kaungua eee? Mbona sasa huko Daslamu wote wahanga...the chain is chaining...
sio mbaya2 Yrs...
28 Ki and Hamisa 30
Kwakweli..so dogo janja ameungua ..ila mtoto wamezaa mzima..basi sawaUgonjwa huu sikuhizi haupimwi kwa macho🤣🤣🤣🥴