ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 22,152
- 33,899
Noma sanaNchi ya kihuni sana hiii
Mambo yanaendeshwa kihuni huni tu
Ova
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Noma sanaNchi ya kihuni sana hiii
Mambo yanaendeshwa kihuni huni tu
Ova
Nchi inafanya mambo ya ovyo kabisaYani wale watu wanaofanya vitu kinyume na maadili ndio unawapa kipaombele!!! kweli fisi wamechoka
Nimeipenda hii
A lot of men try to stay strong but then the pussy makes them weak
Sijui tuna laana gani!Hamisa naye atakuwepo, nimeshangaa sana. Hivi kweli Wizara imekosa wachimbaji wakubwa wa kati na wadogo ili waje kutoa hamasa kwenye mkutano huo!
Yaani wewe Mungu anakuona 🤣 🤣Kwani haujui kama na yeye anamiliki mgodi......!
Unapoandaa sera, Sheria na kanuni lazima uwashirikishe wadau wa sekta husika.
Huyu mmiliki wa mgodi kasababisha tafrani kule utopoloni, saivi Tena kahamia madini acha tuone.
Au jaw crusher aka jogalasha🤣🤣Hivi huyo Hamisa anafahamu hata karasha ni nini?
hahaaaa hata duara halijui ukitaja huenda akajua ni K yake shenzi kabisa.Au jaw crusher aka jogalasha🤣🤣
SIYO Kishikaji,bali NI KIDANGAJI.Nimeona Wizara ya Madini wameandaa mkutano wa TANZANIA MINING AND INVESTMENT CONFERENCE 2024 (TMIC2024)
Wameuita USIKU WA MADINI utakuwa 20th Nov 2024 Mlimani City Mall, DSM
Hamisa naye atakuwepo, nimeshangaa sana. Hivi kweli Wizara imekosa wachimbaji wakubwa wa kati na wadogo ili waje kutoa hamasa kwenye mkutano huo!
Kuna wanawake wengi tu wanafanya kazi kule migodini ambao walitakiwa kupewa kipaumbele.
Wapo wadada na akina mama wanaowekeza kwenye madini na wanayapambania mnakuja kubeba waigizaji?
Ajabu wametuletea Hamisa acha tuone hayo madini atakayotoa.
Na ikumbukwe huu ni mkutano wa kimataifa wa uwekezaji katika sekta ya madini.
Nikiwa kama mdau wa hii sekta hili jambo limenishangaza sana.
View attachment 3155006
Hili taifa linaendeshwa kishikaji sana
Kwa sasa hamisa mobeto anahusika kwenye sekta ya michezo siyo madini itakuwa typing error hiyoNimeona Wizara ya Madini wameandaa mkutano wa TANZANIA MINING AND INVESTMENT CONFERENCE 2024 (TMIC2024)
Wameuita USIKU WA MADINI utakuwa 20th Nov 2024 Mlimani City Mall, DSM
Hamisa naye atakuwepo, nimeshangaa sana. Hivi kweli Wizara imekosa wachimbaji wakubwa wa kati na wadogo ili waje kutoa hamasa kwenye mkutano huo!
Kuna wanawake wengi tu wanafanya kazi kule migodini ambao walitakiwa kupewa kipaumbele.
Wapo wadada na akina mama wanaowekeza kwenye madini na wanayapambania mnakuja kubeba waigizaji?
Ajabu wametuletea Hamisa acha tuone hayo madini atakayotoa.
Na ikumbukwe huu ni mkutano wa kimataifa wa uwekezaji katika sekta ya madini.
Nikiwa kama mdau wa hii sekta hili jambo limenishangaza sana.
View attachment 3155006
Hili taifa linaendeshwa kishikaji sana
Ewaa! Ndiyo nilikuwa nakutafuta hivyo kwa wadau kama ninyi mnalionaje!Hata mimi limenishangaza sana.
Si wangetuita hata sisi mkuu aisee ambao ni wadau!?
Hakuna kitu kama hicho! Wabongo wanapenda tu ni watu wa mkumbo!Mondi kapita na mademu maarufu wengi, na huyu ni mmoja wapo na kuzaa nae kabsa. Hujiuliz tu ana nini so special? 😅😅....pengine wana wanapeana feedback kuwa yuko vzr kwny 6*6
Bora wangemuweka Prof. MuhongoNimeona Wizara ya Madini wameandaa mkutano wa TANZANIA MINING AND INVESTMENT CONFERENCE 2024 (TMIC2024)
Wameuita USIKU WA MADINI utakuwa 20th Nov 2024 Mlimani City Mall, DSM
Hamisa naye atakuwepo, nimeshangaa sana. Hivi kweli Wizara imekosa wachimbaji wakubwa wa kati na wadogo ili waje kutoa hamasa kwenye mkutano huo!
Kuna wanawake wengi tu wanafanya kazi kule migodini ambao walitakiwa kupewa kipaumbele.
Wapo wadada na akina mama wanaowekeza kwenye madini na wanayapambania mnakuja kubeba waigizaji?
Ajabu wametuletea Hamisa acha tuone hayo madini atakayotoa.
Na ikumbukwe huu ni mkutano wa kimataifa wa uwekezaji katika sekta ya madini.
Nikiwa kama mdau wa hii sekta hili jambo limenishangaza sana.
View attachment 3155006
Hili taifa linaendeshwa kishikaji sana
labda macho kama mchinaHuyu dem sijui watu wanadatishwa na nin kwake, sijawahi kumuelewa kabisa hata huo uzuri wanaomsifia siuoni...
Aah wapi! Huyu demu mbovu tu make up nyingi!labda macho kama mchina