Hamisa Mobeto ana mchango gani kwenye sekta ya madini? Wizara ya Madini mjitafakari sana kuelekea TMIC2024

Kwani haujui kama na yeye anamiliki mgodi......!

Unapoandaa sera, Sheria na kanuni lazima uwashirikishe wadau wa sekta husika.

Huyu mmiliki wa mgodi kasababisha tafrani kule utopoloni, saivi Tena kahamia madini acha tuone.
 
Nimeona Wizara ya Madini wameandaa mkutano wa TANZANIA MINING AND INVESTMENT CONFERENCE 2024 (TMIC2024)

Wameuita USIKU WA MADINI utakuwa 20th Nov 2024 Mlimani City Mall, DSM

Hamisa naye atakuwepo, nimeshangaa sana. Hivi kweli Wizara imekosa wachimbaji wakubwa wa kati na wadogo ili waje kutoa hamasa kwenye mkutano huo!

Kuna wanawake wengi tu wanafanya kazi kule migodini ambao walitakiwa kupewa kipaumbele.

Wapo wadada na akina mama wanaowekeza kwenye madini na wanayapambania mnakuja kubeba waigizaji?

Ajabu wametuletea Hamisa acha tuone hayo madini atakayotoa.

Na ikumbukwe huu ni mkutano wa kimataifa wa uwekezaji katika sekta ya madini.

Nikiwa kama mdau wa hii sekta hili jambo limenishangaza sana.

View attachment 3155006

Hili taifa linaendeshwa kishikaji sana
SIYO Kishikaji,bali NI KIDANGAJI.
 
Kwa sasa hamisa mobeto anahusika kwenye sekta ya michezo siyo madini itakuwa typing error hiyo
 
Hata mimi limenishangaza sana.
Si wangetuita hata sisi mkuu aisee ambao ni wadau!?
Ewaa! Ndiyo nilikuwa nakutafuta hivyo kwa wadau kama ninyi mnalionaje!

Hawa watu unajua wanafadhili biashara ya umalaya kwa wanawake pasipo kujua. Mabinti watauona umalaya unalipa kuuza nyau kwa wakubwa!

Hamisa anafanya mambo ya ajabu mengi na kazi yake haswa inafahamika. Halafu mwanamke huyu huyu wanampa mashavu makubwa kwenye jamii, hivi serikali huwa inawaza nini?! Mabinti wengine wataona umalaya unalipa na unapata mashavu mpaka serikalini. Hamisa si kama Kim Kardashian tu!

Halafu wadau wenyewe kama ninyi wanawaacha, aisee!
 
Mondi kapita na mademu maarufu wengi, na huyu ni mmoja wapo na kuzaa nae kabsa. Hujiuliz tu ana nini so special? 😅😅....pengine wana wanapeana feedback kuwa yuko vzr kwny 6*6
Hakuna kitu kama hicho! Wabongo wanapenda tu ni watu wa mkumbo!

Kisa demu kapita na mastaa fulani naye anataka apite! Ile na mimi pale nimepiga, nimeichapa sana mpaka ikawa tepe tepee! Basi hapo mbongo anaona katisha sana!
 
Nimeona Wizara ya Madini wameandaa mkutano wa TANZANIA MINING AND INVESTMENT CONFERENCE 2024 (TMIC2024)

Wameuita USIKU WA MADINI utakuwa 20th Nov 2024 Mlimani City Mall, DSM

Hamisa naye atakuwepo, nimeshangaa sana. Hivi kweli Wizara imekosa wachimbaji wakubwa wa kati na wadogo ili waje kutoa hamasa kwenye mkutano huo!

Kuna wanawake wengi tu wanafanya kazi kule migodini ambao walitakiwa kupewa kipaumbele.

Wapo wadada na akina mama wanaowekeza kwenye madini na wanayapambania mnakuja kubeba waigizaji?

Ajabu wametuletea Hamisa acha tuone hayo madini atakayotoa.

Na ikumbukwe huu ni mkutano wa kimataifa wa uwekezaji katika sekta ya madini.

Nikiwa kama mdau wa hii sekta hili jambo limenishangaza sana.

View attachment 3155006

Hili taifa linaendeshwa kishikaji sana
Bora wangemuweka Prof. Muhongo
 
labda macho kama mchina
Aah wapi! Huyu demu mbovu tu make up nyingi!

Kajala mbovu tu make up nyingi! Tena kajala akili kichwani ya maisha ndiyo hana kabisa!

Wema mbovu tu make up nyingi!

Irene Uwoya mbovu tu make up nyingi!

Yule demu sijui anaitwa Batuli akiwa bila make up mamaaa utakimbia! Ila akiweka mi make up yake bonge moja la pisi!

Wolper ndiyo pisi mbovu balaa!

Giggy ndiyo pisi mbovu balaa zaidi ya wolper!

Na list inaendelea!

Kwa ufupi hawa mademu michosho tu! Ila watu wanaruka nao ni ile mbongo mtu wa kupenda maujiko, kwamba mwamba pale nimeshapita! Mfano mzuri mwangalie Idriss Sultan alivyotoka BBA, naye akapita kwa Wema ili aonekane!

Mtu anayejielewa hata siku moja hawezi kuwaita hao akina Mobeto na mfano wake kwenye suala lolote la maana kwenye jamii!
 
Back
Top Bottom